I totally agree both men and women should be vaccinated against human papilloma virus (HPV). We all carry same sexual risk behavior's.
51
"Ukatili wa Kijinsia ni chanzo cha maambukizi ya Virusi vya UKIMWI hasa kwa Wanawake na Wasichana, kuwa balozi wa kupinga ukatili wa Kijinsia ili kutokomeza maambukizi ya Virusi vya UKIMWI " VVU vyaweza kuwa chanzo cha Ukatili pia Ukatili waweza kuwa chanzo cha Maambukizi ya VVU
1
Siku ya UKIMWI duniani 2022.. Imarisha Usawa, “Equalize”.
Ule muda wa maneno maneno umekwisha... Sasa ni wakati wa matendo, wakati wa kuchukua hatua kutafuta suluhu ya hali ya kutokuwa na USAWA na kutokomeza kabisa janga la UKIMWI.
#ImarishaUsawa
#Equalize
#WAD2022
Mwanaume wekeza kwa MKEO,mpatie fursa ya kufanya maamuzi, na kufikia ndoto zake kama kielimu, biashara na kauli nzuri.Mlinde kwa nguvu zote dhidi ya magonjwa na vitendo udhalilishaji.
Sasa mtu kajiua eti aliwekeza kwa mchumba au mchepuko.Kuwa na mipaka brother la sivyo utajuta.
2
Kama jamii tunawajibu wa kuwalinda watoto wetu, na nyakati hizi watoto wa kiume wanapaswa kuangaliwa kwa namna ya kipekee.
Mimi nachukua hatua, wewe Je! instagram.com/p/CewTp7zNqlX/…
1
3
Just posted a photo @ Ngorongoro National Park, Tanzania instagram.com/p/CV6SXibtHWK/…
3
Ushaidi unaendelea kukusanywa, tafiti zinaonyesha ni heri kupatiwa chanjo kuliko kutokuwa nayo kwani hatari inaongezeka kwa kiwango kikubwa kupata maambukizi na hata kupata changamoto za UVIKO-19. instagram.com/p/CTeEwsKDiEJ/…
1
Learning is Linking to Life @ Mbezi Beach Dar Es Salaam instagram.com/p/CRMd7VtnP1f/…
Just posted a photo @ Geita, Mwanza, Tanzania instagram.com/p/CPG411Lnw6R/…
1
Just posted a photo @ Runzewe- Ushirombo- Geita Region instagram.com/p/CPA5r7nnLEg/…
1
Just posted a photo @ Mbezi Beach Dar Es Salaam instagram.com/p/CKuBUGvH1Cx/…
1
Just posted a photo @ Home Mbezi Beach instagram.com/p/CBjBlGenJ8-/…
1
Girls, & Boys in all their diversity, need to know that when they’re abused, stalked and threatened , they’ll be taken seriously. The time to act is now so that they are #FreeToBeOnline #GIRLSGETEQUAL #IDGC2020 instagram.com/p/CF-KeI8nnrK/…
TAMISEMI :Mtoto, Toa taarifa za ukatili kwa Watoto kama vipigo, ubakaji, ulawiti na mahusiano ya mapenzi kwa watoto kwa kupiga simu bure 116 au Polisi. instagram.com/p/CGe58CzHqGX/…
"We need women at all levels, including the top, to change the dynamic, reshape the conversation, to make sure women's voices are heard and heeded, not overlooked and ignored."
- Sheryl Sandberg instagram.com/p/CHa7ma2Hvhp/…


