Massanja M.Mpinah retweeted
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 260
Mhe. Tundu Lissu anaendelea kutoa ushaidi wake
Anasema nilikuwa Msemaji Mkuu wa masuala ya katiba na sheria ya kambi rasmi ya upinzani Bungeni, Masuala ya Muungano na nilikuwa shadow Attorney General.
Naomba Mahakama irekodi kwamba nilifanya kazi yangu kwa uaminifu mkubwa na umahiri mkubwa sana.
Waheshimiwa majaji katika kipindi cha 2011 hadi 2014 nilikuwa mjumbe maalumu wa Bunge la Katiba kwa kipindi hicho cha 2011 hadi 2015 niliongoza harakati za kupigania Katiba Mpya na mfumo huru wa uchaguzi, niliongoza hayo mapambano bungeni na kwenye Bunge la Katiba kwa uaminifu na umahiri mkubwa sana, hivyo ni ushahidi wangu kwamba kilichotuleta hapa ni mgogoro wa kisiasa, ni vita ya kisiasa na sio Uhaini.
Waheshimiwa Majaji nje ya ubunge nimekuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kuanzia Machi hadi Septemba 7, 2017 na huwi Rais wa TLS kama wewe ni mtu wa hovyo hovyo mhaini mhaini.
Nje ya uongozi wa mawakili wenzangu hapa nilipo ni Makamu Mwenyekiti wa Internationa Democrats Union (IDU).
IDU ni muungano au shirikisho linalojumuisha vyama karibu 80 kutoka dunia nzima.
Mimi pia ni mjumbe wa International Executive Committee ya IDU, mimi ni Makamu Mwenyekiti ninayewakilisha bara zima la Afrika
Waheshimiwa majaji ni ushahidi wangu kwamba mimi ni mtu wa heshima ndani ya nchi hii na kimataifa na heshima niliyonayo ni kutokana na msimamo wangu wa kupigania Demokrasia, Haki za binadamu na Utawala wa sheria sio kwasababu nyingine.
Waheshimiwa Majaji mwezi Mei 2011 nilipewa tuzo ya heshima ya kuwa mwenza wa kimataifa wa Chuo Kikuu cha Bridgeport (International Fellow) jimbo la Connectcut lilipo nchini Marekeni, walisema ni kwasababu ya kupigania haki za binadamu, mazingira na demokrasia katika nchi ya Tanzania na Barani Afrika.
Mwezi Desemba 2020 nilitunukiwa heshima nyingine na IDU tuzo inayoitwa Bush Thatcher Award Freedom (kwa jina la Rais wa 41 wa Marekani) sababu yake au citation yake ilisema Tundu Lissu umekuwa ni kielelezo cha msimamo thabiti wa kupigania Haki, Demokrasia na Utawala bora katika nchi za Afrika.
Ni muhimu vilevile iingie kwenye ushahidi kwamba pamoja na kukaa gerezani kwa muda wote, heshima yangu ndani na nje ya nchi haijapungua in fact imeongezeka.
Taasisi nyingi sana za kitaifa, kikanda na kimataifa ukiwemo Umoja wa Mataifa, Jumuiya ya Ulaya, Jumuiya ya Madola zimesema haya mashtaka ni mashtaka ya kisiasa hakuna jinai yoyote na wamedai niachiliwe huru bila masharti yoyote.
Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa limeeleza sio tu kwamba niachiwa bali nilipwe pia fidia kutokana na usumbufu wote uliojitokeza tangu nilipokamatwa.
Waheshimiwa Majaji naomba iingie kwenye ushahidi kwamba nchi za Jumuiya ya ulaya zimesimamisha misaada kwa Tanzania kwasababu ya mashtaka haya, takribani dola million 700 nchi ya Marekani imesimamisha kwa Serikali ya Tanzania kwa takwimu nilizonazo kwasababu ya mashtaka haya.
Bunge la Marekani linajadili muswaada wa kuiwekea serikali ya Tanzania na Viongozi wake vikwazo kwasababu ya mashtaka haya.
Waheshimiwa majaji dunia haiwezi ikakupigania hivi kama wewe ni mtu wa hovyo hovyo
Watu wanatabasamu sana na kucheka 😂😂😂😂😂😂
Mhe. Lissu anaendelea kusema Dunia inaweza kukupigania hivi kama wewe ni mtu wa heshima.
Part 261 itaendelea kwenye post inayofuata,
Naomba nisaidie kushare ujumbe uende mbali.
Massanja M.Mpinah retweeted
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 239
Jaji Ndunguru anamuuliza Mhe. Lissu kama ana maswali ya Dodoso?
Mhe. Lissu anaanza kumshona Shahidi wa kificho bwana P bila ganzi.😀
Mhe. Lissu : Ni kweli ama siyo kweli nyie Jambo TV mmefanya kazi na mimi kwa muda mrefu sana?
Shahidi wa kificho P: Ni kweli
Mhe. Lissu: Na ni kweli au si kweli kuwa, mmekuwa mkitangaza Mikutano yangu karibu nchi nzima.?
Shahidi wa kificho P : Ni Kweli
Mhe Lissu: Na mmekuwa mkicover habari zangu nchi nzima?
Shahidi wa kificho P: Ni kweli
Mhe Lissu: Na waeleze hawa Majaji kuwa hata nilivyotoka Ubelgiji mlinisindikiza hadi nyumbani kwangu?
Shahidi wa kificho P: sikumbuki
Mhe Lissu: Nitakukumbusha, ilikuwa ni waandishi habari Oscar na Shadrack Simba?
Shahidi wa kificho P: Ni kweli
Mhe. Lissu: Hata siku nilipokamatwa nilikuwa na hao waandishi wa habari Oscar na Shadrack Simba.?
Shahidi wa kificho P : Ni kweli
Mhe Lissu: Waeleze majaji kuwa ziara zote hizo tumekuwa tukienda safari moja?
Shahidi wa kificho P: Ni kweli
Mhe Lissu: Tumekuwa tukifikia hoteli moja na kula pamoja, kweli si kweli?
Shahidi wa kificho P : Ni kweli
Mhe Lissu: Nitakosea nikisema kuwa nyie waandishi wa habari pamoja na boss wenu John Maro tumekuwa tukifanya kazi kwa ukaribu sana?
Shahidi wa kificho P: hujakosea
Mhe Lissu: Nitakuwa nakosea nikisema mmekuwa marafiki zangu?
Shahidi wa kificho P: Hujakosea
Mhe. Lissu: Wakati vyombo vingine vikiogopa kucover habari yangu nyie hamkuoogopa kucover habari yangu.?
Shahidi wa kificho P : Ni kweli
Mhe Lissu: Ni kweli/ Si kweli kuwa mlifunguliwa kesi TCRA mara tu baada ya kurusha huo Mkutano wangu?
Shahidi wa kificho P : Sikumbuki juu ya hilo
Mhe Lissu: sasa baada ya hayo, elezea kama kuna mwanachadema yoyote amekutishia au kukudhuru kwa namna yeyote ile?
Shahidi wa kificho P : Hapana
Mhe Lissu: Waeleze wahe. Majaji kama toka uliporusha hayo matangazo kuna mtu yeyote/ afisa yeyote/ mamlaka yeyote ambako umewapa taarifa kuwa umetishiwa kwa namna yeyote ile?
Shahidi wa kificho P : Hapana.
Kwa msiofahamu Mawakili wa Serikali waliomba huyu Shahidi atoe ushahidi kwa Siri kwasababu walidai kwamba kuna Wanachama wa CHADEMA walimtishia maisha, leo anasema hajawahi kutishiwa kwa sisi Wanawake hii ni kama mtu kakupa umbea halafu badae anakukana anasema aku mie sijakwambia.😂😂😂😂
Anyways tuendeleee
Mhe Lissu: Waeleze wahe. majaji kama una hofu yoyote au uoga wowote wa kutoa ushahidi hadharani?
Shahidi wa kificho P: Nina hofu
Mhe Lissu: Ooh kwanini una hofu shahidi? Eleza ukweli wa Mungu wako.???
Shahidi wa kificho P : Nina hofu kwakuwa hili suala ni very sensitive, Viongozi mnaweza msiwe na shida ila watu wengine ikawa tatizo.
Mhe Lissu: kama nimekuelewa shahidi umesema hujawahi tishiwa na mwanachama yoyote wa Chadema na sasa umesema viongozi siyo tatizo, ni sawa sawa?
Shahidi wa kificho P : Ndiyo
Mhe Lissu: Eleza kama aliyekuandika maelezo ni Inspector Endrew
Shahidi wa kificho P : Ni kweli
Mhe Lissu: Sasa shahidi nitakusomea maelezo yako na nitakuonyesha maeneo ambayo umejichanganya na kisha nitaomba uiombe Mahakama kuyatoa kama kielelezo
Mhe Lissu: Waheshimiwa Majaji nataka kum- impitch shahidi, Naomba wakili apewe kielelezo
Mawakili wa Serikali wamekuwa busy kidogo na file la vielelezo.
Mhe Lissu: Naomba niseme off record, Mahakama ilitoa order kuwa taarifa za mashahidi zifutwe, lakini naona mawakili wa serikali ndiyo wanafuta muda huu.
Shahidi wa kificho P anapewa kielelezo na Mawakili wa serikali.
Mhe Lissu: Shahidi eleza mahakama hayo ni maelezo yako?
Naomba ueleze kama sehemu ya makazi, eneo, mtaa, no. ya simu kama imefichwa?
Shahidi wa kificho P : Ndiyo
Mhe Lissu: Eleza kama mwaka wako wa kuzaliwa na jina la mzee limefichwa?
Shahidi wa kificho P : Ndiyo limefichwa
Mhe Lissu: Shule ya msingi na Sekondary ulizosoma zimefichwa?
Shahidi wa kificho P :Ndiyo
Part 240 itaendelea kwenye post inayofuata.
Naomba Repost yako.
Massanja M.Mpinah retweeted
Kwanini kesi ya Mwenyekiti wetu isogezwe mbele kwa mda mrefu kiasi hiki mara tu baada ya chama kueleza mpango mbovu wa polisi hapo kesho.
Chama kimeeleza nia ovu ya polisi dhidi ya chama chetu alafu kesi inasogezwa mbele!!!
Mahakama ya Tanzania inaondoa imani ya wananchi na kuchochea chuki kwa matendo kama haya.
#Breaking🔥
Hundeyin: Dictator Hater Turned Paid Blood Launderer!
@DavidHundeyin
We still remember when you posted that Samia is a dictator. Now you’ve collected your bag from the dictator and switched sides completely. Paid to launder blood?
Which “documentary” are you pushing that will beat CNN, BBC & all international media on the October 29 Massacre?
You think your local Nigerian commentary can outshine multibillion-dollar outlets with actual evidence on the ground?
Who will believe a small-time Nigerian journalist like you doing damage control for a regime accused of mass killings?
Nigerians go soon talk about this your stupidity!
@sowore @fisayosoyombo @SaharaReporters @PremiumTimesng @DeleFarotimi @ruffydfire @AishaYesufu @adeyanjudeji @ToluOgunlesi
#WhatHappenedOnOctober29 #TanzaniaMassacre
Massanja M.Mpinah retweeted
Whats’up @rioferdy5
You are most welcome to our beautiful country, Tanzania. A country rich in natural resources, yet its people are wretchedly poor and do not benefit from the resources in their own country.
Tanzania is the literal definition of the resource curse. Those who brought you here, will show you our God-given natural wealth, but they won’t show you how poor ordinary Tanzanians are.
Those who brought you here can’t tell you the other side of the crimes against humanity they deliberately committed against citizens who decided to protest to oppose the electoral process.
Security forces in Tanzania utilized disproportionate, deadly violence to quell post-election unrest, causing deaths and injuries to non-protesting citizens. Completely uninvolved individuals.
They are concealing the fact that on October 29, 2025, they intentionally shot and killed several people, among whom were seven youths from the Viral Scout Management football academy.
In a poignant post on its verified X handle, the sports consultancy firm based in Dar es Salaam mourned the heartbreaking deaths of seven rising football stars, while firmly issuing a call for justice.
Viral Scout Management has confirmed the tragic loss of seven of its young football players, who died during the widespread violent clashes that broke out after Tanzania’s disputed general election.
These promising athletes lost their lives to senseless violence within their own homes. It is a profound tragedy to see such bright futures cut short by such brutal acts. It’s unacceptable.
Tragically, there have been instances where Manchester United fans were brutally killed, including one documented case where mortuary photographs showed a victim still wearing a vintage SHARP jersey.
Even back in your neck of the woods, whether in Camberwell, South London, or up in Manchester, United Kingdom, people don’t get shot and killed just for protesting a fraudulent election.
Last week, your hosts brought Didier Drogba and paraded him everywhere. Now it’s your turn. They’ll likely parade you around just as much all in an attempt to launder their global reputation.
Log this information, RIO.
Massanja M.Mpinah retweeted
"Chadema, chama chenu hakitakuwa tayari kwa maridhiano yenye kupambaza, kuhadaa, yenye ulaghai na yenye kuliondoa Taifa kwenye ukweli, haki na kile ambacho Taifa inataka, kamwe hatuwasaliti Watanzania." Mhe. @HecheJohn
Massanja M.Mpinah retweeted
Africa ujinga ni mwingi sana, sasa Huyu anang'ang'ania madarakani ili afanye nini?
Massanja M.Mpinah retweeted
Mzee Joseph Sinde Warioba, mtu ambaye amekuwa AG, PM, VP wa Serikali ya Tanzania anasema watanzania waliouwawa siku na baada ya uchaguzi ni wengi kuliko watanzania waliouwawa na adui vita vya Kagera. Mnataka tumpuuze PM na VP mstaafu, tumsikilize mchungaji Mashimo? Mmerogwa nyie?
Hatutaki maridhiano
Hawa kuandamana chadema
Tuliandana wananchi
TUNAKA
•katiba mpya tena Rasmu ya warioba
•Tume huru ya uchaguzi
•Uhuru wa maoni,vyombo habari,vyama vya siasa na
•Uhuru wa kuabudu
•miili ya wapendwa wetu tupewa tuwazike kwa heshima
1
48
Massanja M.Mpinah retweeted
Nimefika Mpaka Wa Namanga Mchana Huu.Nasafiri Kwenda Nairobi Kenya. Wakati Nafanya Process Za Uhamiaji Nimeambiwa Na Idara Ya Uamiaji Kuwa Kuna Zuio Kwa Viongozi Wa CHADEMA Kusafiri Kutoka Nje Ya Tanzania.Niko Ktk Ofisi Za Uamiaji Nasubiri Maelekezo Kutoka Juu. Wasiwasi Ni Mkubwa Sana Na Mashaka.Siku Moja Haya Mambo Yatakwisha Kabisa.
Massanja M.Mpinah retweeted
Tangu tumetoa taarifa Mwenyekiti @freemanmbowetz atazungumza na umma kuhusu utekaji na kuwataja wahusika, kumekuwa na majaribio mengi ya kupoteza focus ya press. Waandishi wanazuiwa kufika HQ na watekaji wametengeneza vipeperushi vingi vya uongo. Tuwapuuze watekaji. Press IPO.
Massanja M.Mpinah retweeted
TANGAZO
Familia,ndugu,Jamaa na marafiki wote wa mtu au watu waliotekwa na Kupotea mnaombwa kufika makao makuu ya CHADEMA ,Mikocheni kesho tarehe 22 August 2024
Saa 3 :00 Asubuhi.
Au asubuhi tuwasiliane namna ya kufika kwa urahisi kwa kupitia namba yangu 0712239595.
Massanja M.Mpinah retweeted
Kesho tarehe 14 August,2024 Mwenyekiti wa Chama Taifa Mheshimiwa Freeman Mbowe akiambatana na viongozi wakuu waliokuwa kizuizini ,watafanya Mkutano na Waandishi wa habari.
Massanja M.Mpinah retweeted
Kila hatua DUA wanangu. Ni BARAKA zake MUNGU, mtaa unanielewa. Hii love inathibitisha “my mama didn’t raise no fool”. Namlipa nini Mungu zaidi ya kuendelea kusimama na UMMA kila siku?
NB; Mmiliki wa Bajaji hii, binafsi simfahamu, anicheki, nim’ BLESS na kakitu. Hii ni LOVE. ❤️
Massanja M.Mpinah retweeted
Kukubaliana na pesa kutoka kwa Rais @SuluhuSamia katika matibabu ya ndugu yetu @Sativa255 ni kubariki utekaji, utesaji wa raia kutumia vyombo vya dola. Tunataka Rais awajibishe ‘mabosi’ wa maharamia waliomteka SATIVA. Hatutaki pesa ambazo zinasimanga moyo wetu. #justiceforsativa
Massanja M.Mpinah retweeted
Mchango Wangu Kwa Ajili Ya Matibabu Ya Mshkaji Wetu Kijana Mwenzetu, Mpambanaji @Sativa255 Get well soon Mwanetu
Massanja M.Mpinah retweeted
Ndugu yetu Edgar Mwakabela, @Sativa255 amepatikana katika hifadhi ya Katavi. Ameteswa na ameumizwa sana. Tunaomba watu wa Katavi mtusaidie haraka sana apate msaada wa matibabu.
Rais @SuluhuSamia umefika huku? Tulisema hatuwezi kurudi katika zama hizi za kuwatesa wakosoaji wako.





















