TANZANIA BUSES NATION retweeted
#GiannaLuxury Lengo ni moja tu kuwapa abiria wa njia ya Mwanza || Karagwe heshima wanayostahili kwa kutumia usafiri wenye hadhi. 馃敟馃敟
TANZANIA BUSES NATION retweeted
#HABARI Barabara kuu ya Tanga鈥揝egera inatarajiwa kufungwa kwa saa nne kesho, Oktoba 20, 2026, kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa sita mchana, ili kupisha matengenezo ya dharura katika madaraja ya Hale na Maguzoni yaliyoathiriwa na mvua kubwa zilizonyesha hivi karibuni.
Meneja wa TANROADS Mkoa wa Tanga, Mhandisi Msama Msama, amesema matengenezo hayo yanalenga kurekebisha maeneo yaliyoharibiwa na maji ya mvua pamoja na kuimarisha hali ya madaraja hayo ili kuhakikisha usalama wa watumiaji wa barabara hiyo.
Amesema barabara ya Tanga鈥揝egera ni kiungo muhimu kinachounganisha Mkoa wa Tanga na maeneo mengine ya nchi, hivyo matengenezo hayo ni muhimu katika kuimarisha usalama wa usafiri na usafirishaji. Watumiaji wa barabara hiyo wanashauriwa kuzingatia muda wa kufungwa kwake na kupanga safari zao mapema ili kuepuka usumbufu.
#EastAfricaTv #TogetherTunawakilisha
TANZANIA BUSES NATION retweeted
#RoyalExpress
Scandinavian Vibes
TANZANIA BUSES NATION retweeted
Road ya Segera - Tanga itafungwa kesho tarehe 20/10/2026 kwa masaa manne (Saa 2 asubuhi hadi saa 6 mchana) kwa ukarabati wa baadhi ya madaraja. So wale wazee wa magari makubwa (Malori na Mabasi) kwa route hiyo mpange ratiba zenu vizuri.
@TBoundBuses @BusesNation @Adventure_36
TANZANIA BUSES NATION retweeted
Kama yupo single mniambie nivute jiko.
@PorcarlP 馃摳
TANZANIA BUSES NATION retweeted
Hii barabara ya Tinde paka Lusahunga hapa pesa ilienda kiuhalali馃嚥馃嚰馃檶馃檶馃檶馃檶
TANZANIA BUSES NATION retweeted
Humu ndani hamna madereva wa malory ?! Au hamna ndugu wanatafuta kazi za malory??
RT tangazo liwafikie wengi.
Replying to @BusesNation
Na bado upo humo humo kwenye basi? Baada ya vurugu zoote hizo na dereva? 馃槀馃槀
TANZANIA BUSES NATION retweeted
Replying to @BusesNation
Mlikuwa mstari wa mbele kutete a mgomo kuliko kuwakanya madereva . Ok ngoja afutiwe leseni kwanza akae bench.
TANZANIA BUSES NATION retweeted
Ni Mbwembwe Tu za Kuvutiq Abiria
Mfano Abc D14 ni 410hp na 375hp zote zikiwa Automatic
D14+ za Bm ni 360hp Manual
D14 super za Abood ni 360hp Manual
Wakubwaa eeeh Naomba kueleweshwa bila makelele utofauti wa Yutong Bus
D14
D14plus
D14 super
ni upi?
@TBoundBuses @SouthernBuses @BusesNation
Ni Mbwembwe Tu za Kuvutiq Abiria
Mfano Abc D14 ni 410hp na 375hp zote zikiwa Automatic
D14+ za Bm ni 360hp Manual
D14 super za Abood ni 360hp Manual
Wakubwaa eeeh Naomba kueleweshwa bila makelele utofauti wa Yutong Bus
D14
D14plus
D14 super
ni upi?
@TBoundBuses @SouthernBuses @BusesNation
TANZANIA BUSES NATION retweeted
INTERCAPE South Africa wameleta Bus zao Mpya Kutoka Kwa Kina Vini Brazil
G8 Double Decker Powered by Volvo 510hp BR13 Euro 6
INTERCAPE South Africa wameleta Bus zao Mpya Kutoka Kwa Kina Vini Brazil
G8 Double Decker Powered by Volvo 510hp BR13 Euro 6



























