Ukimaliza kumuogopa Mungu kuna kitu kinaitwa technology. Achana na hiyo kitu kabisa. The world is too advanced than 5 years ago my friend.
Mtandao ni Darasa! Linaloweza kumpa mtu elimu ujuzi na maarifa. Jukwaa hili ni muhimu kwa kukuza uwezo na Uchumi wako.
Nimekuta stori moja pale insta, shishi anasema waandamanaji wamechoma mgahawa wake, Raia wakamjibu Mama kasema walioandamana sio watanzania. ππππΎ
Honestly nimefuta bio yangu kuhusu @SimbaSCTanzania mtanisamehe sana.. mpaka wakati mwingine π




