
Toughcrowd Arsenal saliba #1 fan Mwanza mwanza
Mwanza, Tanzania
Joined June 2025
- Tweets12.6K
- Following846
- Followers525
- Likes4.1K
Barcelona wanapikwa kwasababu ya mdomo wao 😂😂 huu mdomo alipaswa kua nao arsenal na nyumbu mnaingilia kaz za watu
Anyway natangaza nia mimi kama shabiki wa arsenal na ligi kuu ya uingereza naitakia aston villa na mancity ushind dhidi ya wababe wa racing santander
Hizi skills za uandishi walizokua nazo kina prof zilikua top notch🔥
Jamaa alitengenez dialogue ikakaa kweny rythm ya kimziki afu imepangika
Hii catalogue ya ufundi kina young lunya hawana😂😂🚮
Anderson wa kweny mziki wanafanya basics tu😭
"Dada habari samahani naomba niulize swali"
Akajibu, "Maskini koma tafadhali hii ngoma ya gari"
"Ehee unajua dada?", "We vipi hebu nipishe"
"Dada mbona mkali", "We kinyago kubali yaishe"
Nilipokea hela, alichotaka nilimletea
Akakipokea, tabasamu zito akanitolea
Nilimpa chenji
"Oh no, keep change, una mawazo mengi itakufariji weekend"









