TARITZ retweeted
Mkurugenzi wa kituo cha TARI kihinga Kigoma Dkt FILSON KAGIMBO akiwa katika kitalu cha michikichi akionesha njia ya utunzaji bora wa mbegu kabla ya kupelekwa mashambani
TARITZ retweeted
Mbegu bora za michikichi wasiliana na DR Kagimbo mkurugenzi wa kituo cha kihinga Kigoma 0785690817
TARITZ retweeted
Kwa mbegu bora za mpunga kutoka kituo cha TARI Dakawa wasiliana na MR Sitta kwa No 0753415887
TARITZ retweeted
Kigoma, Baadhi ya shule za msingi na taasisi mbalimbali wilayani kasuru mkoani kigoma zimeanza kulima zao la michikichi katika maeneo ya shule zao huku wakitumia muda wa vipindi kutoa elimu ya kujitegemea kwa wanafunzi hatua ambayo itasaidia kupunguza uhaba wa mafuta nchini.
TARITZ retweeted
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasuru mkoani Kigoma bwana joseph kashushura amesema wametenga zaidi ya milioni 53 kwaajili ya zao la mchikichi ikiwa ni kampeni maalum ya kuongeza uzalishaji na kuhamasisha taasisi na wakulima kuchangamkia fursa za zao hilo.
TARITZ retweeted
*DODOMA,
Kikao cha kuwajengea uwezo wagunduzi wa mbegu za mazao kimefanyika leo katika Chuo cha Mipango na Maendeleo vijijini, (IRDP) mkoani Dodoma.
@TARITZ10 Congratulations Dr. Mkamilo!
TARITZ retweeted
Dr. Geoffrey Mkamilo, TARI Director General, planting oil palm at TARI Ilonga. TARI is collaborating with public and private institutions to spearhead promotion of oil palm farming , which is a strategic crops to increase production of cooking oil in Tanzania.
Dr. Geoffrey Mkamilo, TARI Director General, planting oil palm at TARI Ilonga. TARI is collaborating with public and private institutions to spearhead promotion of oil palm farming , which is a strategic crops to increase production of cooking oil in Tanzania.
A researcher planting oil palm seedling at TARI Ilonga seed production farm. This farm will be used as a source of oil palm seeds for dissemination in Morogoro and other neighbouring regions. TARI Ilonga will closely collaborate with TARI Kihinga to promote oil palm
4
Kilosa District Commissioner Honourable Adam Mgoyi, planting oil palm seedling to signify the launch oil palm farming in Kilosa District.
7
A Business Meeting of Center Directors/Managers, Research & Innovations Coordinators, and Technology Transfer& Partnership Coordinators to evaluate mid-year research performance targets for improvement.
7
TARI participation at SUA Agricultural Science Conference which took place on 4th - 6th December 2019.
Farmers agricultural show at Ngaramtoni, Arusha Tanzania -"Use of improved technologies for agricultural development" Maonesho ya kilimo yaliyoandaliwa na Jukwaa la Wakulima Meru (JUWAME) Kauli mbiu ni "MATUMIZI YA TEKNOLOJIA KWA MAENDELEO YA KILIMO".



































