Mlangi🩻 retweeted
dear algorithm,
please connect me with people who read, write, journal, and genuinely love books.
Mlangi🩻 retweeted
Be a man, your father is proud of.
Be a man, your wife would respect.
Be a man, your brother would admire.
Be a man, your son would look up to.
Be a man, your sister feels safe around.
Be a man, your daughter sees as a hero.
Mlangi🩻 retweeted
Suratul Qiyamah kuanzia Aya 36 - 40 , hua ina nifanya niamini Mungu yupo na tutafufulowa
Mlangi🩻 retweeted
Umejifunza kuongea kiswahili au umejikuta unajua kuongea
Kuna kitabu kinaitwa.
The secret of millionaire mind.
Mlangi🩻 retweeted
“When you can't be controlled, you will be hated, and that's the power.”
— Nikola Tesla
Mlangi🩻 retweeted
Hakuna wakati sahii, ishi na itumie vyema kila nafasi ya pumzi yako.Fantasy ya Dunia isikuvuruge.
-Unaweza kupanda na ukashushwa.
-Unaweza ukawa Hauna na ukafa hauna pia
-Fedha haifuati mkondo.
-Mapenzi na Ndoa havihusiani.
-Elimu na mafanikio,havihusiani Sana.
Life is choice
Mlangi🩻 retweeted
I’m in love with this sentence:
“Your future is shaped by the habits you repeat, not the goals you set.”
Mlangi🩻 retweeted
Kuna ugonjwa mpya wa afya ya akili ambao Gen-Z tumekua nao. Unaitwa PRIVATE LIFE.
1.Huonekani misibani + haushiriki katika matukio ya kijamii = Private Life.
2.Husalimii majirani, unaingia na kutoka kama upepo = Private Life.
3.Hauna chama, kikundi cha wadau, washakaji hapo mtaani kwako ambacho kinakutambua kama huyu ni msela wetu = Private Life.
ONGEZA NYINGINE🙏🏽
Mlangi🩻 retweeted
Usipofanikiwa hakutakuwa na ushahidi wowote kwamba ulipambana, ulivumilia au ulijitoa kiasi gani. Pambana mpaka mafanikio yako yawe ushahidi wa kila kitu ulichopitia. NO EXCUSES.
Mlangi🩻 retweeted
Every things is temporary.
Marafiki wata ondoka.
Kazi inaweza kuondoka.
Unacho kitegemea kinaweza kuondoka.
-lakini legacy yako inaweza kuishi milele,kumbatia UTU wako ni mbegu ya uhai wa milele.
Mlangi🩻 retweeted
Usije ukapoteza tumaini , haijalishi unapitia nini, bado Kuna tumaini la maisha bora yajayo. Usijikatie tamaa wewe wala ndoto zako..!📌
Mlangi🩻 retweeted
Ukitaka kufika mbali na watu, kuna vitu simple sana:
Fika kwa muda.
Ukiahidi kitu, kifanye.
Ukiona tatizo, njoo na solution.
Usiwe chanzo cha drama kila siku. 😂
Jibu watu.
Kuwa mtu wa kuaminika.
Na zaidi ya yote, Sali na kuwa na roho nzuri 🙏🏽
Huhitaji kuwa genius.
Kuwa tu mtu ambaye uwepo wako unarahisisha maisha ya wengine, sio kuyaongeza stress.
Mlangi🩻 retweeted
Elimu Msingi kuhusu Saratani
Na Dkt. Norman Jonas
SARATANI NI NINI?
➡️ Saratani ni ugonjwa unaotokana kuzaliana na kukua kwa seli katika mwili katiko utaratibu ambao sio wa kawaida na bila mpangilio.
➡️Kwa kawaida seli nzima katika miili yetu huzaliana, hukua, na kufa kwa mpangalio maalum lakini seli za saratani hazifanyi hivyo.
➡️Seli za Saratani hufuata mfumo huo usio wa kawaida – zinazaliana haraka zaidi bila mpangilio na kukua kwa haraka zaidi na wakati mwingine kuwa na umbile kubwa zaidi.
➡️Seli hizi za saratani zisipodhibitiwa/zisipotibiwa mapema zina uwezo wa kusambaa na kuota sehemu nyingine ya mwili wa mhusika na kuharibu tishu zako zilizo nzima.
JE KUNA AINA GANI ZA SARATANI
➡️Saratani ni uvimbe unaojitiokeza mahala popote katika mwili wa binadamu, uvimbe huu hauna maumivu yoyote mwanzoni
➡️Saratani zipo za aina nyingi sana na majina yake hutegemea kiungo kilichougua na aina ya Seli zilizoshambuliwa.
Kuna zaidi ya saratani 200.
SARATANI ZA👇
-Shingo ya mfuko wa kizazi
-Matiti
-Ngozi
-Koo na njia ya chakula Tumbo, utumbo, kongosho, ini
-Kibofu cha mkojo na tezi dume
-Mapafu ,ubongo,macho, mifupa,misuli
-Matezi hasa kwa watoto
-Damu
NINI KINASABAISHA SARATANI?
➡️Hakuna sababu moja pekee ambayo husababisa saratani, bali ni mchanganyiko wa vitu vingi vinavyotuzunguka ikiwemo vimelea, Kemikali, na aina ya maisha tunaishi kila siku.
➡️Saratani tofauti zina vyanzo vyake tofauti
VISIVYOZUILIKA
- Jinsia, umri, uwezekano wa kurithi
VINAVYOZUILIKA
- Matumizi ya kemikali au Mionzi
- Uvutaji wa sigara
- Maambukizi ya baadhi ya vimelea :virusi
- Matumizi Makubwa ya pombe
- Matumizi ya kemikali na mionzi
- Ulaji mbovu: mafuta mengi, nyama nyekundu kwa wingi
- Kutofanya mazoezi
- Unene uliokithiri
- Madawa, sumu ya kuulia wadudu
- Wasichana kuanza ngono katika umri mdogo
ZIPI NI DALILI ZA AWALI ZA SARATANI?
➡️Kila Saratani huwa na dalili zake kutokana na ilipoanzia
➡️Mara nyingi saratani haina maumivu mwanzoni na ni ngumu kugundua hasa kamma iko kwa ndani
- Uvimbe sehemu yoyote ya mwili
- Mafindofindo
- Mabadiliko ya haja kubwa au ndogo
- Kidonda ambacho hakiponi
- Damu kutoka bila mpangilio au uchafu usio wa kawaida kutoka sehemu za siri(uke)
- Shida kumeza au kupumua
- Sauti inayokwama kwama
- Kuvimba mdomo kwa watoto
- Kuvimba tumbo nk
ATHARI ZA KUCHELEWA TIBA
➡️Mgonjwa asipotibiwa mapema saratani husambaa zaidi
➡️ Kusambaa katika viungo vingine vya mwili hasa:
Mapafu – Kukohoa na Maumivu
Maini – Kujaa Tumbo, Macho kuwa ya njano na maumivu
Mifupa – Maumivu / Kuvunjika ovyo
Kupoteza kiungo/Viungo vya mwili
UPIMAJI WA UHAKIKA WA SARATANI
➡️Saratani inahakikiwa kwa njia ya kutoa kinyama au ute wa tishu husika na kupimwa katika maabara maalum ya patholojia
➡️Vipimo vingi vya maabara au Radiologia vinaonyesha tu mabadiriko yenye kuashiria uwezekano na siyo uhakiki.
TIBA YA SARATANI KWA UJUMLA
Tiba za kitaalam zilizohakikishwa ni:
- Upasuaji
- Dawa za mshipa/dripu, vidonge
- Mionzi
- Tiba ya vichochezi/HOMONI
Tiba hizi hutumika kwa mchanganyiko kwa kutegemea aina ya saratani, hatua ya ugonjwa na hali ya kiafya ya mgonjwa.
Tiba mpya: tiba za vinasaba
JE UFANYE NINI KUPUNGUZA / KUZUIA UWEZEKANO WA KUPATA SARATANI?
EPUKA visababishi hatarishi vinavyozuilika (66% ya saratani zinazuilika)
- Jiepushe na uvutaji wa sigara
- Epuka unene uliopitiliza
- Fanya mzoezi mara kwa mara
- Ulaji bora: epuka matumizi ya mafuta mengi na nyama nyekundu kwa wingi, tumia matunda na mbogamboga kwa wingi
- Epuka matumizi ya pombe kwa wingi
- Jikinge na mionzi ya jua, hasa watu wenye ualbino.
- Jenga mazoea ya kupima afya mara kwa mara
- Chanjo kwa saratani zenye chanjo mfano,chanjo ya homa ya ini (HBV) na mlango wa kizazi(HPV)
























