LissuSioMhaini (@NoReformsNoElec) header
LissuSioMhaini (@NoReformsNoElec) profile picture

FREE TUNDULISSU NOW

Capitán Bermudez, Argentina
Joined June 2022
Photo by LissuSioMhaini (@NoReformsNoElec)Photo by LissuSioMhaini (@NoReformsNoElec)Photo by LissuSioMhaini (@NoReformsNoElec)Photo by LissuSioMhaini (@NoReformsNoElec)Photo by LissuSioMhaini (@NoReformsNoElec)Photo by LissuSioMhaini (@NoReformsNoElec)Photo by LissuSioMhaini (@NoReformsNoElec)Photo by LissuSioMhaini (@NoReformsNoElec)Photo by LissuSioMhaini (@NoReformsNoElec)Photo by LissuSioMhaini (@NoReformsNoElec)
LissuSioMhaini retweeted
14
101
1,997
Moto ukizima umepona
Wakuu, Mungu atuepushe na watu kama hawa maishani.
11
LissuSioMhaini retweeted
"Sauti ya wananchi wa nchi hii ni Chadema, popote tunapokwenda. Tunaanza mikutano hivi karibuni, mtaona." Mhe. @HecheJohn
3
59
1
287
4,539
LissuSioMhaini retweeted
Chadema fire, Hii ndio sababu ya kupitia mateso maana watanzania wanawapenda sana
29
187
2,178
Maccm hayawezi kujenga kama hii Wizi tuu
If things worked this fast in Africa, the continent would be a different place.
1
14
LissuSioMhaini retweeted
If things worked this fast in Africa, the continent would be a different place.
245
609
48
7,398
974,643
LissuSioMhaini retweeted
Nimepita barabara kutoka Ubungo to Kibaha. Maeneo ambayo juzi watu walibomolewa nyumba na serikali ya ccm kwamba ni hifadhi ya Barabara. Watu wengi walipoteza maisha, wengi walipata magonjwa makubwa na kupoteza kila kitu walichopigania maisha yao yote. Miaka mitatu baadae haya haya maeneo viongozi wa serikali ya ccm na majambazi wenzao wamejigawia wanajenga vituo vya mafuta kushoto na kulia!!! Nyie Watanzania mpo mnaona uonevu mnasema Mungu atasimamia. Cartels wamepoka nchi yetu, kila mtu ataumizwa kwa njia zake. Lazima tukatae, maana leo watachukua nyumba yako waseme ni barabara Kesho utakuta anaishi mtoto wa Waziri hapo.
43
265
8
1,340
41,598
LissuSioMhaini retweeted
52
156
6
1,261
25,102
Baada ya mahakama kuruhusu @X iwe huru tz, Nikashangaa nashindwa kuingia bila vpn
8
Nina pendekezo kwa CHADEMA. Ili kutokomeza hizi press conferences za wahuni kuhusu maridhiano, iwe ni policy ya chama kuwa kama kuna member wa CHADEMA anataka kufanya press conference, lazima aruhusiwe na press secretary @BrendaRupia au @jjmnyika baada ya kupeleka proposal. – at Bristol, IL
44
110
9
701
22,333
AFCON TUNAANDAMANA
13
68
8
457
20,322
LissuSioMhaini retweeted
#HABARI Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imeamua kuwa hatua ya Serikali kuzuia mtandao wa X, zamani Twitter, tangu Mei 20, 2025, ni kinyume cha Katiba na kuagiza vizuizi hivyo kuondolewa mara moja. Uamuzi huo ulitolewa Novemba 24, 2026, kufuatia kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na wanaharakati wa haki za binadamu, Tito Magoti na Kumbusho Dawson, dhidi ya Serikali. Jopo la majaji watatu, Salma Maghimbi, Elinaza Luvanda na Elizabeth Mkwizu, limesema Serikali haikuwa na mamlaka ya kuzuia mtandao mzima kwa kutumia kanuni zinazolenga kudhibiti maudhui maalumu, badala yake ilipaswa kushughulikia maudhui yanayokiuka sheria. Mahakama imeeleza kuwa zuio hilo lilikiuka haki za uhuru wa kujieleza, kupata taarifa na kushiriki katika shughuli za kijamii, hivyo kuiagiza Serikali kuondoa vizuizi na upunguzaji wa kasi ya mtandao huo, huku mamlaka ya kudhibiti maudhui haramu yakiendelea kubaki kwa Serikali. #EastAfricaTv #TogetherTunawakilisha
34
57
9
596
32,106
Mkeka wa mange ni odds 1000 na zinatoa zote
Madelu kapigwa MARUFUKU kuzurura mikoani. Shikamoo da MANGE.😂
1
21
🤔🤔🤔🤔NIKA MLALE MAMA YANGU MZAZI🙌🏾🙌🏾Hivii mnaelewa gharama ya hiki kiapo cha huyu Gen Z Hii ndio hali halisi na ndio ukweli! Uliopo 🔥🔥🔥🔥🙌🏾
26
87
755
65,211
LissuSioMhaini retweeted
Hamna mtu anayeweza kupinga haya, isipokuwa watakuambia, “Who are you?” Nchi gani hii inayokosa uwajibikaji akhi?
10
222
1,029
37,573
Ili iweje?
#TANZANIA: MADELEKA AWASHAURI CHADEMA KUANDIKA BARUA YENYE MASHARTI WANAYOYATAKA YATEKELEZWE ILI WAINGIE KWENYE MARIDHIANO Wakili msomi, Peter Madeleka amekishauri chama cha cha @ChademaTZ2 kuandika barua kwa Rais @SuluhuSamia wakiorodhesha masharti wanayoyataka kwamba yakitekelezwa watakuwa tayari kuingia kwenye maridhiano ili kuweka kumbukumbu sawa baadae wasije wakaingia kwenye lawama kwamba hawakupeleka matakwa yao kimaandishi. Zaidi: youtu.be/90hdctMgfTE
11
LissuSioMhaini retweeted
Majambazi wakwanza tz ni Police
2
15
157
9,723
Nimeona mawachwa wa wauwaji wanamsema Heche kuhusu maridhiano ya South Africa yalivyofanyika….. Heche yuko sahihi….
23
201
1
1,307
46,928
LissuSioMhaini retweeted
Heaven is not a reward for good people. Heaven is God's gift to bad people. Jesus Christ died for the sins of us bad people. Heaven is certain for all who merely look to Christ in faith. In that moment of faith, our eternity is forever changed--no thanks to us. It's all of God.
128
1,149
8
16,326
248,535
LissuSioMhaini retweeted
Mawakili tulioko Z’bar, Kesho tunapiga kura kupata Secretary wa EALS, Tumpigie kura @gloria_kimani Nilimjua Uganda tulikuwa wote observers kesi ya Besigye. Alikuja kwenye kesi ya TAL akazuiliwa airport na kina Matha. Tumpigie kura mpambanaji huyu,kwa EALS imara, weka ✅ KIMANI
9
131
7
546
10,570