OnTop Digital Printing retweeted
Haya Wanawake wameanza kujiuliza walikosea wapi, hebu Tutulie Tusikilize hii video Kwa utulivu kidogo😱
OnTop Digital Printing retweeted
Kwanini maandamano ya baada ya Uchaguzi hayajasababishwa na wanaharakati wala wanasiasa wa upinzani
My latest for @bbcswahili 👇🏾
youtu.be/2zTfjAdFb64?si=MOXf…
OnTop Digital Printing retweeted
Mh. John Heche na viongozi wengine waliokamatwa wameachiliwa huru.
REPOST 200
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
OnTop Digital Printing retweeted
---🔴📺 SERIES 📺🔴---
Name: Search, The Naina Murder Case (2025-)
Genre: Drama, Hindi
Seasons: 1
IMDb: 6.1
Story:
A veteran cop gets mired in a high profile murder case when a girl is found dead in a politician's car.
🔗WhatsApp: wa.me/255736336245
📥Group zote: linktr.ee/latariico
OnTop Digital Printing retweeted
Karibu Jangwani, Kocha wa Sayansi ya Mpira Pedro Gonçalves🔰
Taarifa zaidi tembelela Yanga SC APP📲
#TimuyaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
OnTop Digital Printing retweeted
#TajiriLaKihaya
TANGAZO ! TANGAZO !!
Naomba Unisaidie ku #Repost hii iende mbali zaidi na imfikie kila mtu!
Kuna watu Huwa Wanajidai ni mimi… wanaingia Whatsapp au wengine kuwa DM humu X hasa Warembo.
Naomba kusema kwamba mimi Sina Account yoyote tofauti na hii yangu @EsirEid .
Sina PARODY account yoyote ile… Wale wanaojiita ‘Tajiri La Kihaya’ ni Kwa utashi wao tu na sina uhusiano nao wala siwafaham…
Mm nkikuelewa nitakufata na Account yangu hii ya X…sijifichi kwenye Parody lolote na wala siogopi chochote hata zikileak…
Pili,mtu yeyote aliewahi kuweka namba zake kwenye Post zangu- mm sijawahi kupiga simu wala kutuma sms- mm huwa natuma hela basi- uhusiano wetu unaishia humu X tu- na hata ambao huwa wanajaribu kunitafuta HUWA SIPOKEI wala Kujibu sms zao!
Kama ulitafutwa na mtu akijidai ni mm- basi huyo Ni TAPELI!
Tatu, Sijawahi kutumia line ya AIRTEL mimi… natumia line moja tu ya HALOTEL (walau ndio mtandao wake unashika hapa kijijini kwetu MULEBA) na ina ma zero manne.
Sijawahi tumia line ya mtu mimi…
OGOPA MATAPELI- Kaa Kijanja!
Uzuri mnanifaham wote -atakaejidai ni mm- Piga VIDEO CALL.
Hii namba hapa chini nmetumiwa na watu wengi hasa Mabinti- wakitafutwa na huyu jamaa anajidai ni mm…
Huyu sio mm…NI TAPELI!
Ikiwezekana naomba mumsalimie kidogo…
OnTop Digital Printing retweeted
Waajiri na ma-HR,
Acheni kufanya usaili/interview ikiwa tayari mnajua nani anapata kazi
Waungwana wengi;
-Hukopa nauli kufika kwenye usaili
-Huazima nguo kuvaa siku ya usaili
-Hulala njaa kutunza hela ya chakula siku ya usaili
-Hufunga na kukesha wakisali
Kuweni na UTU basi!
OnTop Digital Printing retweeted
#TajiriLaKihaya
Naendelea kusema - nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba MBOWE na BONI YAI na MMM na timu yao nzima!
Hawahusiki kuihujumu CHADEMA
OnTop Digital Printing retweeted
RAV4 OLD MODEL 🔥🔥
REG" #BDY
◾️CC. 1990
◾️ENGINE-3S
◾️FULL AC 🌧
◾️SPORT RIMS
◾️NEW TYRES
◾️FULL DOCUMENTS
BEI -MIL 6.9
IPO DAR
CALL -0719542184
OnTop Digital Printing retweeted
RAV4 KILITIME 🔥 🔥
REG" #DSP
◾️CC. 1790
◾️ENGINE-1Zz
◾️FULL AC 🌧
◾️FULL DOCUMENTS ✅️
BEI - 16M
IPO DAR
CALL/WHATSAPP-0719542184































