BongoObserver ๐Ÿ” (@TanzaniaDaily) header
BongoObserver ๐Ÿ” (@TanzaniaDaily) profile picture

๐Ÿ“ด

Zanzibar
Joined August 2021
Photo by BongoObserver ๐Ÿ” (@TanzaniaDaily)Photo by BongoObserver ๐Ÿ” (@TanzaniaDaily)Photo by BongoObserver ๐Ÿ” (@TanzaniaDaily)Photo by BongoObserver ๐Ÿ” (@TanzaniaDaily)Photo by BongoObserver ๐Ÿ” (@TanzaniaDaily)Photo by BongoObserver ๐Ÿ” (@TanzaniaDaily)Photo by BongoObserver ๐Ÿ” (@TanzaniaDaily)Photo by BongoObserver ๐Ÿ” (@TanzaniaDaily)Photo by BongoObserver ๐Ÿ” (@TanzaniaDaily)Photo by BongoObserver ๐Ÿ” (@TanzaniaDaily)
BongoObserver ๐Ÿ” retweeted
Sisi hatutaki ufe kwa njaa, tunataka ufe kwa kunyongwa kwa makosa uliyoyafanya. Yani unadhani ukigoma kula unamtisha nani sasa. Ukisusa wenzio wala..๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
34
17
3
19
3,615
BongoObserver ๐Ÿ” retweeted
๐’๐š๐›๐š๐›๐ฎ ๐Ÿ‘ ๐ณ๐š ๐‹๐ข๐ฌ๐ฌ๐ฎ ๐ค๐ฎ๐ฉ๐ข๐ ๐ฐ๐š ๐œ๐ก๐ข๐ง๐ข ๐ญ๐ฎ๐ณ๐จ ๐ฒ๐š ๐’๐š๐ค๐ก๐ซ๐จ๐ฏ. 1. EU wamegundua Lissu na chama chake hawasimamii misingi ya Haki za Binadamu na Demokrasia. Demokrasia haihamisishi vurugu au uvunjifu wa amani, bali maridhiano, uhuru na ushirikiano. Kupitia kauli za Lissu, za โ€œKukinukishaโ€, โ€œKitanukaโ€ na kadhalika zenye mrengo za kuleta machafuko, ni wazi Lissu hasimamii misingi ya Haki za Binadamu na Demokrasia. 2. ICC imefanya na inafanya kazi kubwa sana zenye impact kubwa kwenye dunia kuliko Lissu na genge lake. Hivyo ingekuwa ni wenda wazimu kumpa Lissu tuzo na kuiacha ICC. 3. Lissu hana faida kisiasa kwa EU kwa sasa. EU kuipa tuzo ICC ni dongo kwa Trump baada ya Trump kutishia kuiwekea vikwazo Mahakama ya ICC. Wiki moja kabla, Wabunge wa Bunge la Ulaya kutoka vyama mbalimbali vya kisiasa walimtaka Ursula von der Leyen kuilinda mahakama hiyo dhidi ya vikwazo vya Marekani. Kwa kuitunuku ICC, Bunge liliweza kutoa ujumbe mzito kwa Trump kuhusu suala ambalo tayari lilikuwa juu kabisa katika ajenda yake.
19
30
4
29
2,391
BongoObserver ๐Ÿ” retweeted
๐Œ๐€๐”๐™๐Ž ๐˜๐€ ๐๐˜๐€๐Œ๐€ ๐๐‰๐„ ๐˜๐€ ๐๐‚๐‡๐ˆ ๐Ÿ”ต2020/21: Tani 1,774โ€จ ๐Ÿ”ต2023/24: Tani 13,745โ€จ ๐Ÿ”ต2025/26: Takriban tani 15,000 Mauzo yameongezeka zaidi ya mara 8 tangu 2021. โ€จOman ndiyo soko kubwa zaidi, ikinunua zaidi ya nusu ya NYAMA kutoka Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ.โ€จ Lengo ni kuuza tani 50,000 kwa mwaka.
12
11
297
BongoObserver ๐Ÿ” retweeted
Hapa nani wa kulaumiwa kwa huyu Kuku Kugongwa na gari? Najua wengi watasema ni huyo mtoto. Sasa iko hivi; Mtoto = TEC Kuku = Vijana wa Kitanzania Gari/Dereva = Jeshi la Polisi Angalia hapo mwisho baada ya Kuku kugongwa, angalia mtoto (TEC) anavyomlaumu dereva, yani kana kwamba yeye hausiki kabisa.
20
20
4
22
4,195
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Wale mabeberu waliokuwa wanampigia kampeni Lissu ni matapeli. Wanashindwa je na ICC? Hawakupiga hata kampeni?
8
BongoObserver ๐Ÿ” retweeted
Wale mabeberu waliokuwa wanampigia kampeni Lissu ni matapeli. Wanashindwa je na ICC? Hawakupiga hata kampeni?
12
26
3
35
1,884
BongoObserver ๐Ÿ” retweeted
๐Œ๐š๐ฆ๐›๐จ ๐š๐ฆ๐›๐š๐ฒ๐จ ๐ง๐ข๐ง๐ข ๐ฎ๐ก๐š๐ค๐ข๐ค๐š ๐ง๐š๐ฒ๐จ ๐Ÿ๐ŸŽ๐ŸŽ%. 1. Lissu atakuhukiwa kunyongwa hadi kufa Nov. 6. 2. CHADEMA itafutwa baada ya Tume ya Jaji Lila. 3. Kuna viongozi wengi wa Chadema sasa hivi, na wadini ambao watafunguliwa mashtaka ya uhaini baada ya ripoti ya Tume ya Jaji Lila. Kwa uhakika zaidi, hayo yote hapo juu yatatimia na maisha Tanzania yataendelea kama kawaida. Kama kuna mtu anadhani anaweza kuzuia hayo kutokea, basi aage ndugu zake kuanzia leo kwa sababu, hatokuwa na mwisho mzuri.
40
22
7
84
17,075
Mnajiliza The Chanzo wanawezaje kujiendesha hali ya kuwa hawana matangazo yoyote ya kuwaingizia fedha? Wafanyakazi wake wanalipwaje? Wanawawezaje kuwa na Ofisi Masaki? THE CHANZO ni moja ya Media za kiharakati zinazodhaminiwa na Ford Foundation. Mkiona kazi zao za kuchafua taswira ya nchi tambua wapo kazini kufanyia kazi malipo wanayopokea.
19
21
3
48
23,337
ICJ does not deal with Individuals cases, only states. Kilazaa!!
Replying to @WMutunga
The case must be taken to the International Court of Justice at the Hague and to the @UN_HRC
6
BongoObserver ๐Ÿ” retweeted
๐‹๐ˆ๐’๐’๐” ๐€๐Š๐ˆ๐๐„๐–๐€ ๐‡๐ˆ๐˜๐Ž ๐“๐”๐™๐Ž ๐’๐ˆ๐“๐Ž๐’๐‡๐€๐๐†๐€๐€, ๐๐ˆ ๐Œ๐“๐” ๐–๐€๐Ž. Hawa wawili nao waliwahi kushinda tuzo ya Sakharov inayotolewa na EU, tuzo ambayo Lissu anaye anapigiwa chepuo ashinde. Huyu mwanamke anaitwa Marรญa Corina Machado, Mwanasiasa maarufu sana kutoka nchini Venezuela. Huyu mwanaume ni anaitwa Alexei Navalny, alikuwa Mwanasheria na mwanaharakati kutoka nchini Urusi, alifia gerezani. Sasa, Marรญa Corina Machado, Alexei Navalny na Tundu Lissu, wote wana haiba moja ya kufanana. Wote hawa ni vibaraka wa Marekani na EU, wanatumika dhidi ya serikali zao, usaliti, kuchochea machafuko na vurugu kwa tamaa zao za madaraka. Hawa wote ni project za EU, EU wana tabia ya kutuza watu wao kwa tuzo mbalimbali mfano hiyo Sakharov.
17
8
1
12
3,841
BongoObserver ๐Ÿ” retweeted
Ukweli usemwe.
4
7
8
408
BongoObserver ๐Ÿ” retweeted
Enzi hizo kabla ya mrija wa asali haijakatwa. Mrija wa asili ulikatwa JPM alipoingia tu madarakani. Wakati JK Maria alikula sana maisha, alikuwa karibu sana na mfumo, akajua kwamba serikali inayokuja angeweza kuingia Ikulu kama Afisa Habari, ila JPM akampiga Panga hata kazi ya kufagia hakumpa. Chuki yake ilizidi zaidi pale Rais Samia alipomchukua Zuhuru Yunus BBC na kumleta Bongo kuja kufanya kazi Ikulu, ile kitu ilimuuma zaidi Maria, akaona kwanini sio yeye? Hapo ndio akafungulia kabisa chuki zake, hasira zake na uchawi wote dhidi ya Serikali ya Mh. Rais Samia Suluhu Hassan.
15
12
1
12
2,124
BongoObserver ๐Ÿ” retweeted
Ukiingia online na kumsikiliza Mange unaweza kudhani kwamba Tanzania inawaka moto, hakuna amani mtaani, watu kila kona wanalia. Lakini ni kinyume chake, kila mtu anafanya shughuli zake kwa utulivu, amani, ustaarabu ule wa Kitanzania na upendo.
15
9
3
18
2,658
BongoObserver ๐Ÿ” retweeted
Pambalu kama utani vile mtammisi na yeye. Endeleeni kuchezea amani ya hii nchi kupitia kichaka cha Haki na Demokrasia. Hatuchekeshi!
33
9
3
51
7,881
BongoObserver ๐Ÿ” retweeted
19 days to go. โณ
4
9
2
10
621
BongoObserver ๐Ÿ” retweeted
20 days to go and counting..โณ
22
15
4
19
2,063
BongoObserver ๐Ÿ” retweeted
Mnakuwa so insecure msikia mtu anaongea Kimombo, achana na lugha focus na context.
Mnaficha upumbavu mlionao kwny vichwa kwa kuchanganya kingereza na kiswahili. Shenzi sana
2
15
9
233
BongoObserver ๐Ÿ” retweeted
Baada ya Oktoba 29 haya Propaganda zilikuwa hizi; 1. Tanzania itatengwa na Jumuiya ya Kimataifa. 2. Rais Samia hafiki Januari. 3. Tanzania itanyimwa mikopo na misaada. 4. Rais Samia hawezi kusafiri atakamatwa na ICC. 5. Tanzania haitokuwa na amani tena. Wajinga walisahau kwamba hii ni nchi. Tanzania imeenda kuwa imara na itabakia imara.. ๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช
25
18
3
26
3,952
BongoObserver ๐Ÿ” retweeted
๐Ÿ“Lepurko, Monduli โ€“ Arusha Serikali imewezesha ukarabati wa Bwawa la Nanja kwa zaidi ya Sh bilioni 3, hatua itakayoboresha uhifadhi wa maji kwa matumizi ya nyumbani, mifugo na shughuli za kiuchumi. Ukarabati huo utaboresha usalama na ufanisi wa bwawa, huku ukiimarisha upatikanaji wa maji kwa wananchi wa Kata ya Lepurko na maeneo jirani.
5
8
384