🎯 6 Benefits/Advantage of BULK SMS Services
1⃣ Instant Impact
2⃣ High Open Rate
3⃣ Customisable Campaigns
4⃣ Impressive Conversion Rate
6⃣ Cost-Effective
Need help
☎️0655 939 496
📧 info@smartconnectz.com
🌐 smartconnectz.com
SmartConnect Agency - Web Design&Digital Marketing retweeted
Kama unafanya MARKETING, haya mambo 3 ni muhimu kujifunza;
1️⃣ Scarcity
2️⃣ Positioning
3️⃣ Social proof
SmartConnect Agency - Web Design&Digital Marketing retweeted
You don't need degree to become SOCIAL MEDIA MANAGER
Kuna hii course ya Digital Marketing ndani yake kuna course ya namna nzuri ya kua social media manager hii VETA huipati isipokua kwa @GillsaInt
SmartConnect Agency - Web Design&Digital Marketing retweeted
Njia 4 za kumpoteza mteja wako;
➡️ Kuahidi kupitiliza na kutokudeliver kazi kwa wakati
➡️ Kuhisi umemwelewa mteja badala ya kuuliza
➡️ Kuchelewa kwenye kikaoo
➡️ Kufanya kazi nje deadline
Sikia m-treat mteja kama mfalme
SmartConnect Agency - Web Design&Digital Marketing retweeted
Social Media Tips
Kama unauza kwa SOCIAL MEDIA usifaye page yako iwe PRIVATE.
Hii ni biashara sio page siri za serikali
Kama unafanya MARKETING, haya mambo 3 ni muhimu kujifunza;
1️⃣ Scarcity
2️⃣ Positioning
3️⃣ Social proof
Mambo 4 ya kuzingatia kabla ya kufanya SOCIAL MEDIA MARKETING;
1. Goal Setting yako
2. Target Audience
3. Platform yako
4. Content Calendar
Social Media Tips
Kama unauza kwa SOCIAL MEDIA usifaye page yako iwe PRIVATE.
Hii ni biashara sio page siri za serikali
1
42
Maneno 4 ambayo hupaswi kuyatumia wakati wa KUUZA;
1. Gharama - tumia neno UWEKZAJI
2. Mkataba - tumia neno MAKUBALINO
4. Trust me/Niamini - hili neno usitumie kabisa unapouza
2
34
Anza KUUZA kama daktari
➡️ Kama ulikua ujui madaktari ni wauzaji wazuri sana, 96% ya watu katika KUUZA hawazingatii hili.
Ulishawahi kuona wapi daktari anatoa dawa pasipo kukuuliza maswali ya utanguliza
Brother & Sister SELL like Doctors
Acha kuzungumzia features za product yako badala yake waeleze matakeo
Mteja hataki kujua juu ya product yako
Wanataka kujua namna utakavyo wasaidia kutatua tatizo lao na kuwaondoa katika maumivu
"Unapofanya CLOSING, acha kufanya SELLING na unapofanya selling acha kufanya closing"
- Daniel Jacobs
Matangazo ya Sponsored Ads yatawaleta Wateja katika biashara yako ila ni jukumu lako wewe kufanya CLOSING Ili wanunue kwako
1
22
Maadaui wako 3 katika MAFANIKIO yako
1️⃣ Mult- tasking
2️⃣ Kufikiria kupitia kiasi
3️⃣ Kuhairisha mambo Kila wakati
Stay focus
Ili ufanikiwe kwenye TANGAZO lako zingatia yafuatayo;
1. Fahamu Target yako
2. Unda OFA nzuri
3. Tumia Ad Creativity nzuri
4. Tumia Ads Manager ku-run TANGAZO lako not BOOST
1
28
Mambo 4 ya kuzingatia kabla ya kufanya SOCIAL MEDIA MARKETING;
1. Goal Setting yako
2. Target Audience
3. Platform yako
4. Content Calendar
31
Social Media Tips
Platform ambayo haikuingizii PESA wala kukuza BRAND yako ACHANA nayo focus na platform inayakupa hizo ASSETS 2
Kabla ya kuandika TANGAZO lako katika mitandao ya kijamii;
"Fahamu walengwa wako"
- Nani unamlenga
- Umuhimu wa bidhaa/huduma kwake
- Anajua kiasi gani kuhusu bidhaa yako
Ni muhimu sana kujiuliza haya maswali kabla ya kuandaa TANGAZO
Jenga utambulisho wa BIASHARA yako
Brand Identity
- Logo
- Name
- Color
- Typeface
Brand Strategy
- Offering
- Competition
- Customer
- purpose


