Gifra Naftali (@NaftriJ) profile picture

Jesus is reason for the season🙏😊

Kigoma, Tanzania
Joined February 2022
Photo by Gifra Naftali (@NaftriJ)
SAFARI YA TANZANIA KWENYE SETELAITI YAIVA. Tumefanikiwa kupata nafasi katika Orbit kwa ajili ya matumizi ya setelaiti. Orbit mpya ya setelaiti kwa Tanzania ni nyuzi (16 W). Mafaniko haya ni moja ya matokeo ya mkutano wa Umoja wa Mawasiliano Duniani-2023(WRC23)! Ahsante Rais Samia kwa Uongozi uliotukuka!
21
71
53
680
117,043
Gifra Naftali retweeted
NAIBARIKI JUMANNE YANGU. Mimi NIMEBARIKIWA, YESU Nakushukuru.
10
16
130
6,620
Gifra Naftali retweeted
Familia 27 kati ya familia 103 za jamii ya Maasai zimeondoka rasmi hii leo katika hifadhi ya Ngorongoro kwa hiari yao kuelekea Msomera- Handeni Hizi  ni juhudi katika kuendeleza utalii endelevu katika eneo la Ngorongoro na kwa kweli Waziri Mkuu anastahili pongezi sana juu
33
12
2
183