Stamina Shorwebwenzi (@StaminaTz) header
Stamina Shorwebwenzi (@StaminaTz) profile picture

Stamina Official Twitter Account Mr Bonventure love bite series 👉https://xitter.cf/t.co/1hpE0BFxTf

MoroTown
Joined January 2011
Photo by Stamina Shorwebwenzi (@StaminaTz)Photo by Stamina Shorwebwenzi (@StaminaTz)Photo by Stamina Shorwebwenzi (@StaminaTz)Photo by Stamina Shorwebwenzi (@StaminaTz)Photo by Stamina Shorwebwenzi (@StaminaTz)Photo by Stamina Shorwebwenzi (@StaminaTz)Photo by Stamina Shorwebwenzi (@StaminaTz)Photo by Stamina Shorwebwenzi (@StaminaTz)
Stamina Shorwebwenzi retweeted
staminah, nasukuma kete hata dafti waliweke bondi...! muosha maiti bora usepe leo umepewa maiti ya zombie...! @StaminaTz Mtu chee Mia 🔥
4
2
16
Stamina Shorwebwenzi retweeted
Ndoto ya kambumbu kusakata iyo kwangu ilikuwa dili... / Sikupata nachotaka nimepata nachostahili... / Hii dunia ya wajuaji yenye mengi makelele.. / Ambayo ukipanda mnazi eti ukae siti ya mbele.. / @StaminaTz Nitakukumbuka
3
2
20
Stamina Shorwebwenzi retweeted
Nafikiria anakamata bodaboda hajavaa helmet why?.... / Wakati kwa michepuko havai kinga anapiga dry.... / Pesa sio sabuni ya roho ni sabuni ya uchafu... / Ingekuwa sabuni ya roho ingetakatisha mpaka wafu.... / @StaminaTz Safina 🔥🔥🔥
3
2
14
Stamina Shorwebwenzi retweeted
nimezaliwa jangwani, kivipi unitishie ukame.... / mkulima, rudi shambani hii ndo mundu ya machame... / kabwela, mwenye kitambi bepari utamtesa nani... / kokote mi kwangu kambi, anthony unipe ramani... / @StaminaTz Agano jipya 🔥🔥🔥
2
13
Stamina Shorwebwenzi retweeted
Halafu Baba maisha ni mazoezi.... / Ukiona watu wanakonda ujue pesa ndo gym tosha.... / @StaminaTz
2
12
Stamina Shorwebwenzi retweeted
Kikubwa naomba Mungu Aninusuru na maisha yamezidi kunichanganya... / We tazama dunia Wanakondoo na waumini kwenye safina ndo wanazama.. / @StaminaTz Safina
2
10
Stamina Shorwebwenzi retweeted
Orodha Kamili Ya Mirada Ya Wana Hip Hop 2022 micshariki.africa/orodha-ya-… CC: @StaminaTz @ramawise @TallRapMidget @Iamconboi @koiteee – at Tanzania
6
1
16
Stamina Shorwebwenzi retweeted
Replying to @StaminaTz
@StaminaTz took TZ hip-hop to Congo and he shut it down 🔥🔥🔥 Catch his bangers playing on the E.A Hip-Hop show [Ch. 362 on Azam TV]! @azamtvtz @azamtvRw @azamtvtz #ChannelUMusic #StrictlyEastAfrican
1
4
Stamina Shorwebwenzi retweeted
Wanaolia hawahesabiki....! Ijapo hawakunipenda zamani Wanafiki leo marafiki.... / Hawana hata haya usoni Wanasubiri mpaka nife...! Ndo sifa zangu zije ziskike.... / @StaminaTz Paradiso 🔥🔥🔥
1
9
Stamina Shorwebwenzi retweeted
Replying to @StaminaTz
@StaminaTz In Paradiso i like this verses👏👏
1
4
Stamina Shorwebwenzi retweeted
Nishapeleka nyota yangu kwa waganga mara ngapi?.... / Ushanisimanga kwa maneno hadi ukachoka kiko wapi... / Binadamu aliyekamilika haya nionyeshe yuko wapi.... / Kama malipo duniani sema nikulipe shingapi... / @StaminaTz Paradiso 🔥🔥🔥
2
8
Stamina Shorwebwenzi retweeted
Brand new!! 🆕 Mkali wa Hip Hop @StaminaTz ameachia EP kali kwa jina #LoveBite na ina ngoma zifuatazo: 1. Stamina ft. @bananazorro - Ukizaliwa 2. Stamina ft. @lodymusic_ - Hayana Maana 3. Stamina ft. @MkwawaTz - Future Wife Ipakue hapa: mdundo.com/a/824 #MdundoTZ
1
2
7
Stamina Shorwebwenzi retweeted
Replying to @Tanganyikan
@Roma_Mkatoliki na Tongwe @StaminaTz na Kiri – at Rukwa, Tanzania
1
1
14
Tunasema Asante Sana Kwa Sapoti Na Muitikio Mkubwa Mnaotuonyesha Ndugu Zetu Watanzania!! Ahsanteni Kwa Muitikio Wenu🙏 1. Tigo - 0659 21 31 70 2. Voda- 0744 24 49 74 3. Airtel - 0684 35 78 88 Jina REMMY BENEDICTO NGUVU
2
1
36
Stamina Shorwebwenzi retweeted
Nachangia
1
4
Stamina Shorwebwenzi retweeted
Taasis gani itakusanya hizo pesa..usituambie serikali inayokula hadi hela za rambirambi
1
1