Merius (@Merius147675) profile picture
Joined July 2025
Photo by Merius (@Merius147675)Photo by Merius (@Merius147675)Photo by Merius (@Merius147675)Photo by Merius (@Merius147675)
Ujumbe uwafikie wauwaji wote @Tanzaiite
6
54
1
261
8,513
Asanteni sana Ndugu zetu wakenya
11
290
2
1,180
15,534
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 304 Mhe. Lissu: Sasa endelea hapo? Mnyika: Niliona pia vyombo vya Habari vya Azam na vingine Katuga: Anasimama Katuga anasema hicho kielelezo cha Mahakama hajaomba ku refresh memory. Mhe. Lissu: Waheshimiwa Majaji kama anaona hilo ni shida basi naliondoa tu. Mhe. Lissu anaendelea: Sasa Shahidi hii tuhuma wewe unaionaje? Mnyika: Hiyo ni tuhuma ya uongo. Ni tuhuma ya kubambikiza tu. Mhe. Lissu: Wakati mnatuma hizo taarifa kwa hao waandishi wa habari mlituma maelekezo mengine ya waje na nini na waje na vitu gani? Mnyika: Hatukuwaambia waje ma chochote. Hatukusema waje na Pen na Karatasi wala chochote. Mhe. Lissu: Imetolewa maelezo kwamba walikuja na camera hapa Mahakami sasa wewe unasemaje? Ajuaye: Naomba ali rephrase swali. Mhe. Lissu: Sitapoteza muda. Imesemwa kuwa mimi ndio nilirusha matangazo wewe unasemaje? Mnyika: Chadema tunaamini katika uhuru wa vyombo vya habari kwahiyo hatuwezi kuwaingilia waandishi wa habari. Walirusha wao na sisi hatuhusiki. Mhe. Lissu: Kwahiyo ilikuwaje siku ya hilo tukio? Mnyika: Sehemu ya kwanza vyombo vya habari vitahusika na sehemu ya pili tutabaki viongozi na watia nia kwa muda mfupi. Mhe. Lissu: Hiyo sehemu ya kwanza ni ipi? Mnyika: Ni ile hatua ya awali ya maelezo ya Viongozi wakuu. Ambao ni Mwenyekiti, Makam wake na Manaibu wa Katibu mkuu. Anawataja kwa majina wote. Mhe. Lissu: Sasa waeleze Majaji lengo la kuwaalika Waandishi wa habari ni nini? Mnyika: Wachukue habari na kufikisha kwa umma suala limalohusu madai yetu ya mabadiliko ya Kikatiba na kisheria ya kuwezesha uchaguzi huru na Haki chini ya Kauli Mbiu ya No reforms No Election. Bila Mabadiliko hakuna Uchaguzi. Mhe. Lissu: Unaposema hotuba ya Mwenyekiti ilikuwa ndefu zaidi una maanisha nini? Mnyika: mazungumzo yalikuwa ni takribani masaa matatu. Na katika muda huo Mwenyekiti alizungumza zaidi ya masaa mawili alizungumza Mwenyekiti wa Chama Taifa. Mhe. Lissu: Hayo mazungumzo ya Mwenyekiti ya Masaa mawili yalihusu nini hasa? Mnyika: Mwenyekiti alizungumzia historia ya madai ya kutaka mageuzi ya Kikatiba kutaka uchaguzi wa huru na haki. Kuanzia Kabla, wakati wa tume ya Rais iliyokusanya maoni ya mfumo wa vyama vingi, almaarufu Tume ya Nyalali kati ya mwaka 1991 na 1992. Akazungumzia mapendekezo ya tume hiyo kutaka kuandikwa kwa Katiba Mpya na kufanyika mabadiliko ya kikatiba ya kuwezesha Uchaguzi huru na Haki namna yalivyokataliwa na serikali ya Chama kimoja CCM. Na akaendelea kuelezea juu ya madhara ya kutofanyika kwa mabadiliko hayo toka mwaka 1995. Akaeleza maoni ya tume zingine na kamati zingine zilizoundwa kuelezea maswala ya Kikatiba kuhusu uchaguzi akataja tume ya Kisanga, Kamati ya Bomani na Tume ya Jaji Warioba ya Mwaka 2014. Mnyika anateleza tu. Useminari mwingi nidhamu yakutosha na madini yakumwagika. Mwenyekiti alieleza namna CCM walivyotumia wingi wao kwenye Bunge la Katiba na kutumia wingi wao kujaribu mchakato wa Uchaguzi. Pia alielezea madhila ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2019, Uchafuzi wa Uchaguzi Mkuu wa 2020 namna ambavyo mawakala wetu walifanyiwa kuondolewa vituoni. Pia Mwenyekiti alieleza kuhusu hatua ambazo Chama kilichukua baada ya Uchaguzi huo ambao baadhi ya wanachama walifungwa Gerezani lakini ni uchaguzi ambao watu wetu walipigwa sana wakiwa wanadai haki kutendeka. Sasa chama chini ya uongozi wa Mwenyekiti Mbowe kilichukua hatua mbalimbali kukabiliana na hali hii ya kipindi hicho na hatimaye baadae Mwenyekiti Mbowe alipewa kesi ya Ugaidi kutokana na msimamo wetu na wa Chama wa kudai Katiba Mpya na alikaa rumande kati ya Mwaka 2021 na mwaka 2022. Na alipotolewa baada ya kesi yake kufutwa. Yalianza mazungumzo kati ya Chadema upande mmoja na CCM na serikali upande mwingine. Part 305 itaendelea kwenye post inayofuata, Naomba Repost yako.
8
335
1
1,002
39,793
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 301 Mhe. Lissu anaendelea na Re-examination Mhe. Lissu: Kuhusu D1 kile kielelezo cha Kaaya kule chini kabisa kimeendikwa maelezo, ziko hizo sehemu kwahiyo alipaswa kuandika na kuandikwa maelezo. D2 nacho pia hicho kielelezo Samwel Elibariki nacho niliulizwa maswali kadhaa angalia mwisho utaona. Ipo sehemu ya mtoa maelezo na afisa aliyeandika maelezo, hizo sehemu zote zimesainiwa na mtu mmoja. D5 ambayo ni maelezo ya PW 6 nayo pia kuna signature moja imepita sehemu zote za aliyeandika maelezo na aliyemuandika maelezo kote ni yule yule. Exhibit D8 ni maelezo ya PW9 nae pia vilevile. Kuna uthibitisho wa Afisa aliyeandikiwa maelezo. Uthibitisho pia wa chini yake ameandika vile vile yeye pia. Amejionya na kujithibitisha mara mbili. D11 maelezo ya PW12 inasema Koplo Vicent nae pia alijionya na kujiandika Maelezo yake. Mtu huyo huyo. D15 ambayo ni maelezo ya Amin Mahamba PW 16 kila page kuna mtoa maelezo na aliyeandika maelezo. Lakini imesainiwa mtoa maelezo pekee lakini aliyeandika maelezo haipo kabisa. D14 cha PW 15 Koplo Amani kwenye kila page saini ya mtoa maelezo imejazwa na afisa aliyesimamia maelezo ipo Koplo Robert. Ndo nilisema huyu pekee ndio alifuata utaratibu. Detective Corporal Robert ndio niliandika maelezo ya Detective Coporal Amani. Huyu alikuwa sahihi. Mhe. Lissu: Niliulizwa kuhusu wale mashahidi waliokiri kufanya uhalifu. Walikiri Polisi na baadae wakaambiwa wawe mashahidi dhidi yangu na baadae tuhuma zikafutwa. Je unawaita wahalifu walishapelekwa mahakamani hapana lakini ni wahalifu. Ufafanuzi ni kwamba watu ambao ni wamepanga kufanya uhalifu, wakakamatwa kwa kufanya uhalifu, wakakiri wanapanga kufanya uhalifu wakaja mahakamani tumepanga kufanya uhalifu na wakaachiliwa hao ni wahalifu. Ajuaye: Ameanza kutoa ushahidi hapa tena. Mhe, Lissu: Nimetoa ufafanuzi Jaji Jaji Ndunguru: Haya tuendelee hebu 😂😂 Ni kama Jaji amesema bila kusema kuwa AJUAYE WEWE NI KILAZA. Kwa Maneno Mengine Jaji anasema AJUAYE NI KATUGA ambae hana maelezo mengi lakini ujinga ni ule ule. Mhe. Lissu: Naomba niishie hapo. Kwenye hii re examination. Kesi imeahirishwa hadi saa nane kamili tutarudi Mahakamani. Kuendelea na Shahidi John Mnyika. DW2. Naomba Repost yako.
15
346
3
1,029
40,855
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 300 Mhe. Lissu anaendelea na Re-examination Mhe. Lissu: Niliulizwa kuhusu Ndyanabo na Mtikila na nikasema Mtikila alienda Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika na hadi sasa serikali haijatekeleza maamuzi ya Mahakama ya Haki za Binadamu za Afrika. Jaji Ndunguru: Hiyo naona ni the obvious nayo usifafanue kabisa. Mhe. Lissu: Haina shida. Niliulizwa sana kuhusiana na scope ya kifungu cha 39(2)(d) juu ya neno Or kati ya Overt act or deed. Ufafanuzi wangu ni kwamba act or deed is the same thing. Act something that is done and a deed is something is done. Katuga: Huu ni ushahidi au submission. Anakoenda ni kutoa tafsiri ya overt act or deed. Mhe. Lissu: Waheshimiwa naona Mahakama inisomeee ili tusivutane vutane hapa. Jaji Karemaha anasoma kilichoandikwa, anasema kwa vile nimeandika kingereza nitasoma. Mhe. Lissu: Basi naomba niendelee. Kuhusu mihimili mitatu na kazi zake. Nikasema moja ya kazi za Bunge ni kutunga Sheria na serikali kusimamia sheria. Ufafanuzi wangu ni kwamba kutunga sheria sio kazi pekee ya Bunge. Mhe. Lissu: Kuhusu mashahidi wa mashitaka hawakuja kutoa ushahidi kuhusu namna nilivyokamatwa. Uhalali wa kukamatwa kwangu ni suala tofauti kwasababu sheria zimeweka utaratibu wa namna ya kukamata na ulifuatwa au laaa suala hilo lilipaswa kujibiwa na upande wa mashitaka. Mhe. Lissu: Nimeulizwa kuhusu waandishi wengi wa habari waliokuja Tar. 03/04 niliulizwa kama waandishi hao walikuwa wanajua nilichokuwa naenda kuwaambia na kama niliwapa hotuba yangu mapema. Nikasema sikuwapa. Nataka kufafanua, waandishi wa habari huwa hawapewi taarifa hizo kabla. Katuga: Hilo la kwamba huwa hawapewi hizi taarifa hilo sikuuliza. Mhe. Lissu: Yeye ndo alileta habari za constructive publication Jaji Ndunguru: Na wewe ukasema kuwa hukuwa na control ya hao watu, nafikiri hata hili majibu yako yalinyooka tu. Mhe. Lissu: Sawa. Kuhusu maandamano na kuzuia uchaguzi. Nilisema uchaguzi usiokuwa huru sio uchaguzi. Mhe. Lissu: Niliulizwa kuhusu adhabu ya kifungu cha 39(2)(d) cha Penal Code atahukumiwa adhabu ya kifo na Wakili akasema sentenced to death. Mimi nilisisitiza ni adhabu ya kifo. Jaji Ndunguru: Hivyo vifungu vinatofautiana cha mwaka 2022 na cha mwaka 2023. Kuna sheria moja ina liable to death na nyingi shall be sentenced to death. Kwahiyo ile ya 2022 ni kwamba sio lazima upewe adhabu ya kifo lakini ya 2023 ndio haina hiyo option. Inasema direct sentenced to death. Mhe. Lissu: Haya tuendelee. Kulikuwa na maswali kuhusiana na mashahidi wa kificho na nasisitiza hawakuwa wanajulikana kwa mtu yeyote isipokuwa aliyewaleta. Kuna hili lingine la kwamba tuliwatoa nje waandishi na nikasema kwa yale ambayo hatukutaka yachapishwe tuliwatoa ni kwasababu walichoitiwa kilikuwa kimeshakamilika. Naomba sasa vielelezo D1 hadi D16 kwasababu vilitumika sana kwenye cross examination. Anasubiria kupatiwa. Part 301 itaendelea kwenye post inayofuata. Naomba Repost yako.
7
361
2
1,053
35,574
Getting railed like a cheap whore and I’m obsessed😈... Submissive Kenyan bottom moaning while he destroys me. Complete video with creaming + breeding finish — OnlyFans link in bio. Tag a top who needs this ass😉
3
35
227
15,167
Nothing beats making out... its honestly the best part of sex👅
1
12
124
10,939
1
5
35
1,266
1
8
656
1
25
315
53,931
He was feeling so nice, damn😋. Full video now playing: onlyfans.com/africa_best onlyfans.com/africa_best
4
32
218
21,453
Ass so tight @Blacksexyppy Watch full video ▶️ faphouse.com/videos/fucked-h…
8
188
863
62,721
41
291
9,357
Merius retweeted
Finally got the cleaning boy in my building. Told him to come clean my apartment for a few while my homeboy was around… A little bit of persuasion and tipping him he let him in Watch Full video here ⬇️ fansly.com/velvetyoo/t2 onlyfans.com/velvet_yo justfor.fans/snowflake
2
23
203
14,709