O N E MROKI (@OneMroki) header
O N E MROKI (@OneMroki) profile picture

#GOE 😊

Pwani,Tanzania
Joined January 2013
Photo by O N E MROKI (@OneMroki)Photo by O N E MROKI (@OneMroki)Photo by O N E MROKI (@OneMroki)Photo by O N E MROKI (@OneMroki)Photo by O N E MROKI (@OneMroki)Photo by O N E MROKI (@OneMroki)Photo by O N E MROKI (@OneMroki)Photo by O N E MROKI (@OneMroki)Photo by O N E MROKI (@OneMroki)Photo by O N E MROKI (@OneMroki)
Naomba Tumsaidie BERNADETHA Aweze Kuona Tena. KWA CHOCHOTE WAWEZA TUMA KWENYE HIZO NO. πŸ‘‡ #HelpMeSeeTheBeautyOfToday – at Dar es Salaam, Tanzania
13
128
4
247
Appreciation tweet kwa big brother Nyani zee, tumefanya mambo mawili matatu ila he is always there, ukiwa na issue yako atatenga muda kukupigia ulipofikia na kama una ka milestone mahali atakuja kucheki na kukupa his remarks, kwa wale ambao hatuna tochi hapa mjini sio kitu kidogo
4
17
3
149
9,579
O N E MROKI retweeted
Sema muda mwingine kuwaelewa inahitaji uwe hauna akili πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Tumefanikiwa kusimamisha ghughuli zote za uzalishaji hapa ni k/koo mtaa wa gerezani #77 Haijaisha mpaka iishe.
18
17
1
129
18,277
Aliyekuwa Ofisa Uhusiano Mkuu Daraja la II katika Kitengo cha Mawasiliano na Masoko cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Jackson Isdory Mushi (43) amefariki dunia katika ajali ya barabarani. Taarifa iliyotolewa leo Alhamisi, Mei 28, 2026 na Makamu Mkuu wa UDSM, Profesa William Anangisye imesema ajali hiyo ilitokea jana Jumatano. Profesa Anangisye amesema Mushi aliyezaliwa Mei 21, 1983 alikuwa mtumishi aliyejitolea, mwenye weledi na uzalendo wa hali ya juu katika kazi zake. β€œAlichangia kwa kiasi kikubwa katika kuimarisha taswira ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kupitia mawasiliano ya kitaasisi, uhusiano na wadau, itifaki na masoko. Alihudumu kwa uaminifu, bidii na umahiri hadi umauti ulipomkuta,” amesema. Amesema mipango ya mazishi inafanywa na familia kwa kushirikiana na UDSM, nyumbani Mbezi Makabe, barabara ya Goba, Dar es Salaam. Taarifa kamili kuhusu ratiba na itifaki ya heshima za mwisho zitaendelea kutolewa kupitia Kitengo cha Mawasiliano na Masoko, UDSM. #mwananchiupdates #tunaliwezeshataifa
6
5
5
86
28,633
O N E MROKI retweeted
Ukienda Dodoma ukamwuuliza mtu kama yupo Dodoma na akakujibu ametoka kidogo, lakini ukaenda mahali ukamwona amekaa akiendelea na shughuli zake, basi meza mate somo lieleweke kimya kimya na utulie kama mtu anayechemsha maziwa anategea lile povu. Kuwepo mahali haimaanishi mtu anapatikana ukimhitaji. Kadhalika, ukiwa Dodoma ukaenda mahali ukamwona mtu mnayefahamiana na hamna miadi naye lakini ukataka umsalimie bila kuonekana umemvamia. Ikitokea umejitahidi sana nyuso zenu zikutane msalimiane β€˜kwa bahati mbaya’ na ukaona macho hayakutani milele, huenda mtu huyo alitangulia kukuona lakini asingependa msalimiane. Utamsaidia sana ukiheshimu haki yake ya kuwa na faragha halafu endelea na shughuli zako kama vile hujamwona.
19
36
4
264
33,484
Inabidi nijifunze kupika aisee ..
48
O N E MROKI retweeted
"mpango ni uleule....wa kununua gari la shilingi miliion 100"
1
4
1
8
237
O N E MROKI retweeted
If you're proud of your Dad. Retweet this.
215
33,020
347
44,997
1,107,793
O N E MROKI retweeted
Poor people want rich country passports. Rich people want poor country passports.
114
387
39
5,182
273,434
O N E MROKI retweeted
Kuna Jamaa out of love and Support kanitengenezea hii kitu bwana humu, handle nimesahau, Thank you πŸ™πŸΌ
34
316
8
799
65,665
O N E MROKI retweeted
Utadharauliwa na uliowaamini, utaangushwa na uliowabeba, yatasemwa mabaya yako na wale uliojitoa kwaajili yao. Hii sio mitihani ya maisha, Bali ni MAISHA YENYEWE✊
1
17
1
66
1,533
O N E MROKI retweeted
I think it’s okay to want more from life than just children and a family.
28
241
3
1,229
23,473
O N E MROKI retweeted
Sorry to interrupt your scrolling, but i hope your MOM get a happyyyyy and longer life.
25
47
1
935
18,817
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano, Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania na Tovuti: ikulu.go.tz #TanzaniaYetuSote #NchiYetuKwanza #MaendeleoEndelevu
63
40
7
89
10,629
Pressure (Hyper Tension) ni ugonjwa ASYMPTOMATIC (usio na dalili) so unakuta imepanda alafu vimishipa vya damu vile vidogo kabisa (kwenye ubongo, figo au macho) vinapasuka.. Kwisha habari yako Na maisha haya ya stress, muhimu sana ukishafika 30+ uwe una habit ya kupima vital signs na regular check up pia. Yaani Sukari na Pressure, vinaua figo, macho, na worst case ndio hiyo BRAIN ANEURYSM ambayo kutoboa is almost impossible.
SUKARI na PRESSURE vinaua sana ndugu zetu kuliko UKIMWI. Hasa changamoto ya DAMU KUVUJIA KWENYE UBONGO. Imekuwa kero.
10
35
1
189
27,896
O N E MROKI retweeted
SUKARI na PRESSURE vinaua sana ndugu zetu kuliko UKIMWI. Hasa changamoto ya DAMU KUVUJIA KWENYE UBONGO. Imekuwa kero.
31
54
3
623
58,259
O N E MROKI retweeted
Haya ndio mambo ya Wanaume kuambiana sio ya kuitana kwenye Vikao vya kuambiana uduanzi. πŸ“Œ
23
187
14
719
62,024
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ameitembelea na kuifariji familia ya aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Marehemu William Vangimembe Lukuvi, katika mkazi yao Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 16 Aprili 2026. Wakati wa Msiba na Mazishi ya Kiongozi huyo, Makamu wa Rais alikuwa nje ya nchi kwa ziara ya kikazi.
3
12
1
73
9,570
Dear family oriented men, there’s absolutely nothing near okay about being 40yrs old and having a 5yrs old as your first child.
1,106
266
365
2,430
1,112,459
O N E MROKI retweeted
Bi Angela Kizigha amekula Kiapo kizalendo mno kuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Leo. Huyu Mama ni Mzalendo wa Kweli!!
32
6
6
89
13,438