
Helping business grow online presence, let's talk 😂 | Founder @SmartConnectzz
Dar es salaam, Tanzania
Joined August 2021
- Tweets14K
- Following248
- Followers2.2K
- Likes20.4K
KoiTheDigital🇹🇿🇰🇪🇺🇬 retweeted
Repost Yako 🙏🏿❤️
Muwekezaji anahitajika kufanya biashara ya chakula (Brand Franchise)
📍Tanzania 🇹🇿
Call & Text us
📞 +255719068333
📞+255656068333
Mudi Mabiriani
Mudi Food Factory East Africa
KoiTheDigital🇹🇿🇰🇪🇺🇬 retweeted
Social Media Tips
Kama unauza kwa SOCIAL MEDIA usifaye page yako iwe PRIVATE.
Hii ni biashara sio page siri za serikali
KoiTheDigital🇹🇿🇰🇪🇺🇬 retweeted
Ukweli mchungu
Ad yako unasema "buy one, get one free":
Lakini terms and condition Zina page 20
Hii ni joke ama ni mkataba wa siri
KoiTheDigital🇹🇿🇰🇪🇺🇬 retweeted
Njia 4 za kumpoteza mteja wako;
➡️ Kuahidi kupitiliza na kutokudeliver kazi kwa wakati
➡️ Kuhisi umemwelewa mteja badala ya kuuliza
➡️ Kuchelewa kwenye kikaoo
➡️ Kufanya kazi nje deadline
Sikia m-treat mteja kama mfalme
KoiTheDigital🇹🇿🇰🇪🇺🇬 retweeted
Mambo 4 ya kuzingatia kabla ya kufanya SOCIAL MEDIA MARKETING;
1. Goal Setting yako
2. Target Audience
3. Platform yako
4. Content Calendar
You don't need degree to become SOCIAL MEDIA MANAGER
Kuna hii course ya Digital Marketing ndani yake kuna course ya namna nzuri ya kua social media manager hii VETA huipati isipokua kwa @GillsaInt
Njia 4 za kumpoteza mteja wako;
➡️ Kuahidi kupitiliza na kutokudeliver kazi kwa wakati
➡️ Kuhisi umemwelewa mteja badala ya kuuliza
➡️ Kuchelewa kwenye kikaoo
➡️ Kufanya kazi nje deadline
Sikia m-treat mteja kama mfalme
KoiTheDigital🇹🇿🇰🇪🇺🇬 retweeted
Anza KUUZA kama daktari
➡️ Kama ulikua ujui madaktari ni wauzaji wazuri sana, 96% ya watu katika KUUZA hawazingatii hili.
Ulishawahi kuona wapi daktari anatoa dawa pasipo kukuuliza maswali ya utanguliza
Brother & Sister SELL like Doctors
Ukweli mchungu
Ad yako unasema "buy one, get one free":
Lakini terms and condition Zina page 20
Hii ni joke ama ni mkataba wa siri




