Pinned Tweet
Replying to @eastafricatv
We are specializing on digitization. Jus look the outcomeโฆ
๐ press your now. Remember no charge for digitization.
๐ Pay 18000 for less than 5 pcs @ pc.
๐pay only 17000 for more than 5 pcs @ pc
Contact us now 0711923106.
@Tilishosafaris
@SD_embroidery
@LadiicOfficial โ at Kilimanjaro, Tanzania
OnTop Digital Printing retweeted
Haya Wanawake wameanza kujiuliza walikosea wapi, hebu Tutulie Tusikilize hii video Kwa utulivu kidogo๐ฑ
OnTop Digital Printing retweeted
Wanangu wa nguvu kama umeamka salama naomba repost yako hapa ๐๐พ
Glory to God
Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) ameondoa mashtaka na kuwaachia huru mfanyabiashara wa vipodozi Jenifer Jovin (Niffer) na Mika Lucas Chavala, waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya uhaini.
Uamuzi huo umetolewa leo Jumatano, Desemba 3, 2025, na Hakimu Mkazi Mkuu Aaron Lyamuya baada ya wakili wa Serikali, Titus Aron, kuiambia Mahakama kuwa DPP hana nia ya kuendelea na mashtaka dhidi ya washtakiwa hao wawili.
19
OnTop Digital Printing retweeted
Kwanini maandamano ya baada ya Uchaguzi hayajasababishwa na wanaharakati wala wanasiasa wa upinzani
My latest for @bbcswahili ๐๐พ
youtu.be/2zTfjAdFb64?si=MOXfโฆ
OnTop Digital Printing retweeted
Mh. John Heche na viongozi wengine waliokamatwa wameachiliwa huru.
REPOST 200
TUTAKUWEPO๐ซต๐พ๐
Nakumbuka kipndi kile nipo sekondari hata nikae kimya kivip majina ya wasumbufu nimo. Ndio yaliyo mkuta BonyYai
16
OnTop Digital Printing retweeted
---๐ด๐บ SERIES ๐บ๐ด---
Name: Search, The Naina Murder Case (2025-)
Genre: Drama, Hindi
Seasons: 1
IMDb: 6.1
Story:
A veteran cop gets mired in a high profile murder case when a girl is found dead in a politician's car.
๐WhatsApp: wa.me/255736336245
๐ฅGroup zote: linktr.ee/latariico
OnTop Digital Printing retweeted
Karibu Jangwani, Kocha wa Sayansi ya Mpira Pedro Gonรงalves๐ฐ
Taarifa zaidi tembelela Yanga SC APP๐ฒ
#TimuyaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
OnTop Digital Printing retweeted
#TajiriLaKihaya
TANGAZO ! TANGAZO !!
Naomba Unisaidie ku #Repost hii iende mbali zaidi na imfikie kila mtu!
Kuna watu Huwa Wanajidai ni mimiโฆ wanaingia Whatsapp au wengine kuwa DM humu X hasa Warembo.
Naomba kusema kwamba mimi Sina Account yoyote tofauti na hii yangu @EsirEid .
Sina PARODY account yoyote ileโฆ Wale wanaojiita โTajiri La Kihayaโ ni Kwa utashi wao tu na sina uhusiano nao wala siwafahamโฆ
Mm nkikuelewa nitakufata na Account yangu hii ya Xโฆsijifichi kwenye Parody lolote na wala siogopi chochote hata zikileakโฆ
Pili,mtu yeyote aliewahi kuweka namba zake kwenye Post zangu- mm sijawahi kupiga simu wala kutuma sms- mm huwa natuma hela basi- uhusiano wetu unaishia humu X tu- na hata ambao huwa wanajaribu kunitafuta HUWA SIPOKEI wala Kujibu sms zao!
Kama ulitafutwa na mtu akijidai ni mm- basi huyo Ni TAPELI!
Tatu, Sijawahi kutumia line ya AIRTEL mimiโฆ natumia line moja tu ya HALOTEL (walau ndio mtandao wake unashika hapa kijijini kwetu MULEBA) na ina ma zero manne.
Sijawahi tumia line ya mtu mimiโฆ
OGOPA MATAPELI- Kaa Kijanja!
Uzuri mnanifaham wote -atakaejidai ni mm- Piga VIDEO CALL.
Hii namba hapa chini nmetumiwa na watu wengi hasa Mabinti- wakitafutwa na huyu jamaa anajidai ni mmโฆ
Huyu sio mmโฆNI TAPELI!
Ikiwezekana naomba mumsalimie kidogoโฆ




























