Erasto S. Mlyuka retweeted
Congratulations to Professor Mohamed Yakub Janabi for being elected the World Health Organization Regional Director for Africa, for the term 2025-2030.
With decades of expertise and experience in the health sector, I have every confidence that you have all that it takes to serve our continent, and steer us all to greater heights.
The United Republic of Tanzania is thankful to every member state that believed in your skills, experience and vision for our continent.
Professor, you have my warmest wishes for a successful tenure.
Erasto S. Mlyuka retweeted
#REWARDS These are the rewards for the innovators of the tax base increase awards. Seize the opportunity!
Erasto S. Mlyuka retweeted
Pongezi za dhati kwa Klabu ya Simba kwa ushindi katika mchezo wa Mashindano ya Kombe la Shirikisho la Soka Afrika (CAF Confederation Cup), na kuandika historia ya kufika fainali ya mashindano haya. Mmeipa nchi yetu heshima kubwa. Nawatakia kila kheri. Mnayo hamasa yangu wakati wote.
Erasto S. Mlyuka retweeted
Uzinduzi wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014.
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH), Dkt. Amos Nungu (@nungujr ) akitoa ufafanuzi mbele ya Wageni waliotembelea Banda la COSTECH, Siku moja kabla ya Uzinduzi rasmi wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014, Toleo la 2023.
Tukio hilo linafanyika leo Tarehe 1 Februari 2025, Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre - Jijini Dodoma.
Erasto S. Mlyuka retweeted
On behalf of the Government and the people of the United Republic of Tanzania, I extend my warm felicitations to His Excellency President Xi Jinping, the Government and the people of the People’s Republic of China on the occasion of the Chinese New Year, the Year of the Snake. May the New Year bring happiness, good fortunes and prosperity.
Erasto S. Mlyuka retweeted
Excellencies and distinguished guests, delegates, partners and friends, welcome to Tanzania for the Mission 300 Africa Energy Summit to be held in Dar es Salaam on the 27th and 28th of January 2025. This summit marks a historic moment in our collective efforts to accelerate energy access across Africa, and to take bold actions to power our continents's future.
Karibuni sana.
Hongera Dkt. Elias Nuru Musa!
Nakupa pongezi kubwa kwa kufanikisha shahada ya uzamivu. Ukiwa Mwanadarasa mwezetu Ndanda Sekondari (PCB), mafanikio yako ni mfano wa bidii na uthubutu. Mafanikio haya yanaheshimisha familia, jamii, na taifa. Mungu akuzidishie hekima na baraka.
Erasto S. Mlyuka retweeted
Dar es Salaam, Desemba 4, 2024.
Waziri wa Elimu, Sayansi, na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amesisitiza dhamira ya serikali kuwekeza zaidi katika sekta ya Sayansi, Teknolojia, na Ubunifu (STU) ili kuwawezesha vijana wa Kitanzania kuona sekta hiyo kama fursa ya maendeleo yao na taifa kwa ujumla.
Akihitimisha Kongamano la Tisa la Wanasayansi, Watafiti, na Wabunifu (#STICE2024) lililofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Prof. Mkenda alisema, "Serikali imeahidi kuendelea kuwekeza kwenye STU ili vijana wa Kitanzania waone kuwa sayansi ni fursa na wakimbilie huko na wachangie kusaidia maendeleo yao na ya taifa."
Prof. Mkenda pia aliwataka wabunifu kuhakikisha kazi zao zinafika sokoni na kutatua changamoto za kijamii badala ya kurudia bunifu zilezile kila mwaka. "Tunataka kuona kazi za wabunifu zinafika sokoni na kutatua changamoto za jamii, na sio kila mwaka tunaona bunifu hizohizo. Ndiyo maana tumeanzisha Mfuko wa Samia ili mtaji isiwe sababu ya kukwamisha maendeleo," alieleza.
Mfuko wa Samia, ambao umetangazwa rasmi, unalenga kusaidia wabunifu na wajasiriamali wa Tanzania kwa kuwapatia mtaji ili kuendeleza bunifu zao na kuzifanya ziweze kusaidia katika kuboresha maisha ya jamii na kukuza uchumi wa nchi.
Kongamano hilo la siku tatu, lenye kaulimbiu "Matumizi ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu kwa Ustahimilivu wa tabianchi na Uchumi Shindani." limekuwa jukwaa muhimu kwa wataalamu wa sayansi, watafiti, na wabunifu kubadilishana mawazo na kutafuta suluhisho za changamoto zinazokumba jamii.
Katika hotuba yake ya kufunga, Prof. Mkenda aliwasihi washiriki kutumia maarifa waliyopata katika kongamano hilo kwa vitendo. "Tunayo dhamana ya kuhakikisha kwamba sayansi na ubunifu havibaki tu kwenye maabara bali vinasaidia kubadilisha maisha ya Watanzania," alisema.
Wito wa Prof. Mkenda umeongeza matumaini miongoni mwa watafiti,wabunifu, na wadau wa maendeleo, huku serikali ikitarajiwa kutoa msukumo zaidi katika kuhakikisha sayansi inakuwa mhimili wa maendeleo ya kijamii na kiuchumi nchini.
#STICE2024 #MamaYupoKazini #Tanzanialnnovation
Excited to announce our new partnership with WFP under the MoU to boost agricultural and food system innovation in Tanzania! #Agriculture #Innovation #Partnerships"
Erasto S. Mlyuka retweeted
Director General of COSTECH Dr. Amos Nungu together with the @WFP_Africa Country Director Sarah Gordon-Gibson shake hands after signing a partnership agreement to support agriculture innovations in Tanzania during an MoU signing ceremony held on 11th June 2024 at COSTECH
Erasto S. Mlyuka retweeted
Innovation Week kicked off today with a media symposium at @costechTANZANIA !
Join us at JNICC from tomorrow, 21st May 2024, for a week of exciting innovations and ideas fueling our economy. Let's grow together and celebrate innovation's power!
@Funguo_Tz @EUinTZ
Erasto S. Mlyuka retweeted
We’re thrilled to announce our partners for the Tanzania Digital Awards 2023!
- @costechTANZANIA
- @Funguo_Tz
- @StanbicBankTZ
- @Enabel_Belgium
- @UNCDF
- @EUinTZ
- @UKID
- @unwomentanzania
- @UNICEFTanzania
- @Trophacom
- @herinitiative
- @OracleAcademy
"In loving memory of Zephania Giteadu Ubwani, a dedicated reporter who worked tirelessly to keep the public informed until his last moments. Rest in Peace, Zephania. Your contributions will always be remembered." 🕊️📰 #RIPZephania

































