Mr Tโœจ๐Ÿค“ (@Tonya__Boy) header
Mr Tโœจ๐Ÿค“ (@Tonya__Boy) profile picture

Driving is my favorite.

Joined May 2021
Photo by Mr Tโœจ๐Ÿค“ (@Tonya__Boy)Photo by Mr Tโœจ๐Ÿค“ (@Tonya__Boy)Photo by Mr Tโœจ๐Ÿค“ (@Tonya__Boy)Photo by Mr Tโœจ๐Ÿค“ (@Tonya__Boy)Photo by Mr Tโœจ๐Ÿค“ (@Tonya__Boy)Photo by Mr Tโœจ๐Ÿค“ (@Tonya__Boy)Photo by Mr Tโœจ๐Ÿค“ (@Tonya__Boy)Photo by Mr Tโœจ๐Ÿค“ (@Tonya__Boy)Photo by Mr Tโœจ๐Ÿค“ (@Tonya__Boy)Photo by Mr Tโœจ๐Ÿค“ (@Tonya__Boy)
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Unampa mwana siri zako halafu akilewa, anatingisha kichwa kila akikuangalia.๐Ÿ˜‚๐Ÿ™†๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ
10
Wametengoooo Ya Geof master
1
5
Njia panda Tegeta A mnafika lini boss... Hii njia ya Goba road
Free installation Free devices , atalipia package tu
1
1
77
Tajiri najua hautumii, ila naomba upite tupate baraka zako hapa hata ya sparking hill tu... GOBA ROAD,NJIA PANDA TEGETA A.. SKYMART SUPERMARKET KWA CHINI KUNA KACHIMBO KETU HAPA...
#TajiriLaKihaya Kwa hapa DAR hakuna sehem wanauza Supu Tamu Ya Pure KIENYEJI kama pale MBUZI ONLINE-SUKA๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ
1
2
74
Boss mkubwa....
#TajiriLaKihaya Huu mwaka Sitaki Vita na mtu yeyote yule โ€ฆ. Mm ni kijana Mpole saana๐Ÿ™๐Ÿฝ Amini kwamba๐Ÿ’ฏ
11
Tupo mzee
Nimefanikiwa kuona baadhi ya wajomba zangu Wanazi tokea jana ila wengine sijawaona kabisa. Tupige ka Lokoo kidogo tujuliane hali. Mimi kiukweli tu nipo salama sana. Ila sitaki kuwaficha wajomba zangu ni Mungu tu amependa niendelee kuwepo. Kama na wewe upo salama tusalimiane hapa
1
2
560
Yan shida sasa yan ๐Ÿคฏ๐Ÿคฏ
#TajiriLaKihaya GOBA kila siku kuna matengenezo ya Umeme๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚ Hapa nipangishe mtu mwenye uwezo wa kulipa 5m per month Nyumba nzima- mm nirudi nyumbani Muleba kmmk
2
3
585
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† hapanaaa umefika mbali tajiri
#TajiriLakihaya Walevi huwa wanatuona sisi tunaokunywa Maji na RedBull au Malta Club, kama masikini hivi- Hatuna hela๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚
1
4
301
Hii saf sana hata mm ninayo mzee unyama
Hi App nzuri sana kwa wale wapangaji waongo waongo wa kununua umeme, ananunua umeme wa 5k anasema kanunua wa 10k ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ unaingia humu kuhakikisha.
1
9
477
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ mbinu za kivita
#TajiriLaKihaya Jana nliona watu wanakesha CLUB - nkajua labda ni VIBE! Kumbe hawakua na hela ya Kulipia Hotel๐Ÿ’”๐Ÿ’” Yaani ni nauli tu๐Ÿ˜…
26
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
#TajiriLaKihaya 10kms โ€ฆ. 2hrs:22mins - Na hapo nimekesha sijalala๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ
33
๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
Hey @grok ukiwa Dodoma na Una Laki sehemu gani unaweza kuitumia vizuri isiishe haraka
33
#TajiriLaKihaya Hana baya kabsa kashafanya yake hapa,! Uwez kaa kinyonge mbele ya #TajiriLaKihaya ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
#TajiriLaKihaya Nipo Hapa BAMBALAGA- #DODOMA.. Hapa mlangoni kabisaaa- kama kawaida mzeee wa RESEARCH! Nitawaletea Update za picha mjongeo za WASIMBE wote watakaoingia humu - siku ya Leoโ€ฆ #nbcdodomamarathon2025
2
5
497