
MAN OF THE PEOPLE/Gym Rat/Work Hard Pays/Range Rover In My Blood. #ElimikaMwanaume.
Where Respect Is Earned 📍
Joined July 2023
- Tweets16.7K
- Following2.9K
- Followers3K
- Likes59K
Pinned Tweet
For the first time naaga mwili wa marehemu, halafu ma father. So sad 😭😭.
Pumzika Kwa Amani Baba yangu, daima utaishi mioyoni mwetu sisi wanao. Hatuwezi kuzuia alilolipanga Mungu 😭😭😭
THUG LIFE🚬💨 retweeted
Kama unasoma tweet hii...
Wewe ni sababu ya mimi kuendelea kuandaa valuable contents kila siku.
Nathamini mchango wako kwenye safari yangu ya kujenga brand hapa 𝕏.
Kama kuna jambo ambalo unajua ukilifanya litabadilisha maisha yako, Fanya sana umasikini unatesa😭.
Good morning X Family.
50
THUG LIFE🚬💨 retweeted
Kama huna kazi na hujui ufanye kazi gani andika chochote kwenye comment kenge wewe😁
THUG LIFE🚬💨 retweeted
Hivi unaweza ukakataa Deal flani kwa sababu masharti yake yanakinzana na imani ya dini yako au dhehebu..?
Mfano
• mkristo upate deal la kutangaza /promote vilevi au
• Muislam kupata deal la kupromote Pork au Pork Point flani
THUG LIFE🚬💨 retweeted
Kila nilipo msikiliza huyu jamaa nilikuwa napata nguvu upya, na ilifika kipindi nilihisi jamaa kaniimbia mimi .💔 hey don’t give up buddy
Leo ni June 1.
Usiingie kwenye mwezi huu ukiwa na hofu.
Ingia ukiwa na imani.
Kwa sababu Mungu aliyekuvusha January,
aliyekuvusha February,
aliyekuvusha March,
April na May…
ana uwezo wa kukuvusha mpaka December.
Na pengine ushuhuda wako mkubwa bado uko mbele yako . 🙏🏽
THUG LIFE🚬💨 retweeted
"Wahudumie kwanza wengine mimi sina haraka"
Unahisi atakuwa anataka kununua nini..?
THUG LIFE🚬💨 retweeted
Ni uhakika usio pingika hakuna andiko lolote lililo andikwa popote kwenye Bible ama Quruan kwama
(JISAIDIE NAMI NITAKUSAIDIA)
Sasa nyie endeleni kwenda kwa waganga wa kienyeji kwa kusapotiwa na mstari went wa uwongo😂😂😂
THUG LIFE🚬💨 retweeted
Hakuna giza la kudumu
Haijalishi umepitia nini tangu utotoni, bado una nafasi ya kupona, kukua na kuanza upya. Mungu, maombi, juhudi na imani vinaweza kukurudishia nguvu na amani ya moyo
THUG LIFE🚬💨 retweeted
Kama Bado ujajipata na una ndoto kubwa Maishani Mwako achana na Mahusiano hasa hawa wanawake wa Dar wengi ni majambazi watakufelisha.
Kijana alipata Ajira miezi kadhaa huko kijijini , alivyofika huko kaanza kulima na kufuga .
Wananchi baada ya kuona hivyo wakamsaport kwa vitu vingi bure kabisa .
Kijana anasema Mshahara wake hatumii ila wananchi wanamaliza Kila kitu .
Kwenye kilimo anakusanya ziadi ya 90M
Mwisho wa siku — afya yako ni muhimu.
Mwisho wa siku — amani ya moyo ni utajiri.
Mwisho wa siku — muda hauwezi kurudi.
Mwisho wa siku — watu hubadilika.
Mwisho wa siku — maisha yanaendelea.
Mwisho wa siku — maombi yana nguvu.
Mwisho wa siku — Mungu hachelewi.
Good Morning.














