Sharp-Man (@Sharpman__) header
Sharp-Man (@Sharpman__) profile picture

Sharp Man

Joined December 2017
Photo by Sharp-Man (@Sharpman__)Photo by Sharp-Man (@Sharpman__)Photo by Sharp-Man (@Sharpman__)Photo by Sharp-Man (@Sharpman__)Photo by Sharp-Man (@Sharpman__)Photo by Sharp-Man (@Sharpman__)Photo by Sharp-Man (@Sharpman__)Photo by Sharp-Man (@Sharpman__)Photo by Sharp-Man (@Sharpman__)Photo by Sharp-Man (@Sharpman__)
Replying to @IkennaO351
Terms😂😂😂
1
37
Sharp-Man retweeted
Wait for the last one 😭😭💀
972
4,064
282
20,859
1,439,633
Anaandika Askofu BAGONZA (PhD) NAANIKA UJINGA WANGU NA KUFICHA HEKIMA YANGU! Upo wito wa maridhiano kitaifa. Ya namna gani? Tunapishana. Wapo wanaotaka tugange yajayo na wapo wanaotaka tugange yaliyopita. Mimi nina haya. Nimeona bora nianike ujinga wangu ili nipate msaada: 1. Inaonekana maridhiano bila Chadema hayakubaliki. Washawishiwe; wasilazimishwe. 2. Chadema hawawezi kwenda kwenye maridhiano bila Mwenyekiti wao. Siasa ilimweka ndani. Siasa imwondoe. Sheria tunaisingizia. 3. Chadema hawamiliki tena upinzani. Upinzani umehamia mioyoni mwa wananchi katika vyama vyote. Hata CDM wakienda maridhiano bila kuzingatia UKWELI na UWAJIBIKAJI, upinzani utabaki mioyoni mwa wananchi. 4. Tume zimesema mengi kuhusu yaliyotokea 29/10/2025. Tunajichelewesha kukubali kuwa “washauri-machawa” ndio wanahujumu maridhiano. Ukihujumu maridhiano unamhujumu Mkuu wa nchi unayedai unamtetea. Agenda ya rais ajaye atoke Zanzibar ina mantiki gani wakati huu? 5. Yaliyotokea 29/10/2025 yamewapokonya viongozi wetu ujasiri wa kuongoza na kukemea uovu. Maridhiano ya KWELI yatarejesha ujasiri huo. Nani ajitokeze kukemea RUSHWA na kuhimiza watu “walinde migongo” yao? 6. Hivi sasa silaha ya wananchi ni kununa na kuomba dua la kuku. Silaha ya serikali ni “kuacha” utekaji uendelee na “kutohimiza” waliotekwa kuachiliwa. Sioni maridhiano bila hao watu kuonekana! 7. Katika kuteka watu tumeteka UHURU wa wananchi. Bila uhuru hakuna utawala wa sheria. Bila utawala wa sheria tunaongozwa na shuruti ya watawala. Tuirejeshee mahakama uhuru wake kabla mahakama haijaamua kuurejesha yenyewe na kusababisha maasi. 8. Kuhusu Uhuru wa mahakama ninaamini: kwamba, Ni vigumu kwa Rais aliyepo na waliopita kuuaminisha umma kuwa hawaingilii mahakama. Iwe wanaingilia au hawaingilii, umma unaamini kuwa wanaingilia. Hekima ni kutoingilia, lakini wanapolazimika waingilie kwa manufaa ya taifa na si manufaa ya urais, chama au kundi. Kwa sasa waache kujitetea kuwa hawaingilii kwa sababu hakuna atakayewaamini. 9. Ninaendelea kuamini kwamba Urais siyo rais. Urais ni taasisi. Utaasisi unaweza kuwa kokoro. Ndani ya kokoro waweza kuwamo wanaoijumu taasisi ya urais na rais mwenyewe. 10. Wasiojulikana wana nguvu kuliko wanaojulikana. Matokeo yake, viongozi wa kuchaguliwa na wa kuteuliwa, wanawatumikia na kuwatii wasiojulikana kuliko wanavyowatumikia wananchi. Mabadiliko haya ni kikwazo cha maendeleo. Jamanie! Weusi wa Mjaluo si kukosa sabuni. Siri anaijua kamongo.
10
125
5
539
20,653
#TajiriLaKihaya Alooooooo🙌🏽🙌🏾🙌🏾
46
121
8
570
38,120
Sharp-Man retweeted
Hoja ya pili, kwamba Lissu alitengeneza 'nia ya kuzuia uchaguzi kwa lengo ya kuitisha serikali' - imepigwa chini. It goes without saying that this flickering case was dead on arrival.
15
99
1
573
13,781
Sharp-Man retweeted
May their soul's rest in peace 🕊️🕊️🕊️🕊️
2
4
122
Sharp-Man retweeted
Replying to @MickyJnr__
May Berkane fall into our hands SIMBA sc
2
1
7
557
RT @SkyFootball: Harry Kane has won the Men's Ballon d'Or! ✨🏆
Sharp-Man retweeted
Barca: We’re unbeaten in 11 games PSG:
7
35
4
528
36,410
Sharp-Man retweeted
Replying to @Sir_M_Charles
Leta timu yako against Simba or Yanga
1
16
Sharp-Man retweeted
Replying to @maestrowafact
Kuweni na maadili kidogo wenetu , hizo anal it's animalistic, get back to your senses you people
1
53
Sharp-Man retweeted
Who leaked these results? 2027 Champions League winners Manchester United😁😁
506
1,185
165
10,803
943,938
Sharp-Man retweeted
On Saturday, we wear ivory 🤍 Reply with your preferred name and number ahead of the weekend for a personalised lockscreen 👇
33,908
3,672
444
48,525
2,155,286
Sharp-Man retweeted
Ruben Amorim is still yet to win a game in pre-season as AC Milan manager 😳❌ Their next game… his former club, Manchester United 👀
258
784
232
11,817
279,147
Sharp-Man retweeted
BRO CODES THAT IS FOREVER UNBREAKABLE 1. Don't rape anyone whether mature or minor 2. Two naked men are not supposed to be in the same room 3. A bro should know when his presence is no longer needed 4. Never make fun of your bro just to impress women 5. A bro must not pay for sex 6. Your bro's Ex is your Ex (forever off-limits) 7. Make money before you make love that would procreate a child 8. No matter how beautiful your bro's sister is, she is your sister too. If you must do anything, ask your friend first 9. When money finally comes, don't change the woman who stood, believed and supported you when you had nothing — upgrade her 10. Don't do husband duties while you are just a boyfriend 11. A bro never gives up, he rests and continues 12. Never ever smash your bro's current chick 13. A bro never uses Snapchat filters — a bro must look ugly and gallant 14. A bro never wears pink underwear 15. It is never acceptable for a bro to sleep with another bro’s ex (see rule 6 again) 16. Dress well, no matter the occasion 17. Never snitch on your bro to his girl, his mom, or the police 18. If your bro is too drunk to walk, you carry him home — no negotiation, no video evidence 19. Never borrow serious money from a bro and disappear — either pay back or disappear forever (but choose wisely) 20. When your bro is winning in life, celebrate louder than his own family. Real bros amplify success, they don’t compete with it.
29
171
8
625
46,252
Sharp-Man retweeted
Don’t let the Ghanaian celebrations on your timeline stop you from celebrating the big one. Happy 19 day anniversary to all of us!❤️🎉 xitter.cf/UnitedRoadYN/status/20…
59
378
2
3,220
28,910
MEN ONLY!! 👊 CODE 30 ZA AFYA AMBAZO KILA MWANAUME ALIPASWA KUJUA KABLA YA MIAKA 35. HAYA NDIO MAMBO AMBAYO WANAUME WENGI HUYAGUNDUA WAKIWA WAMECHELEWA. THREAD🧵
5
29
142
23,898
Sharp-Man retweeted
Trump closing a deal with Iran like :
552
3,204
279
43,098
9,556,707
Sharp-Man retweeted
Sex won’t satisfy you. Fame won’t satisfy you. Drugs won’t satisfy you. Money won’t satisfy you. Alcohol won’t satisfy you. Success won’t satisfy you. Life is empty without God. He is the only one who can satisfy your heart.
302
1,542
78
13,017
1,086,253