macheda retweeted
Nilisema Wakatoliki ndio chanzo wa yale yaliotokea Rwanda na wakajaribu hapa kwetu Tanzania wakafanikiwa kuwaua askari wetu na Raia, ile siku ya 29OCTOBA 馃槩馃
macheda retweeted
Tag wanao tano walioko Mwanza, wajiandae na mvua ya zawadi kutoka kwa Mr Chimbo!!
Hii ni yetu, Hii ni ya vijana馃敟
#chimboinmwanza #viral #popural #chimbolavijana
macheda retweeted
馃嚬馃嚳 JESSICA KIKUMBI APONGEZA MJI WA SERIKALI MTUMBA, DODOMA
Mfanyabiashara na Mkurugenzi wa Kitambaacheupe Investment, Jessica Kikumbi, ameshiriki hafla ya uzinduzi wa Mji wa Serikali Mtumba, Dodoma.
Jessica amepongeza maendeleo makubwa ya mji huo, majengo ya kisasa, miundombinu
macheda retweeted
SI-NDOTO TENA
Modern development is not just about impressive buildings; it is about creating a city where people can live, work and thrive in a clean, safe and well-planned environment. #SamiaDelivery #KaribuMtumba #SiNdotoTena
macheda retweeted
SI-NDOTO TENA
Mtumba represents a new chapter in Tanzania鈥檚 urban development. A modern city must be built on proper planning, sustainable infrastructure, environmental protection and services that work for everyone. #KaribuMtumba #SamiaDelivery #SiNdotoTena
macheda retweeted
Burudani, shangwe za kumpokea Rais Samia Dodoma
Wananchi na vikundi mbalimbali vya ngoma za asili wakionesha burudani na shamrashamra za furaha wakati wakisubiri mapokezi ya Rais Samia Suluhu Hassan, katika Stesheni ya Treni ya Mwendokasi (SGR) Dodoma, ambapo baadae atazindua
macheda retweeted
SI NDOTO TENA
Serikali ya Awamu ya Sita inaleta huduma karibu na wananchi. Mtumba ni zaidi ya majengo, ni mwanzo wa utumishi bora, wenye uwajibikaji na tija kwa Taifa.
macheda retweeted
SI NDOTO TENA.
Dodoma sasa ni kitovu cha utawala, huduma bora na maendeleo. Maono ya Rais Samia yanazidi kuifanya Tanzania mpya kuwa uhalisia
macheda retweeted
SI NDOTO TENA
Maendeleo yanayogusa maisha ya wananchi ni matokeo ya maono na utekelezaji. Hongera Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuimarisha huduma za kijamii na miundombinu nchini.
macheda retweeted
Dkt Samia: Serikali kuhamia Dodoma ni fursa kiuchumi, biashara
Rais Samia Suluhu Hassan, amesema kuhamia kwa Serikali Dodoma kumechochea ukuaji wa jiji hilo, kuongeza idadi ya watu, shughuli za biashara, uwekezaji na huduma mbalimbali.
Amesema hatua hiyo imefungua fursa za
macheda retweeted
Mji wa Serikali Dodoma kama ulaya
Mwonekano wa Mji wa Serikali wa Mtumba, umekuwa sehemu ya kivituo kizuri cha jiji la Dodoma.
Rais Samia Suluhu Hassan na Mgeni wake Rais wa Angola, Joao Manuel Lourenco, amezindua rasmi majengo ya ofisi za wizara na taasisi za serikali pamoja
macheda retweeted
Mji wa Serikali Mtumba wajengewa kilomita 59.1 za barabara za lami
Rais Samia Suluhu Hassan amezindua barabara za lami zenye urefu wa kilomita 59.1 zilizojengwa katika Mji wa Serikali wa Mtumba mkoani Dodoma.
Katika hafla hiyo, iliyofanyika leo Oktoba 30, 2026,
macheda retweeted
Rais Samia azindua rasmi ofisi za Wizara na Taasisi Mji wa Serikali Dodoma
Rais Samia azindua majengo, miundombinu ya kisasa Mji wa Serikali Dodoma
Rais Samia Suluhu Hassan, leo Oktoba 30, 2026, amezindua rasmi majengo ya ofisi za Wizara na Taasisi za Serikali pamoja na





















