Master Mark 馃嚚馃嚛馃嚬馃嚳 (@Mastermark45) profile picture

Pricing determines Quality | Hustler | Social Media Marketer

Kibaha, Pwani
Joined August 2021
Serengeti national park Tanzania Africa's leading safari destination according to World travel Awards 2021 #TanzaniaParks #TanzaniaWeWant #MamaYukoKazini
2
22
1
50
Elimu bila ada imesaidia watoto wengi sana kutoka familia duni kupata fursa. Serikali kutumia trilioni 1.3 kwenye elimu bure ni uwekezaji bora zaidi kwa vizazi vijavyo.
1
9
Kumtua mama ndoo kichwani sasa inaonekana kwa vitendo. Takwimu zinaonyesha upatikanaji wa maji vijijini umefika 85% na mijini 91.6%. Hii ni hatua kubwa sana kwa ustawi wa familia zetu.
1
7
Filamu ya 'Royal Tour' imekuwa 'game changer' kabisa! Watalii wameongezeka hadi milioni 5.4 mwaka 2024 na mapato yamepanda kufikia Dola bilioni 3.9.
1
15
Master Mark 馃嚚馃嚛馃嚬馃嚳 retweeted
9
2
131
Master Mark 馃嚚馃嚛馃嚬馃嚳 retweeted
9
3
162
Mradi wa Kituo cha Kupoozea Umeme cha Mkata (Mkata Substation) kilichopo eneo la Mkata. Mradi huu wenye thamani ya sh.bilioni 50 unatarajiwa kutoa umeme wa uhakika, kuboresha upatikanaji wa huduma za nishati kwa wananchi na kuchochea shughuli za kiuchumi pindi utakapokamilika.
1
34
Ujenzi wa Daraja la Pangani, daraja litakaloimarisha mawasiliano na kurahisisha shughuli za kijamii na kiuchumi.
1
24
Master Mark 馃嚚馃嚛馃嚬馃嚳 retweeted
8
88
Master Mark 馃嚚馃嚛馃嚬馃嚳 retweeted
8
83
Master Mark 馃嚚馃嚛馃嚬馃嚳 retweeted
饾悊饾悜饾悎饾悆饾悎 饾悩饾悁 饾悡饾悁饾悎饾悈饾悁 饾悩饾悁 饾悓饾悁饾悏饾悎 Serikali inatekeleza miradi 10 ya maji inayogharimu TZS trilioni 1.58. Inatoa maji Ziwa Victoria, Tanganyika, Nyasa na mito mikubwa kwenda maeneo mbalimbali nchini.
2
13
11
627
Master Mark 馃嚚馃嚛馃嚬馃嚳 retweeted
Kwa mara ya kwanza nchini Tanzania. Hii ni kubwa zaidi Afrika Mashariki, Kati na Kusini. 馃憦
12
1
10
1,402
Master Mark 馃嚚馃嚛馃嚬馃嚳 retweeted
13
7
136