Jiunge nasi mwezi huu kusoma riwaya ya Mungu Hakopeshwi iliyoandikwa na Bi. Zainab Alwi Baharoon
Waweza kujiandikisha hapa: bit.ly/UMBUKLABUVITABUOKT
馃摎 Mungu Hakopeshwi
馃彔 @harakatizaenzi
馃晵 3pm-5pm
馃搯 Oktoba 31
Jiunge nasi kusoma na kujadili diwani ya #Kurunzi
Mwandishi Bi. Rose Mbijima atakuwa nasi. Yeye ni Mhadhiri Chuo Kikuu cha DUCE + mwanataaluma mbobezi katika fasihi ya Kiswahili
Host: @ms_faustaTZ
Mahali: @enzicoffee
Siku: Jumamosi Sept 19, 2026
Muda: Saa Tisa Alasiri
Umbu retweeted
Nami ninawashukuru sana @Umbu___ kwa kunipa wasaa kama huu wa kupata mtazamo wenu kuhusu riwaya yangu ya #FaradhiyaMoyo
Ninalishukuru shirika la Uchapishaji la @MkukiNaNyota kwa kuichapisha kazi hii. Ahsante sana @Udadisi kwa kuiweka kazi hii kwenye jukwaa lenu.
#FaradhiYaMoyo katika picha.
Ahsante sana mwandishi Anna S. Manyanza kwa kujumuika nasi. Tulifurahi sana kuuliza maswali, kujadiliana mada mbalimbali zilizoibuka kwenye kitabu na kuielewa riwaya hii kwa undani zaidi.
Ahsante @enzicoffee kwa kikombe cha 鈽曪笍
#UmbuNiDada @bwaya
Umbu retweeted
Utatuzi mbona ni mwepesi sana? Kuhudhuria @Umbu___ 馃憞馃従
Umbu retweeted
Tukutane Umbu kujadili maadili ya riwaya yangu ya pili iitwayo @FaradhiyaMoyo
Jiunge nasi kusoma na kujadili Jumamosi hii, riwaya ya #FaradhiYaMoyo
Mwandishi Bi. Anna Samwel Manyanza @annasamwel7 atakuwa nasi
Host: @ms_faustaTZ
Mahali: @enzicoffee
Siku: Jumamosi Agosti 29, 2026
Muda: Saa Tisa Alasiri
Jiunge nasi kusoma na kujadili Jumamosi hii, riwaya ya #FaradhiYaMoyo
Mwandishi Bi. Anna Samwel Manyanza @annasamwel7 atakuwa nasi
Host: @ms_faustaTZ
Mahali: @enzicoffee
Siku: Jumamosi Agosti 29, 2026
Muda: Saa Tisa Alasiri
Tulikuwa na wakati mzuri kusoma na kujadili kitabu cha "Salama Binti Rubeya: Simulizi kutoka Mwambao wa Bahari ya Hindi" cha @IdaHadjivayanis +@HamdaniSalha
Jiunge nasi mwezi kuu kusoma "Faradhi ya Moyo", riwaya iliyoandikwa na Anna Samwel Manyanza. Shukran
#UmbuNiDada
Jiunge nasi Jumamosi hii. Atakayeongoza jahazi letu ni Bi. @ms_faustaTZ
馃摎 Salama Binti Rubeya: Simulizi kutoka Mwambao wa Bahari ya Hindi.
鉁掞笍 @IdaHadjivayanis + @HamdaniSalha
馃彔 Harakati za Enzi
馃搯 Julai 18, 2026
馃晵 Saa Tisa Alasiri
Jisajili: bit.ly/UMBUKLABUVITABUJULAI
Umbu retweeted
Jiunge nasi kusoma Lina Ubani. Kitabu ambacho tunaweza kukiita "classic" katika fasihi yetu ya Kiswahili. Tunayo bahati ya kuwa mwandishi wa kitabu Bi. Penina Muhando (Mlama) atakuwepo katika uchambuzi
Jisajili: bit.ly/UMBUKLABUVITABUJUNI
#UmbuNiDada
Tulikuwa na muda mzuri kusoma na kujadili "Tusiogope", tawasifu iliyoandikwa na Bi. Asia Kasuwi Kapande. Ni kitabu kilichoseheni simulizi nyingi zinazotoa taswira ya historia ya nchi yetu kupitia maisha ya mwanamke mmoja. Ahsante kwa kila aliyeweza kufika.
#UmbuNiDada
Karibu UMBU Klabu Vitabu
Jahazi litaongozwa na Bi. Fausta Musokwa - Meneja Programu wa @ImsTanzania, mwandishi na mpenzi wa masimulizi.
馃摎 Shahidi wa Nina Mvungi na Hadithi Zingine
鉁掞笍 Esther Karin Mngodo
馃彔Harakati za Enzi, Mbezi Beach
馃晵 3PM
Jisajili: bit.ly/UMBUKLABUVITABU
馃摎 Shahidi wa Nina Mvungi na Hadithi Zingine
馃彔 Harakati za Enzi, Mbezi (Zamani, Wamama Kahawa)
馃搮 Machi 14
馃晵 Saa Tisa Alasiri
Unaweza kujisajili hapa: bit.ly/UMBUKLABUVITABU
Pata nakala
@TPHbookshop
@anovelidea_tz
@EliteBookstore
Mak Book (Mlimani City)
Karibuni sana 馃檹馃徑
2
Uzinduzi huu sasa utafanyika
馃搯 Ijumaa Oktoba 21 (kesho)
馃彔 305 Karafuu Restaurant, Oysterbay
Karibuni.
RSVP: bit.ly/ShahidiUzinduziRSVP
#UmbuNiDada
Tunayo furaha kuwaletea uzinduzi wa kitabu cha mkusanyiko wa hadithi fupi, Shahidi wa Nina Mvungi na Hadithi Zingine kilichoandikwa na Bi. @Es_Taa
馃搯 Oktoba 10, 2025
馃彔 House of Bread, Zamani King Solomon Hall, Mkabala na Best Bite
RSVP: bit.ly/ShahidiUzinduziRSVP
#UmbuNiDada
Tunayo furaha kuwaletea uzinduzi wa kitabu cha mkusanyiko wa hadithi fupi, Shahidi wa Nina Mvungi na Hadithi Zingine kilichoandikwa na Bi. @Es_Taa
馃搯 Oktoba 10, 2025
馃彔 House of Bread, Zamani King Solomon Hall, Mkabala na Best Bite
RSVP: bit.ly/ShahidiUzinduziRSVP
#UmbuNiDada
Tunayo furaha ya kurudi tena na #UmbuPodcast
Mazungumzo haya yanaangazia kazi za wanawake katika fasihi ya Kiswahili.
Bi. Anitha Masika aliye nyuma ya @EliteBookstore atakuwa mgeni wetu katika kipindi kijacho. Usikae mbali, mambo mazuri yanakuja punde.
#UmbuNiDada 馃コ










































