LissuSioMhaini (@NoReformsNoElec) header
LissuSioMhaini (@NoReformsNoElec) profile picture

FREE TUNDULISSU NOW

Capitán Bermudez, Argentina
Joined June 2022
Photo by LissuSioMhaini (@NoReformsNoElec)Photo by LissuSioMhaini (@NoReformsNoElec)Photo by LissuSioMhaini (@NoReformsNoElec)Photo by LissuSioMhaini (@NoReformsNoElec)Photo by LissuSioMhaini (@NoReformsNoElec)Photo by LissuSioMhaini (@NoReformsNoElec)Photo by LissuSioMhaini (@NoReformsNoElec)Photo by LissuSioMhaini (@NoReformsNoElec)Photo by LissuSioMhaini (@NoReformsNoElec)Photo by LissuSioMhaini (@NoReformsNoElec)
LissuSioMhaini retweeted
14
100
1,978
LissuSioMhaini retweeted
"Sauti ya wananchi wa nchi hii ni Chadema, popote tunapokwenda. Tunaanza mikutano hivi karibuni, mtaona." Mhe. @HecheJohn
3
59
1
287
4,533
LissuSioMhaini retweeted
Chadema fire, Hii ndio sababu ya kupitia mateso maana watanzania wanawapenda sana
29
187
2,178
LissuSioMhaini retweeted
If things worked this fast in Africa, the continent would be a different place.
245
609
48
7,382
972,841
LissuSioMhaini retweeted
Nimepita barabara kutoka Ubungo to Kibaha. Maeneo ambayo juzi watu walibomolewa nyumba na serikali ya ccm kwamba ni hifadhi ya Barabara. Watu wengi walipoteza maisha, wengi walipata magonjwa makubwa na kupoteza kila kitu walichopigania maisha yao yote. Miaka mitatu baadae haya haya maeneo viongozi wa serikali ya ccm na majambazi wenzao wamejigawia wanajenga vituo vya mafuta kushoto na kulia!!! Nyie Watanzania mpo mnaona uonevu mnasema Mungu atasimamia. Cartels wamepoka nchi yetu, kila mtu ataumizwa kwa njia zake. Lazima tukatae, maana leo watachukua nyumba yako waseme ni barabara Kesho utakuta anaishi mtoto wa Waziri hapo.
43
264
8
1,338
41,498
LissuSioMhaini retweeted
52
156
6
1,261
25,100
Nina pendekezo kwa CHADEMA. Ili kutokomeza hizi press conferences za wahuni kuhusu maridhiano, iwe ni policy ya chama kuwa kama kuna member wa CHADEMA anataka kufanya press conference, lazima aruhusiwe na press secretary @BrendaRupia au @jjmnyika baada ya kupeleka proposal. – at Bristol, IL
44
110
9
701
22,281
AFCON TUNAANDAMANA
13
68
8
455
20,268
LissuSioMhaini retweeted
#HABARI Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imeamua kuwa hatua ya Serikali kuzuia mtandao wa X, zamani Twitter, tangu Mei 20, 2025, ni kinyume cha Katiba na kuagiza vizuizi hivyo kuondolewa mara moja. Uamuzi huo ulitolewa Novemba 24, 2026, kufuatia kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na wanaharakati wa haki za binadamu, Tito Magoti na Kumbusho Dawson, dhidi ya Serikali. Jopo la majaji watatu, Salma Maghimbi, Elinaza Luvanda na Elizabeth Mkwizu, limesema Serikali haikuwa na mamlaka ya kuzuia mtandao mzima kwa kutumia kanuni zinazolenga kudhibiti maudhui maalumu, badala yake ilipaswa kushughulikia maudhui yanayokiuka sheria. Mahakama imeeleza kuwa zuio hilo lilikiuka haki za uhuru wa kujieleza, kupata taarifa na kushiriki katika shughuli za kijamii, hivyo kuiagiza Serikali kuondoa vizuizi na upunguzaji wa kasi ya mtandao huo, huku mamlaka ya kudhibiti maudhui haramu yakiendelea kubaki kwa Serikali. #EastAfricaTv #TogetherTunawakilisha
34
57
9
596
32,067
🤔🤔🤔🤔NIKA MLALE MAMA YANGU MZAZI🙌🏾🙌🏾Hivii mnaelewa gharama ya hiki kiapo cha huyu Gen Z Hii ndio hali halisi na ndio ukweli! Uliopo 🔥🔥🔥🔥🙌🏾
26
87
753
65,018
LissuSioMhaini retweeted
Hamna mtu anayeweza kupinga haya, isipokuwa watakuambia, “Who are you?” Nchi gani hii inayokosa uwajibikaji akhi?
10
222
1,029
37,559
LissuSioMhaini retweeted
Majambazi wakwanza tz ni Police
2
15
157
9,722
Nimeona mawachwa wa wauwaji wanamsema Heche kuhusu maridhiano ya South Africa yalivyofanyika….. Heche yuko sahihi….
23
201
1
1,306
46,888
LissuSioMhaini retweeted
Heaven is not a reward for good people. Heaven is God's gift to bad people. Jesus Christ died for the sins of us bad people. Heaven is certain for all who merely look to Christ in faith. In that moment of faith, our eternity is forever changed--no thanks to us. It's all of God.
128
1,148
8
16,300
248,244
LissuSioMhaini retweeted
Mawakili tulioko Z’bar, Kesho tunapiga kura kupata Secretary wa EALS, Tumpigie kura @gloria_kimani Nilimjua Uganda tulikuwa wote observers kesi ya Besigye. Alikuja kwenye kesi ya TAL akazuiliwa airport na kina Matha. Tumpigie kura mpambanaji huyu,kwa EALS imara, weka ✅ KIMANI
9
130
7
545
10,553
LissuSioMhaini retweeted
Kuna kauli ya Mwalimu Nyerere kuwa Katiba yetu inampa Rais madaraka makubwa kiasi kwamba akipatikana "Rais kichaa" nchi itakuwa ya kidikteta. Hivi aliyasema haya akiwa bado Ikulu au baada ya kung'atuka?
27
42
5
413
14,982
LissuSioMhaini retweeted
Siku nilipomsindikiza @TunduALissu kurejesha fomu ya kugombea Uenyekiti wa Chadema. Haoa ndipo historia ilipobadilika.
23
79
4
671
22,690
Is it a habit or something hidden behind this 😂😂
89
160
17
842
113,256
LissuSioMhaini retweeted
MADIKTETA SIO WA KUWAAMINI
10
133
1
1,045
51,051
LissuSioMhaini retweeted
Wakili TV this is not content at all Kama online TV owned na TLS inayoamini kwenye RULE OF LAW mnatakiwa kuleta content ambayo inajibu masuali muhimu ya uhusiano kati constitutional supremacy, Rule of Law and chilling effect on freedom of expression na shitaka la mshitakiwa
Ulinzi ukiwa umeimarishwa wakati Mkurugenzi wa Oganaizesheni, Mafunzo na Uchaguzi wa CHADEMA, John Pambalu akiondolewa Mahakama ya Mkazi Kisutu ambapo kesi yake ya uhaini ilitarajiwa kutajwa mbele ya Hakimu Mashasha lakini hakuwepo mahakamani.
8
20
2
123
3,975