
๐๐๐จ๐ฅ๐ค๐ฃ๐จ๐๐๐ก๐ ๐พ๐๐ฉ๐๐ฏ๐๐ฃ ๐ค๐ ๐ฉ๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐ช๐ฃ๐๐ค ๐พ๐ค๐ฃ๐จ๐ฉ๐๐ฉ๐ช๐๐ฃ๐๐ฎ ๐พ๐๐ฃ๐๐๐๐๐ฉ๐ - ๐พ๐พ๐ ๐๐๐ง๐ฉ๐ฎ ๐๐ก๐๐๐ฉ๐๐ค๐ฃ 2025
Chalinze, Tanzania
Joined April 2014
- Tweets8.7K
- Following1.7K
- Followers1.2K
- Likes15.7K
Pinned Tweet
#DAC2017 "Accelerating protection for children in Africa by 2030" #DayOftheAfricanChild2017 @G_MachelTrust โ at Dar es Salaam, Tanzania
Seif Chekanae Goga retweeted
Uwezeshaji wa vijana kiuchumi hauishii katika kutafuta ajira pekee. Ni muhimu kutambua mchango wao kama wabunifu, wajasiriamali katika kukuza uchumi wa taifa. Sauti zao muhimu zisikike katika uandaaji wa sera na bajeti zinazofungua milango ya fursa.
#KijanaImara | #AfriYANTz
Seif Chekanae Goga retweeted
Hakuna maamuzi kuhusu vijana bila ushiriki wa vijana. Vijana wanapaswa kuwa sehemu ya maamuzi yanayohusu afya zao, hususan Afya ya Uzazi. Sera, mipango na programu lazima zijumuishe sauti na mahitaji ya vijana, kuanzia kwenye kamati za afya.
#AfriYANTanzania | #KijanaImara
Seif Chekanae Goga retweeted
Hakuna maamuzi kuhusu vijana bila ushiriki wa vijana. Vijana wanapaswa kuwa sehemu ya maamuzi yanayohusu afya zao, hususan Afya ya Uzazi. Sera, mipango na programu lazima zijumuishe sauti na mahitaji ya vijana, kuanzia kwenye kamati za afya.
#AfriYANTanzania | #KijanaImara โ at Dar es Salaam, Tanzania
Seif Chekanae Goga retweeted
Developing countries including Tanzania are spending 10% or more of their total revenues just to pay interest on public debt. We cannot allow debt repayments to starve the clinics and health workers that keep vulnerable communities alive.
#IPU153 | #Act4WCA
@wizara_afyatz
Seif Chekanae Goga retweeted
Seif Chekanae Goga retweeted
Seif Chekanae Goga retweeted
Developing countries including Tanzania are spending 10% or more of their total revenues just to pay interest on public debt. We cannot allow debt repayments to starve the clinics and health workers that keep vulnerable communities alive.
#IPU153 | #Act4WCA
@wizara_afyatz
Seif Chekanae Goga retweeted
Seif Chekanae Goga retweeted
Seif Chekanae Goga retweeted
Ikulu Chamwino, Dodoma
Imekuwa siku njema yenye baraka kukutana na kufanya mazungumzo na Maaskofu wa Kanisa Katoliki kupitia Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC). Tumezungumzia masuala mbalimbali ya kitaifa, yakiwemo amani, mshikamano, maendeleo na nafasi ya viongozi wa dini katika kujenga jamii yenye maadili na uwajibikaji.
Nimewashukuru Maaskofu kwa mazungumzo haya yenye tija, na nimewahakikishia dhamira yangu ya kuendelea kushauriana na kushirikisha viongozi wa dini na makundi mbalimbali, katika masuala muhimu yanayojenga mustakabali wa Taifa letu.
Seif Chekanae Goga retweeted
Bismillah Rahmanir Rahim....Allhamdullilah
As Allah(S.W) created us all in pairs, I am glad that I have found my pair.
Yesterday I said YES to my Rouhy, Love of my Life. Asante kwa kutimiza ahadi zako Mchumba Wangu and My soon to be Husbandโค๏ธ๐.
Nakupenda Babaโค๏ธ. @JohnieZeBest
Lile likenge lingekuuaโฆ!๐ถ
Eeeh Kama mnavyoona!
Hongera sana Kaka @JohnieZeBest
2
75
Seif Chekanae Goga retweeted
โUsimtafsiri mtu kutokana na maneno ya watu, ishi nae kwanza ujionee, yote ni kwa sababu binadamu huishi maisha tofauti kulingana na watu tofauti - โ BWM
Seif Chekanae Goga retweeted
Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Uongozi wa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inajivunia kuona matokeo mara baada ya kuboresha miundombinu ya viwanja vya ndege, kuimarisha ubora wa huduma, na kujenga ushirikiano imara katika sekta ya usafiri wa anga Duniani.
Seif Chekanae Goga retweeted
Yesterday , @UNFPATanzania Representative @MarkB_Schreiner met with H.E. @MYoungFCDO to strengthen our partnership on sexual and reproductive health and rights, family planning, and maternal health.
Discussions included collaborations to ensure access, equity, and impact.
Seif Chekanae Goga retweeted
Kama kijana, unayo haki ya kupata elimu na taarifa juu ya mahusiano salama na namna ya kujikinga na mimba ambayo hukuitarajia. Tembelea kituo cha kutolea huduma za afya ya uzazi kilichopo Jirani yako au kile unachoweza kukifikia bila changamoto yoyote.
#LetsTalkTz #KijanaPlus




































