Kwanza CCM hawahitaji wakujengee ndio waibe wao kuiba wanaiba bila hata miradi, mfano ukitoa kakiwanja ka Arusha huyu mama kafanya nini? Makonda pesa ya tours 500 aliiba kwenye mradi gani?
Replying to @MagoigaS @SureBoy255_
Unahisi wanaanzisha hiyo miradi kwasababu wanawapenda au wanataka waibe hela? 😂😂
Unajua wananunua na Matreni Used unajua?
1
19
BOBU retweeted
Replying to @_zack255 @IamLyenda
When you respond to him please let me know my brother. – at Dar es Salaam, Tanzania
BOBU retweeted
Mwenyekiti wetu Tundu Lissu amezishinda risasi 32 za ccm na dola..
Walitaka kumuua mwaka 2017 wakashindwa.
Wamejaribu kumnyonga kwa kesi ya uhaini wa uongo wameshindwa.
Wamemfunga kwa uchochezi wa uongo.
Makaburu hawakuwahi kumpiga risasi Mandela wala kumuondolea ubunge wake.
Wamlimfunga tu kwa mda mrefu na baadae alitoka.
Historia ya Mwenyekiti Lissu itaandikwa kwa wino wa dhahabu, sio Raila wala Mandela amefanyiwa unyama na serikali kama ambao Mwenyekiti Lissu amefanyiwa na anaendelea kufanyiwa.
Tutashinda na tutavuka.
BOBU retweeted
Kutokana na umuhimu wa Maridhiano, hili pendekezo la Chadema kwamba Lazima Lissu awepo kama njia ya kuelekea kwenye kutafuta maridhiano ya kuliponya taifa, ni dogo sana linalowezekana kutekelezwa muda wowote na bila gharama watawala wakiamua.
Hata hivyo kiburi kimewatawala.
BOBU retweeted
Replying to @MagoigaS @ze_mandevu @ModestaZ7 @kilepi_tweve @Mwinshehe07 @xlusako @Timbertzaa @bajabiri @MangiwaKwanza1 @derc2323 @NesiMkunga
Enzi hizooo nasikiliza African beats ya Kiss fm mida ya jioni kuanzia saa 12 hapo alikuwa mtangazaji D Seven na dj Maliz basi zilikuwa zinabondwa hip hop Bongo fleva na afro beats za enzi hizo mpaka mida ya saa tatu usiku
BOBU retweeted
Replying to @MagoigaS @ze_mandevu @ModestaZ7 @kilepi_tweve @Mwinshehe07 @xlusako @Timbertzaa @bajabiri @MangiwaKwanza1 @derc2323
aloo haka alikuwa nako mshikaji wangu sasa siku za kwenda shule ndio ananiachia ikifika ijumaa jioni anakichukua nakuja kukipata tena jumatatu jioni😂😂🙌🏿
He knew he wasn't there to serve the people 😅
This was the 1st red flag Ruto saw while seated, and we couldn't see it while standing and cheering
Comparing William Ruto and Gachagua is like comparing day and night. God was giving us the signs, but we took too long to understand.
Gachagua, from minute one, was aware that he would never follow and rule, or what he was told to do. Such a dictator.
Are you happy that he was impeached to pave the way for sane Kenyans and the country's development?
19
BOBU retweeted
Wasee wanaiba Hadi hospital money, money ment for development haiko well utilized benefiting a few but this fool sees it kama normal. Yet, naona analia kwa TL Yake venye ako unemployed. Huwa hajui venye policies affect his situation
Huyu hapa 👇🏾
xitter.cf/nulphin/status/2123651…
48
BOBU retweeted
Pole pole alisha toa CODE MAPEMA kuhusu maridhiano. kiufupi jamaa alikuwa anaelewa kila kitu kitakacho kuja kutokea 🔥🔥🔥🔥🙌🏾 TRUE HERO



















