NextGenTanzania retweeted
'Lazima wewe mwenyewe urudi kama mimi nilivyorudi na kujaribu kufanya kazi ngumu ya kujichimba kugundua kama wewe... fb.me/376X2tqy3
NextGenTanzania retweeted
Utafiti wa NextGeneration, mradi ulio chini ya British Council ya Ubalozi wa Uingereza, uliofanywa katika mikoa... fb.me/5TLSST3E3
NextGenTanzania retweeted
Arusha u had ur say : youth and other stakeholders in Arusha had their say today. xitter.cf/NextGenTZ/status/78179…
NextGenTanzania retweeted
Mchangiaji: Baada ya Utafiti, ni wakati sasa kwetu sisi kila mmoja kuhakikisha Anaishawishi Serikali Kufanyia kazi haya @NextGenTZ #NextGen
NextGenTanzania retweeted
Replying to @NextGenTZ
@NextGenTZ uthubutu upo sana changamoto ipo katika kupata miundombinu sahihi kwa urahisi ikizingatiwa hata xitter.cf/TYVAvijana/status/7818…
Mchangiaji: Vijana Bado tunakosa Uthubutu hivyo ni Vigumu kuweza kufanikiwa kwenye shughuli za Maendeleo. @NextGenTZ #NextGen
NextGenTanzania retweeted
Mchangiaji: Vijana Bado tunakosa Uthubutu hivyo ni Vigumu kuweza kufanikiwa kwenye shughuli za Maendeleo. @NextGenTZ #NextGen
NextGenTanzania retweeted
Replying to @NextGenTZ
@NextGenTZ Our African governments should create conducive environments for youths to start small businesses #NextGen @TYVAvijana – at Arusha, Tanzania
NextGenTanzania retweeted
elimu ni nguzo, lakini elimu ya vitendo ndo inayohitajika kwa taifa hili xitter.cf/NextGenTZ/status/78181…
Elimu sio tu nadharia, elimu pia ni vitendo, mzazi wa nyumbani & mzazi wa shuleni (Mwalimu) wawe na lengo moja ili elimu iwe msaada #NextGen
NextGenTanzania retweeted
hata ukijatahidi ufanye kitu kwa mtaji mdogo, TRA na halmashauri wamekuwa mwiba kwa sisi vijana katika kujikomboa xitter.cf/NextGenTZ/status/78181…
Mifumo ya kodi na mifumo ya usajili irahisishwe kwa vijana ili waweze kuanza na kuendesha kampuni zao ndogo ndogo #NextGen
NextGenTanzania retweeted
Replying to @FarajaNyalandu
@FarajaNyalandu : "Kwenye kila tatizo/changamoto kuna Suluhisho" Hivyo tuwe sehemu ya Hiyo Suluhisho @NextGenTZ #NextGen
NextGenTanzania retweeted
Replying to @FarajaNyalandu
@FarajaNyalandu : Sisi tuliona changamoto kwenye Elimu, hivyo tukaanzisha @ShuleDirect ili kusaidia jamii @NextGenTZ #NextGen
NextGenTanzania retweeted
African youths have great business ideas with capable of creating employmentsl opportunities but they lack financial support @NextGenTZ – at Arusha, Tanzania
NextGenTanzania retweeted
Replying to @FarajaNyalandu
@FarajaNyalandu : Vijana wengi tunashindwa Uthubutu, baada ya Wazo inahitaji Utendaji. @NextGenTZ #NextGen
NextGenTanzania retweeted
Replying to @rugemutahaba
NextGenTanzania retweeted
Mzungumzaji 1: Vijana 4/10 wenye umri wa miaka 15-19 wanaona shule ni muhimu. @NextGenTZ #NextGen
NextGenTanzania retweeted
Mzungumzaji 1: Vijana 5/10 wanaweza kufanya biashara, 4/10 wapo tayari kwa kufanya shughuli za Ujasiliamari @NextGenTZ #NextGen
NextGenTanzania retweeted
Nehesia: Utafiti wa Mradi huu ulifikia mikoa 6 na kufikia vijana zaidi ya 3,000 @NextGenTZ #NextGen
NextGenTanzania retweeted
Panelist: Mimi ni sehemu kubwa na mchango mkubwa katika jamii, hivyo ni wajibu wangu kuhakikisha jamii inakua salama @NextGenTZ #NextGen
NextGenTanzania retweeted
"Sisi Vijana ni Jukumu letu kuhakikisha Jamii inatambua Fursa Zilizopo na Kuzifanyia Kazi" @NextGenTZ #NextGen #Arusha
NextGenTanzania retweeted
Caroline: Ni muhimu sauti zetu ziweze kusikika katika jamii ili tuweze kujikwamua @NextGenTZ #NextGen








