NextGenTanzania (@NextGenTZ) header
NextGenTanzania (@NextGenTZ) profile picture

A research project whose objective is to understand key issues perceived by youth in Tanzania and their priorities. info@britishcouncil.or.tz

Tanzania
Joined June 2016
Photo by NextGenTanzania (@NextGenTZ)Photo by NextGenTanzania (@NextGenTZ)Photo by NextGenTanzania (@NextGenTZ)Photo by NextGenTanzania (@NextGenTZ)Photo by NextGenTanzania (@NextGenTZ)Photo by NextGenTanzania (@NextGenTZ)Photo by NextGenTanzania (@NextGenTZ)Photo by NextGenTanzania (@NextGenTZ)Photo by NextGenTanzania (@NextGenTZ)Photo by NextGenTanzania (@NextGenTZ)
Tune in to #CloudsFM on @NiambieTZ this Saturday at 11am. #NextGenTZ will be going live! #youth #Tanzania
NextGenTanzania retweeted
'Lazima wewe mwenyewe urudi kama mimi nilivyorudi na kujaribu kufanya kazi ngumu ya kujichimba kugundua kama wewe... fb.me/376X2tqy3
1
5
NextGenTanzania retweeted
Utafiti wa NextGeneration, mradi ulio chini ya British Council ya Ubalozi wa Uingereza, uliofanywa katika mikoa... fb.me/5TLSST3E3
1
4
Arusha u had ur say : youth and other stakeholders in Arusha had their say today. xitter.cf/NextGenTZ/status/78179…
Je, unajihisi wewe ni sehemu ya jamii kama kijana? #NextGen #Mjadala
Elizabeth Nkanda - Meneja Mradi wetu anawashukuru wadau wote kwa kuweza kufika na kuunga mkono Sauti za Vijana #NextGen
1
3
2
Balozi @NextGenTZ - @diamondplatnumz anawaambia vijana ndoto zao zinawezekana, yeye ni mfano kuwa inawezekana kuzifanikisha #NextGen
4
3
NextGenTanzania retweeted
Mchangiaji: Baada ya Utafiti, ni wakati sasa kwetu sisi kila mmoja kuhakikisha Anaishawishi Serikali Kufanyia kazi haya @NextGenTZ #NextGen
5
4
Replying to @NextGenTZ
@NextGenTZ uthubutu upo sana changamoto ipo katika kupata miundombinu sahihi kwa urahisi ikizingatiwa hata xitter.cf/TYVAvijana/status/7818…
Mchangiaji: Vijana Bado tunakosa Uthubutu hivyo ni Vigumu kuweza kufanikiwa kwenye shughuli za Maendeleo. @NextGenTZ #NextGen
Vijana wanatakiwa waandaliwe mazingira mazuri ya maendeleo, Serikali ifikirie kuanzisha Taasisi za Maendeleo ya Vijana #NextGen
NextGenTanzania retweeted
Mchangiaji: Vijana Bado tunakosa Uthubutu hivyo ni Vigumu kuweza kufanikiwa kwenye shughuli za Maendeleo. @NextGenTZ #NextGen
Passion, Discipline and Commitment ni nguzo muhimu kwa kijana anayeanza biashara ili kuweza kuzimudu changamoto anazokutana nazo #NextGen
7
10
Replying to @NextGenTZ
@NextGenTZ Our African governments should create conducive environments for youths to start small businesses #NextGen @TYVAvijana – at Arusha, Tanzania
4
4
NextGenTanzania retweeted
elimu ni nguzo, lakini elimu ya vitendo ndo inayohitajika kwa taifa hili xitter.cf/NextGenTZ/status/78181…
Elimu sio tu nadharia, elimu pia ni vitendo, mzazi wa nyumbani & mzazi wa shuleni (Mwalimu) wawe na lengo moja ili elimu iwe msaada #NextGen
1
1
NextGenTanzania retweeted
hata ukijatahidi ufanye kitu kwa mtaji mdogo, TRA na halmashauri wamekuwa mwiba kwa sisi vijana katika kujikomboa xitter.cf/NextGenTZ/status/78181…
Mifumo ya kodi na mifumo ya usajili irahisishwe kwa vijana ili waweze kuanza na kuendesha kampuni zao ndogo ndogo #NextGen
Utoto ni jana, ujana ni sasa, uzee ni kesho, wakati ni sasa #NextGen #SautiZaVijana
5
6
Watu 44/100 wanatumia redio, 26/100 wanatumia luninga kupata taarifa. Serikali bado inatumia jukwaa hizi traditional kutoa taarifa #NextGen
4
3
Mifumo ya kodi na mifumo ya usajili irahisishwe kwa vijana ili waweze kuanza na kuendesha kampuni zao ndogo ndogo #NextGen
Elimu sio tu nadharia, elimu pia ni vitendo, mzazi wa nyumbani & mzazi wa shuleni (Mwalimu) wawe na lengo moja ili elimu iwe msaada #NextGen
Baraza la Vijana litakuwa ni sehemu nzuri kwa vijana kuwa kipaumbele katika Taifa #NextGen
5
2