Mfizikia retweeted
Kuna mwenyekiti mmoja wa YUVISISIEM kata kapost hii WhatsApp status,
Hata dakika 10 hazijapita kafukuzwa uanachama😁😁😁
Mfizikia retweeted
Kama tulivyo post kua itafika kipindi utafukuzwa mpaka uanachama,
Ndivyo hivyo tunapost tena kuwa Wapo mbioni kukupoteza,
take care yourself brother🤝
Mfizikia retweeted
4 years ago, I used to target $20 per day.
Yesterday, In one trade I was up $2,000+
Your time will come.
Keep going.
Mfizikia retweeted
An intelligent man stops regretting wasted time and starts making sure tomorrow never looks like yesterday.
Mfizikia retweeted
Mara nyingi sana wanawake wanachepuka kwenye mahusiano ambayo mwanaume ni mpole..
Ila ni ngumu sana kukuta mwanamke anachepuka kwenye mahusiano ambayo mwanaume ni muhuni..
Mfizikia retweeted
Moringa contains:
🌿17x more calcium than milk 🥛
🌿 2x more protein than yoghurt 🍦
🌿 5x more folic acid than beef🍖
🌿 5x more zinc than pork 🥩
🌿 4x more amino acid than eggs 🥚
🌿 7x more Vit C than oranges 🍊
The tree of life.
Mfizikia retweeted
Leo chama chetu CHADEMA tuanaazimisha miaka 20 ya chama chetu wapenda haki na Demokrasia! Tuungane wote kusherekea 🥂
Mfizikia retweeted
As a trader ni risk gani kubwa uliawahi take kwenye Trading?
Kutradie Ada , kukopa Pesa utrade, Kuflip, kununua Robot ama kuna nyingine kali zaidi 😄🙌
Na mwisho wake ulikuaje?
Mfizikia retweeted
Kitu Ambacho Wanaume Huwa Tunachelewa Kuelewa ni Kwamba:
Mwanamke Ambaye Yupo INTERESTED nawewe Atafanya Kila Kitu ili Kukutengenezea Mazingira Rahisi ya Kumpata
…ukiona unatumia Nguvu Nyingi na anaruka ruka—She’s not INTERESTED
Usipoteze Muda wako!
The real tough Journey in
Forex;
1. Stop thinking about making
money quickly
2. Stop rushing into trading without
proper skills
3. Study as if you have no other way
of making money
4. Love it and develop a genuine
passion for it
5. Study the chart every day
📊
Mfizikia retweeted
Charlene Ruto's fiancé, Isaya Yunge,
Is far from an ordinary hustler.
In fact, he addressed the G7 Summit in 2007
At just 17 years old, representing Tanzania.
The high-level meeting was attended by several heads of state,
Including then-U.S. President George W. Bush.
Mfizikia retweeted
GESTAPO IN TANZANIA?!! : FREE SIRJEFF @Sirjeff_D
Mwaka 1933-1945, GERMANY ikiwa chini ya Utawala wa NAZI wa ADOLF HITLER, kiliibuka kitu kinaitwa GEHEIME STAATS POLIZEI (GESTAPO); a “Secret State Police”. Ni Kikosi Polisi Cha Siri kilichotumika kuua, kuteka, kutishia na kupora watu ambao walihisiwa ni Maadui wa Watawala. Hicho kikosi kilifanya kazi “Above The Law” na pia kinyume na utaratibu kiasi cha polisi wa kawaida kutopewa taarifa wala kuhusishwa.
Wakati ASKOFU GWAJIMA anakemea UTEKAJI, alikuwa anasema, “Kuna ka kikundi fulani kanafanya haya mambo”. Hiyo Kauli ilikuwa inanikasirisha maana niliamini alikuwa muoga kunyoosha maelezo. ILA nikaja kuona kauli za Polisi; kuna wakati unaona kabisa ni kweli hawajui kama mtu aliyetekwa yupo wapi. Nikabaini pengine it is a GESTAPO SCENARIO. Polisi hawajui kitu au wanapewa maelekezo ya kusema na mtu akiuwawa kesi inakufa pia maana hawawezi sema ukweli.
Tatizo la kuwepo na Watu wenye Mamlaka juu ya Sheria, ni kuibuka kwa vitendo vya hao Miungu Watu vya kudhuru Raia for their Personal reasons. Pichani ni kijana anaitwa SIRJEFF maarufu sana Twitter(X). Sio rafiki yangu (na huwa ananikejeli na kuniponda bila sababu), ila ni Mpambanaji na Mjasiliamali wa Kidigitali (Stocks, Forex & Cryptocurrency). Ujivuni wake unapelekeaga yeye ku-expose mafanikio yake. Mwana anashikiliwa na Polisi miezi 6 kama sio zaidi. Je ana kosa kweli? Au ni wanataka kumpora hela zake? Je ni ushamba wa Watawala kutoelewa CRYPTO na kuhisi mtu ni mwizi kisa tu ni unregulated business model?
Mimi simfurahiagi sana huyo Sirjeff, ila I can say kuwa he’s NOT A CRIMINAL; Ni mjivuni, mpenda sifa, mjuaji, mcheshi, mlazimisha mazoea, sometimes ana dharau ila SIO MHALIFU wa aina yeyote ile. Anachefuaga Watu kwa tabia zake, pengine ndio maana hakuna Kelele za kumpigania aachiwe kama wengine, ila ni dhahiri ANAONEWA.
Perhaps there’s GESTAPO in Tanganyika. Maybe they are sent by “Oga at the Top”, maybe they act lawlessly on their own authority to terrorize people, or regular people hire them to take out their enemies and/or competition? Tunajiuliza na Kuhoji.
FREE SIRJEFF!
The Leader
Mfizikia retweeted
Orodha ya wanasiasa na vyuo walivyosoma
Emanuel Nchimbi amesoma IDM Mzembe
John Heche amesoma SAUT
Kassim Majaliwa amesoma UDSM
Tundu Lissu amesoma UDSM
Jakaya kikwete amesoma UDSM
Godbless Lema amesoma UDOM
Nani ana Degree Kubwa hapo
Mfizikia retweeted
Dear wafalme,
Tafuta hela sana, sio za kula bata, kwa ajili ya utawala
Mwanaume mwenye hela hamsujudii yeyote.
Kumbuka, starehe zinapita. Utawala unadumu maisha
Lengo sio kuonesha kuwa una hela, lengo ni kuhakikisha hakuna anayekutilia mashaka na uwezo wako kifedha.
Mwisho.























