Master Mark 馃嚚馃嚛馃嚬馃嚳 retweeted
饾悊饾悜饾悎饾悆饾悎 饾悩饾悁 饾悡饾悁饾悎饾悈饾悁 饾悩饾悁 饾悓饾悁饾悏饾悎
Serikali inatekeleza miradi 10 ya maji inayogharimu TZS trilioni 1.58.
Inatoa maji Ziwa Victoria, Tanganyika, Nyasa na mito mikubwa kwenda maeneo mbalimbali nchini.
Master Mark 馃嚚馃嚛馃嚬馃嚳 retweeted
Kwa mara ya kwanza nchini Tanzania.
Hii ni kubwa zaidi Afrika Mashariki, Kati na Kusini. 馃憦
Master Mark 馃嚚馃嚛馃嚬馃嚳 retweeted
WALIPAKODI WAMEFIKIA MILIONI 8.25
Hii ni baada ya walipakodi wapya 900,755 kusajiliwa kati ya Julai 2025 hadi Machi 2026.
Master Mark 馃嚚馃嚛馃嚬馃嚳 retweeted
TRA imekusanya TZS trilioni 9.31, Januari hadi Machi 2026.
Huu ni ufanisi wa 106.4% ambapo lengo lilikuwa trilioni 8.75.
Master Mark 馃嚚馃嚛馃嚬馃嚳 retweeted
Viti 6,500 vilivyotolewa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam vitafungwa katika Uwanja wa CCM Mkwakwani Tanga.


















