Raphael retweeted
Kama ikitokea umechoka ukaondoka sehemu uliyokuwa unasaidiwa japo kidogo, usiondoke kwa shari. Maana kunasiku unaweza kurudi tena.
Good morning X familia.
Raphael retweeted
Siri ya furaha ni kufurahia kile ulichonacho wakati unatafuta kile unachotamani..✍🏼
Raphael retweeted
Tukijuwa tunacho kitafuta ni kipi tusichoke kupambana 🙏🙏🏽👏
Good morning fighters ✌️🖐️😔
Raphael retweeted
Usitamani Mali au Mke wa jirani yako au chochote kilicho chake.
Hii zambi itawachoma sana moto Millenials 😅
Raphael retweeted
Ndege siku hizi hawatui tena kwenye miti wanayoipenda😎
Wanatua wakichoka kuruka ruka
Soma tena vizuri
Raphael retweeted
Wilaya ya Kyela ina jumla ya wakaz 266,426
Wanaume: 126,235
Wanawake: 140,191
Vijijini: 211,699
Mijini: 54,727
Utalii kama Matema Beach, Ikato lya Nyerere, Milima ya Livingstone, Kilambo HotSprings, pia inazalisha zao la kokoa na mpunga watu wake ni wanyakyusa. Karibu Kyela.























