No
Replying to @the_racer09
Answer: 36
18 ÷ 3(4 + 2)
= 18 ÷ 3 × 6
= 6 × 6
= 36
Multiplication and division have equal priority, so we calculate from left to right.
What answer did everyone get?
104
J.James retweeted
-Most of the so-called "political parties" at Ikulu today are briefcase outfits fishing for regime favor, nothing much. They're known not just for praising SSH, but for attacking and delegitimizing the real opposition, CHADEMA
-If SSH and her cheerleaders think they can reach a maridhiano deal without real accountability, and without CHADEMA and Lissu, they're kidding themselves. It's a charade, they know it, everybody knows it. Upuusi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amezungumza na Baraza la Vyama vya Siasa katika kikao kilichofanyika leo, Novemba 16, 2026, Ikulu Jijini Dar es salaam.
Kikao hicho kimewakutanisha Rais Samia na viongozi wa Baraza la Vyama vya Siasa nchini.
#MillardAyoUPDATES
Huyu jamaa aisee!
VIDEO:
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile ameeleza kuwa Mahakama Kuu ya Tanzania imetenda kwa mujibu wa sheria katika kumtia hatiani na kumhukumu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Antiphas Lissu, kifungo cha miaka minne jela kwa kosa la uchochezi.
Balile ameyasema hayo akizungumzia uamuzi huo wa Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, uliomvua Lissu mashtaka ya uhaini na kumtia hatiani kwa kosa dogo la uchochezi, huku akisisitiza kuwa njia pekee ya kuijenga nchi ni kurejea kwenye meza ya mazungumzo.
“Bado ninaamini mlango wa kuzungumza upo kwamba mheshimiwa Rais anayo nafasi katika hili, hakuna kosa ambalo Rais hawezi kusamehe, hakuna hukumu ambayo rais hawezi kusamehe kwa mujibu wa sheria. Kwahiyo hapa mazungumzo yaendelee kwamba CHADEMA, CCM, Watanzania kwa ujumla tuangalie tunaijengaje nchi yetu, maana nimesema mara kadhaa hata tukipambana kwa kiwango gani mwisho wa siku tutarudi kwenye meza ya mazungumzo”, ameeleza Balile.
1
153
Learned counsel, if you get time please clarify: you say 4yrs imprisonment is too long for the appeallate judges to grant a bail pending appeal, yet on your last para you sound optimistic that Lissu will secure a bail. How then?
Replying to @BabaMwita
5. ATHALI YA HUKUMU YA MIAKA 4 KWA TAL (ZUIO LA DHAMANA):
Kwa kumpa TAL kifungo kizima cha miaka 4 bila kupunguza siku 577 za mahabusu, mahakama imefunga mlango wa yeye kupata dhamana ya rufaa kwa kigezo kifuatacho:
Mahakama inaweza kutumia kisingizio kuwa adhabu yake ni ndefu (miaka 4), hivyo kuna muda mwingi kwa mahakama kupanga na kusikiliza rufaa ya LISSU akiwa bado yuko gerezani. Hii itamlazimisha LISSU kubaki ndani.
HESABU YA KISHERIA KUHUSU IDADI YA SIKU ZA ADHABU & UMUHIMU WA UPUNGUZWAJI WAKE (Kama Siku Zingekatwa):
Kama mahakama ingefuata sheria na kukata siku 577 za mahabusu ambazo LISSU amekaa gerezani kabla ya kutiwa hatiani, pamoja na punguzo la robo la Sheria ya Magereza (Kifungu cha 49 cha Prisons Act [CAP. 58]), ambalo ni AUTOMATICAL mfungwa anapoanza tumikia kifungo chake siku ya kwanza, adhabu ya TAL ingebaki kuwa Mwaka 1 na Miezi 9 (Siku 663) tu.
Hili lingetokea, ingekuwa nguvu ya kupata dhamana kupitia maamuzi ya Mahakama Kuu & ya Rufani. Kwa kuwa, kisheria, muda huu wa mwaka mmoja na miezi 9 unaangukia kwenye kundi la "adhabu fupi" (short sentence), ambapo huzingatiwa kwenye dhamana.
Misingi ya utoaji dhamana wakati wa rufaa kwa adhabu fupi inalindwa na kesi zifuatazo:
1. Subira Lukanima and Others vs Samson Bulime (2026): Katika uamuzi huu wa Mahakama Kuu, mahakama ilitoa dhamana wakati wa rufaa kwa wafungwa kwa msingi mkuu kuwa adhabu waliyopewa ilikuwa fupi na kulikuwa na hatari kubwa ya kifungo hicho kuisha au kuisha kwa kiasi kikubwa kabla ya rufaa yao kusikilizwa kikamilifu.
2. Melaku v The People (Pamoja na miongozo ya kikanda ya Bail Pending Appeal): Kesi hii inasisitiza msimamo wa kawaida wa kisheria kuwa pale mfungwa anapopewa adhabu fupi, kuwepo kwa pointi za msingi za kisheria kwenye rufaa yake kunailazimisha mahakama kumpa dhamana. Hii ni kwa sababu itakuwa ni uonevu mkubwa kumzuia uhuru wake gerezani kwa miezi michache, halafu baadaye ije ionekane alikuwa hana hatia wakati adhabu ameshamaliza.
Kutokana na hoja hizi & msimamo wa kisheria, nina imani kubwa LISSU atapata dhamana, na hata huenda mahakama ya Rufani ikabadili adhabu yake au hata kufuta hukumu ya Mahakama Kuu (kwa sababu hakukuwa na kosa la UCHOCHEZI).
Ila tu, pia tuzingatie kuwa hii ni kesi ya KISIASA & tujiandae kwa lolote. Ila, kikubwa najua adhabu yake ni LAZIMA itapunguzwa.
HAKI HAIOMBWI BALI HUPIGANIWA.
TUSONGE MBELE #BabaMwita ⚖️
3
322
J.James retweeted
BAIL PENDING APPEAL:
Kwa kuwa TAL ameshinda kesi ya UHAINI ambayo haina dhamana, na kukutwa na hatia kwa kosa la UCHOCHEZI, Lissu anaweza kuwa nje kwa DHAMANA kupitia utaratibu unaojulikana kisheria "BAIL PENDING APPEAL" kwa sababu uchochezi una dhaminika, hata kama mtu amefungwa. Ila tu utaratibu ni kwamba, ni LAZIMA mfungwa aanze kutumikia kifungo chake gerezani japo kwa siku moja tu.
Hii inawezekana kama mawakili watajenga hoja za AFYA ya Lissu na kwamba atashindwa kupata matibabu stahiki akiwa gerezani. Pia, siku 577 alizokaa gerezani ni fimbo ya kuomba dhamana. Imefanyika mahakama Kuu & pia kuna msimamo wa mahakama ya Rufani juu ya utaratibu huu.
HAKI HAIOMBWI bali HUPIGANIWA.
Ushahidi ulioletwa ni wa kosa la uhaini na umeshindwa kuthibitisha hilo kosa, halafu mahakama inataka uugeuze kuwa ushahidi wa kosa dogo??? How can the court do that?
J.James retweeted
Hoja ya pili, kwamba Lissu alitengeneza 'nia ya kuzuia uchaguzi kwa lengo ya kuitisha serikali' - imepigwa chini.
It goes without saying that this flickering case was dead on arrival.
J.James retweeted
"Nia ya kuzuia uchaguzi kwa lengo la kuitisha serikali" can never amount to treason.
Huu upumbavu wa Mahakama kutotupa hii kesi mapema kwa kukosa mashiko unapatikana kwenye mahakama za Masaju peke yake.
J.James retweeted
I remain very optimistic that I will be acquitted tomorrow.
Kama lengo ni kunifunga miaka mitano, mpaka 2031, kwa kuangalia uchaguzi ujao, then they should understand that I have no ambition whatsoever of contesting an election under this electoral system. Nikitoka, nitaendelea pale nilipoishia. Nani kawaambia No reform, No Elections emekufa??
So, I remain optimistic about tomorrow, but I am equally prepared for the worst. I am hoping for the best, but prepared for the worst!
If the best happens, I will go straight to Arusha to take my brother home. If the worst happens, the struggle continues. It will not be the end of the world; it will simply be a new chapter in the struggle for justice and democracy.
TL.
J.James retweeted
As an American constitutional lawyer, I have personally litigated cases defending the rights to free expression and due process. These are fundamental principles of human liberty. For that reason, I am closely following the outcome of Tundu Lissu’s trial proceedings, and the broader implications for the rule of law.
J.James retweeted
Replying to @Kadulyu @godbless_lema
That last statement “but rather through affirmative civic action”. Now who drives this, Chadema had the numbers, can they lead to drive it, or we are still under the notion that “watafuta chama”.
J.James retweeted
Replying to @Kadulyu
Tatizo naloliona mimi, ni kule kutoka hadharani na kupayuka, bila kushirikisha mchakato na ushauri/ maamuzi ya chama,kimpe baraka ya kuongea ikizingatiwa kuwa,anao wadhifa mkubwa kwenye chama,kuwa rahisi kutengeneza sintofahamu.
J.James retweeted
Replying to @Kadulyu
Nakumbuka zamani tulikuwa tunafanya engagement zile za OPEN GOVERNMENT na kampeni kubwa ilipigwa na kulikuwa na usawa kwenye meza ya mazungumzo na usikivu
Hayo uliyotaja kwenye hoja yako, hizo changamoto umesema kwenye post, ndizo zinaleta maswali mengi sana kwamba mna engage wakati mvua ya mateso na uvunjifu wa haki za binadamu ni kali sana hakuna nafuu
Mbili, kwenye mazungumzo mnatakiwa pata fair ground, hivi umempigia mtu simu kwenda mezani kuvungumza naye, kwa siri , uoga na unyenyekevu , Kwenye hayo mazungumzo nani atakuwa mwenye control ?
Umeombakuja ofisini mwenyewe, ukiwa kwenye point of weakness, ukija si ninakupa masharti tu ya ufanye nini, ndio nitekeleze ombi lako
Kama imefikia hatua anaweza toka na kusema kwamba hiyo nji ina matunda, mpaka kuipigania, Matunda ya hiyo njia yako wapi? CHADEMA ina kesi kibao za kizushi mahakamani, kuna wanaCHADEMA 500 wamekamatwa na polisi nchi nzima hivi karibu, hayo mazungumzo yanalenda nini kama sio kwenda kwenye miguu ya CCM kuwaomba kwamba, tunataka kuwa watumwa tunaomba msituue, ukiwa mtumwa unaweza kuwa na sauti? sasa kwa nini Nyerere alitupigania kuwa Huru? si bora tungebaki na watawala Wazungu tutumikie Wazungu kuliko hawa ndugu zetu
Siku ile baada ya kina Soka kutekwa Mbowe alitoa clues nyingi za wahusika, majina, namba zao za simu na contents za mawasiliano yao. Hiyo ilikuwa strategic engagement? Eng Jumbe alivyojiokoa na pingu baadaye Golugwa alisema RCO aliwaambia anazijua hizo pingu hawawezi kuzifungua.
SIku nyingine Lema akitaka kuongea, Kisha mzee yeyote au mtu yeyote akayempigia simu kumzuia, huyo mtu atakuwa msaliti
ACHENI siasa za kubebishana, kubembeleza watu, mtu yeyote anayetaka kuja PUBLIC mwacheni ache,
Hivi mmefikiaje hatua ya kutishwa na MTU kama Lema ?
Kuna wazee tunawaheshimu ila punguzeni BLA BLA BLA , mtu anapotaka kuongea achaeni aongee, hizi bla bla mnazofanya ndio mnaficha wajinga wengi bila umma kuwajua ni wajinga halafu siku moja wanapanda vyeo wanafikia hapo alipo SAMIA kisha TAIFA zima linaumizwa
Punguzeni hizo Busara zenu, Punguzeni kujifanya machujio au machekeche, mmetufikisha hapa sababu tumekuwa TAIFA la watu wanafiki kuchuja sana na kubalance mambo
Mjinga yeyote atakayetaka kuongea aachwa aongee, Taifa linawatu 64 million halafu mnalinga baadhi ya ng'ombe kwamba wao tu ndio wanaweza kuwa viongozi wa KISIASA nchi hii? hizi ni tabia ambazo CCM wametumia sana, tumekuwa na makundi yaliyoteka nchi, kwa sasa Tanzania ilipofikia watu wanaelewa vitu
HAKUNA TENA mambo ya kuvushwa na mtu, AKIFA je ? yeyote anayetaka kufanya ujinga aachwe afanye hili alipe gharama ya ujinga wake ndio wengine nao wajifunze kwamba , KUNA NGUVU ya UMMA kwenye kila jambo, ni lAZIMA KUTII NGUVU YA UMMA na UMMA
Absolutely. Kama kuna wengine kwenye CC wanamuunga mkono watoke waseme.
SIku nyingine Lema akitaka kuongea, Kisha mzee yeyote au mtu yeyote akayempigia simu kumzuia, huyo mtu atakuwa msaliti
ACHENI siasa za kubebishana, kubembeleza watu, mtu yeyote anayetaka kuja PUBLIC mwacheni ache,
Hivi mmefikiaje hatua ya kutishwa na MTU kama Lema ?
Kuna wazee tunawaheshimu ila punguzeni BLA BLA BLA , mtu anapotaka kuongea achaeni aongee, hizi bla bla mnazofanya ndio mnaficha wajinga wengi bila umma kuwajua ni wajinga halafu siku moja wanapanda vyeo wanafikia hapo alipo SAMIA kisha TAIFA zima linaumizwa
Punguzeni hizo Busara zenu, Punguzeni kujifanya machujio au machekeche, mmetufikisha hapa sababu tumekuwa TAIFA la watu wanafiki kuchuja sana na kubalance mambo
Mjinga yeyote atakayetaka kuongea aachwa aongee, Taifa linawatu 64 million halafu mnalinga baadhi ya ng'ombe kwamba wao tu ndio wanaweza kuwa viongozi wa KISIASA nchi hii? hizi ni tabia ambazo CCM wametumia sana, tumekuwa na makundi yaliyoteka nchi, kwa sasa Tanzania ilipofikia watu wanaelewa vitu
HAKUNA TENA mambo ya kuvushwa na mtu, AKIFA je ? yeyote anayetaka kufanya ujinga aachwe afanye hili alipe gharama ya ujinga wake ndio wengine nao wajifunze kwamba , KUNA NGUVU ya UMMA kwenye kila jambo, ni lAZIMA KUTII NGUVU YA UMMA na UMMA






















