Mwacha (@Mwacha5) profile picture

To dare is to do. #wakuretweetHQ #SungusunguHQ

Joined July 2020
Hizi changamoto ninazo zipitia wakati huu nisipokaza kiume naweza kukuta nimejinyonga au nimejiua kwa njia nyingine Mungu tu anisaidie.
81
42
17
213
64,645
Mwanaume, kiumbe anayetoa nguvu, akili na Muda mwingi kuwajali wengine ila hakuna anayemjali yeye. Nikushauri mwanaume jijali, jikumbuke maana ukijisahau utakumbukwa siku unapewa heshima za mwisho na wakati wakianza kukosa vitu ulivyokuwa unawafanyia. Maisha ni Leo✊ ~ChrisMauki
7
29
54
1,043
Mwacha retweeted
Taifa la Mungu tumsifu Yesu kristo 🤲🙏
6
10
19
470
Mungu anaweza kukutokea kwa njia yeyote kukuokoa, hata kama täöna umepoteza na kuingia hasara, ili atakuwa ameokoa uhai wako au kukuepusha na kilema cha maisha. Usingang'ane na kujilaumu sana kupoteza hicho ulichopoteza, Mungu anaijua kesho yako.
11
24
1
134
11,965
Nikiwa Mtoto kuna Bro Mmoja ivi alikuwa Mshenzi sana, Kuna siku aliniambia kashike mkia wa punda unyenyue juu, kwa chini utaona miaka yote ya huyo punda, kitoto toto nikaenda kufanya hivyo aise💔hiyo ndo sababu ya hili kovu mnalonionaga nalo kwenye paji la uso. Sitokuja kusahau🙌
14
32
2
181
12,299
Ni siku nyingine tena ya kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujaalia afya njema.
3
5
133
Hii miba inakuwaga na kazi gani kwenye gari? Kwenu madereva👇
4
6
12
315
Mungu ni mwema familia
Asante Mwenyezi Mungu kumekucha tena.
1
3
4
87
Huwezi kubadilisha ukweli kwamba wewe ni wewe. Kwa hiyo, badala ya kujikataa, jifunze kujikubali na kujipenda jinsi ulivyo🤝 ~Wazee wa Sumbawanga✍️
11
38
1
63
972
Nono unajua sana kupendeza aisee.
63
Asante Mwenyezi Mungu kumekucha tena.
5
11
1
20
269
Today, the promises of transhumanism and posthumanism are multiplying. These are ideological currents according to which, sooner or later, technology will eliminate all disease and pain, as well as aging and even death itself. Precisely because scientific progress is a supreme achievement of human intelligence, it must not be confused with a privilege reserved for millionaires seeking immortality, while entire peoples suffer from poverty and oppression. In the face of this mirage, which promotes the illusion of human beings perfected by cybernetics and biotechnology, Christian anthropology reminds us that a limitation is not a manufacturing defect, but rather the very condition of human grandeur. #ApostolicJourney #Peru #MagnificaHumanitas vatican.va/content/leo-xiv/e…
1,709
8,846
1,971
68,969
4,879,317
Today we feel threatened by the uncertainty of widespread violence and by the unspeakable suffering that continues to afflict so many of our brothers and sisters. Yet, despite this darkness, God’s gift continues to shine before our eyes: Jesus Christ, the Son of God, alone is the light that can rescue us from sin and undo its disastrous consequences in our personal and communal lives. He reveals who we truly are: sons and daughters of God, invited to share in the joy of His salvation and in the gladness of knowing that we are brothers and sisters. #ApostolicJourney #Peru
363
1,506
49
12,391
569,782
I urge you to remain united, to care for one another and never to grow accustomed to the suffering of others. There is always someone we can help, someone we can listen to, a family we can accompany. #ApostolicJourney #Peru
481
3,799
140
29,134
666,371
Selfishness, injustice, and evil are not overcome by brutality, but by prayer, patience, and perseverance in denouncing what is wrong, by making our pleas with determination and working diligently to bring about the necessary changes, while never losing trust in God. #ApostolicJourney #Peru
309
1,478
82
10,523
576,994
7️⃣♾️ Portugal players, all wearing Cristiano Ronaldo shirts ahead of tonight game. 🇵🇹
1,530
5,118
793
82,692
3,694,592
𝐆𝐒𝐌 𝐁𝐢𝐫𝐭𝐡𝐝𝐚𝐲 𝐖𝐚𝐥𝐤𝐚𝐭𝐡𝐨𝐧🥇🌍
2
9
172
5,884
𝐆𝐒𝐌 𝐁𝐢𝐫𝐭𝐡𝐝𝐚𝐲 𝐖𝐚𝐥𝐤𝐚𝐭𝐡𝐨𝐧 2026🥇🌍
4
1
172
8,247
Tumecheza Mchezo wa Kirafiki dhidi ya KVZ ya hapa Visiwani Zanzibar na Mechi kumalizika kwa Ushindi wa Magoli 3 - 1 . 1. Cheikh Toure ⚽️ (Assist: Aziz Ki) 2. Cheikh Toure ⚽️ ( Assist: Aziz Ki) 3. Edmund John ⚽️ (Assist Aziz Ki) #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
7
22
2
435
12,829
Hii timu Mbona inatutesa hivyo?
48
Martial arts legend #HwangJangLee has sadly passed away at the age of 81. May he rest in peace. 🙏
9
117
7
1,126
10,430