Trevor Jr馃弽 (@Trezor07) header
Trevor Jr馃弽 (@Trezor07) profile picture

Certified loner. | Dm for notis.?馃敂 | Real Madrid fan馃

Rock city
Joined July 2024
Photo by Trevor Jr馃弽 (@Trezor07)Photo by Trevor Jr馃弽 (@Trezor07)Photo by Trevor Jr馃弽 (@Trezor07)Photo by Trevor Jr馃弽 (@Trezor07)Photo by Trevor Jr馃弽 (@Trezor07)Photo by Trevor Jr馃弽 (@Trezor07)Photo by Trevor Jr馃弽 (@Trezor07)Photo by Trevor Jr馃弽 (@Trezor07)Photo by Trevor Jr馃弽 (@Trezor07)Photo by Trevor Jr馃弽 (@Trezor07)
Trevor Jr馃弽 retweeted
Ranked! Check out the Top 10 most beautiful wives of football stars in 2024.馃枑馃敟馃憞 1. Georgina Rodriguez- Cristiano Ronaldo. Georgina and Ronaldo have been in a relationship since 2017 after they met at. They are never shy of sharing their love for each other on social meadia.
37
2
31
2,674
Trevor Jr馃弽 retweeted
Wajomba kuna habari gani humu leo? Kama hakuna sogeeni hapa chap chap na hendo zenu nimerudi online 馃幁
57
12
149
8,550
Trevor Jr馃弽 retweeted
University mdada hata aishi kwenye friji lazima atahalibika tu. Wajomba Leo followers wanamiminika sana,tuwe faster faster
73
17
1
161
10,719
Trevor Jr馃弽 retweeted
Kwanini nyakati kama hizi ndo blaza anachukua point zake tatu?
62
25
633
43,201
Kwanini watu wafupi hawapati bahati za kuoa Familia za Kitajiri 馃
10
4
1
146
4,095
Trevor Jr馃弽 retweeted
Uzi mpya wa Kaizer Chiefs 馃嚳馃嚘 utakaotumika msimu ujao wa 2024-25
13
14
1
695
22,346
Trevor Jr馃弽 retweeted
Jitaid ufike shinyanga kabla ya kuoa utanishukuru 馃槂
8
10
52
1,799
Trevor Jr馃弽 retweeted
Mama ingia na hii sura pale WIZARA YA MAMBO YA NDANI...! 1.Watu wanatekwa alafu wao wanakudanganya,watu wanajiteka,Eti ni Drama tu. 2.Anza na Waziri wa Mambo ya ndani mtizame hivi hivi kama dakika 10 bila kumwambia neno lolote kwanza. 3.Alafu muangalie hivihivi IGP Wambura kama Dakika 20 alafu mwambie neno moja tu "NATAKA MAJINA YA WATEKAJI".
250
256
17
2,120
199,430
Trevor Jr馃弽 retweeted
Huyu Kibu Denis inasemekana ameondoka leo kuelekea nchini Sweden kwa mujibu wa Mwandishi George Job, huyu Kibu ndio leo Wakala wake Carlos Mastermind alizungumza na kituo kimoja cha redio kuwa Simba wamemlipa Mchezaji pesa yake yote na hadai hata mia mbovu. Huyu Kibu ndio ambaye Passport yake ilijaa na alishapewa mpya, huyu Kibu kimkataba ni Mchezaji halali wa Simba na pesa zake za usajili zikikadiriwa kuwa zaidi ya MILLION 300 zilishalipwa kwake ila mpaka sasa hayupo Kambini, huyu Kibu hafahamu kuwa muda umekimbia sana na wenzake tayari wapo camp? Nina mashaka sehemu, huyu Kibu anachokifanya ni kama anavuruga utulivu klabuni na hata kwa Makocha kwakuwa kwenye orodha amehasebiwa na kwenye technical report yumo, huyu Kibu mbona ghafla sana? Naamini Simba wataenda mbali nje na kumkata mshahara basi kupeleka jambo lake kwenye Kamati ya sheria na hadhi za Wachezaji. Kama Mchezaji una mkataba, umelipwa na haudai chochote, kwanini unafanya vitu kama hivi? Huyu Kibu imekuaje tena?___ Nadhani kama hayupo tayari kucheza Simba issue ni nyepesi tu, rejesha 300M yetu pale, vunja mkataba basi simple as that, haina haja ya kukimbiana kimbiana namna hii, Simba ni taasisi kubwa sana, hizo 300 peleka zote kwenye soka la vijana. VISIT MOROGORO馃嚬馃嚳
225
39
10
1,082
84,311
Trevor Jr馃弽 retweeted
Msikilize PRISCILLA! Demu wa sasa wa JUX kutoka NIGERIA 馃嚦馃嚞 Aki-Mwagia Masifa Kedekede JUX 馃槀馃槀馃槀 Alooo mwamba Kaweka MISINGI馃槀馃槀 Video kwa Comments馃憞馃従
27
21
2
734
104,389