Mwa Kitime (@MwaKitime) header
Mwa Kitime (@MwaKitime) profile picture

Active in Pre-communist party of Tanzania formation (Ratibiko)

Tanzania
Joined March 2015
Photo by Mwa Kitime (@MwaKitime)Photo by Mwa Kitime (@MwaKitime)Photo by Mwa Kitime (@MwaKitime)Photo by Mwa Kitime (@MwaKitime)Photo by Mwa Kitime (@MwaKitime)Photo by Mwa Kitime (@MwaKitime)Photo by Mwa Kitime (@MwaKitime)Photo by Mwa Kitime (@MwaKitime)Photo by Mwa Kitime (@MwaKitime)
Mwa Kitime retweeted
🚨🇺🇲 MADONNA — “I believe many aspects of Socialism are Good, and Che Guevara was a fascinating man.”
98
273
83
4,498
121,002
Ni Wakomunisti ndio watakao waamsha GenZ wa Tanzania.
"Yapo mambo mawili magumu kugombana nayo siku hizi, kama una uwezo wa kuepuka huo ugomvi na hayo mambo mawili epuka kwasababu huwezi kushinda. Ugomvi wa kwanza ni kugombana na GenZ, sisi tuna bahati GenZ wetu hapa bado washamba washamba, wamelala hivi lakini haina maana watalala, wataamka wakati wowote na cha pili kugombana na dini. Hakuna bomu, hakuna risasi. Hakuna fedha, hakuna mamlaka yenye uwezo wa kugombana na dini na kuishinda, havipo, hakuna sheria inayoweza kufuta dini kwenye mioyo ya watu. Wakomunisti walijidanganya, wakafuta, wakasema hakuna Mungu, wakatangaza kifo cha Mungu kuwa ameshakufa, hayupo. Nenda Urusi siku hizi uone, makanisa yameshamiri, nenda China, makanisa haya yanashamiri. Kwahiyo hizi rasilimali tunazozitumia kupambana na dini, tungezihifadhi zifanye kazi nyingine. Wakitaka waulize akinababa, sisi akinababa tunaamini mtu mgumu sana kumshauri ni mama aliyemuamini Nabii, yaani mama akimuamini Nabii wewe mwanaume kaa pembeni, usigombane naye hutamuweza. Sasa ni sawasawa na mwanadamu aliyeshiba dini, unapoteza muda wako wote kugombana na dini. Taasisi zote zielekezwe katika majadiliano na kijana wa GenZ majadiliano na watu wenye dini. Bahati mbaya dini nyingine zinaosha watu akili zao na kuwajaza upumbavu ndio unakaa kichwani, sasa huwezi kugombana na upumbavu, lazima utafute njia za kuwasiliana nao, kuweka daraja la kudumu la mawasiliano na watu hawa."-Askofu Benson Bagonza, wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, KKKT, Dayosisi ya Karagwe.
19
Communist Party of Israel and Hadash stand against Netanyahu government's attack on Iran @Hadash_org @AyOdeh @ofercass #Israel #Iran

3
80
8
221
16,283
Just wait a moment
🔴 Unwavering solidarity with the working people of Iran, Israel, Palestine and the entire region. Down with imperialist aggression and the war. 🔴تضامننا الراسخ مع كادحي إيران وإسرائيل وفلسطين والمنطقة بأسرها. يسقط العدوان الإمبريالي والحرب.
111
Pale unapoungwa mkono na watu wanaondika hivi 😆😆😆
Replying to @Jambotv_
Kwa kombinisheni ya trump na netanyau, bwana Iran alitakiwa atulie mihula yao ihishe, maana anakoelekea kwa kauli zake ataliingiza pabaya taifa lake, Israel sikuzote hawezi kumvumilia hadui, na irani anaangaika kuifuta Israel, ushauli wangu atulie tu.
2
1
1
49
Mwa Kitime retweeted
To even think Tanzania has diplomatic relations with this diabolical fanatical entity is insulting. Spectacular blunder ya awamu ya Magufuli hii. Even worse the the embassy was opened by a well-known figure in Tz politics(one who should know better)
BREAKING: NETANYAHU: “If we fall… and that won’t happen, but if we do fall, many parts of the world will fall with us.”
1
1
2
142
Mwa Kitime retweeted
So USA divided the Koreas,failed to divide Vietnam ,had literally deposed regimes, and put puppets in South America, the Middle East. But Alas when it came to Tanzania, for it to conquer Zanzibar it had to use Mwl Nyerere 😅. You have to be stupid and have loose nuts to believe
3
1
7
287
Si kwamba CDM ni wakamilifu, bali CCM imechoka kiasi kwamba hata kivuli cha upinzani kinaonekana kama mwanga wa matumaini. Hakika, si kwamba Chadema ni chama kisicho na dosari au kwamba ni bora kupita kiasi, bali ni kwamba udhaifu wa CCM umezidi kiasi kwamba hata
45
40
3
371
16,659
75% of Russians believe that the Soviet era was the greatest time in the history of Russia
38
128
18
885
17,207
Mwa Kitime retweeted
DC Alberto Msando alikuwa sehemu ya harakati. Kauli yake dhdid ya Gwajima imenisikitisha. Nimesikia kauli yake hasa pale anaposema "Si unasema unatetea haki wewe, sasa jitokeze, kwa nini unajificha?". Kauli imejaa jeuri ya madaraka. Ninamsihi Ndugu yangu Msando, madaraka huja na kuondoka, asimalize maneno!
73
136
9
948
62,211
Tunawafuatilia kwa Ukaribu kutoka huku serengeti, shusheni nondo. Ni miaka ya karibuni tu niliona Waingereza wanasema one of the mistakes walifanya ni kuprivatize their railway.
2
2
5
64
Hivi @JiniKinyonga mpaka muda huu umeshindwa kuandika shairi kwa ajili ya @IzzetTausi kutua mzambarauni. Andikeni basi hata shairi la kolabo na @JasperKido au ndio mpo bize na #OperationLindaDemokrasia
4
2
5
190
In September 1985, Deng Xiaoping (China) told Jerry Rawlings (Ghana): 'Please don't copy our model. If there is any experience on our part, it is to formulate policies in light of one's own national conditions'. (as recalled by Deng's translator Zhang Weiwei). However, Deng did not mean ignore the Chinese experiences. These had to be studied and learnt from, but not applied mechanically. As the Chinese phrase goes, cross the river by touching the stones (摸着石头过河). But there has to be a map of the stones - a theory. That theory, in both the experience in China as it builds socialism, is Marxism in its creative and vital form.
5
73
8
260
11,010
Juju ancestors are working @JasperKido @rchboy9
Floyd Shivambu has been removed as the SG of the MK Party and deployed to the National Assembly. The removal follows his visit to Prophet Shepard Bushiri's church in Malawi which his party says it is against their constitution. What do you make of this? #LokuhleFM
1
1
51
Mwa Kitime retweeted
The level of mental gymnastics one has to partake in defending Tz having diplomatic relations with a stinking genocidal entity is galactic. There's not a scintilla of interests we will miss by cutting ties with that apartheid zionist entity. Countries are built on principles.
1
3
11
258
I hope my "radical" activist friends read btn the line this thought provoking piece: "...an ideal world, the one many of us imagine, is fancy, but it doesn’t exist... sadly, not in Tanzania, not anywhere..." 1/2
To My Fellow Tanzanian Journalists: The Ideal World We Dream of Doesn’t Exist – And That’s Exactly Why We Matter | Opinion by @ThatBoyKhalifax thechanzo.com/2025/05/29/to-…
1
3
6
354
Mwa Kitime retweeted
Unaambiwa ndio bastion ya democracy yao. WaTanzania mazuzu wamelala. Same names since independence. *China is a democracy, sema ukiwa punguani na umelewa western doses za education huwezi ona,elewa na kubali hilo. Making noise,chaos sio alama ya demokrasia.
unavailable
1
3
144