MIKEKA DAILY retweeted
Lema kanyoosha sana leo , mange ni wa kupuuzwa na chadema ipo tayari kwa maridhiano
Mange kimambi ashapoteza credit kwa uongo mkubwa anaolisha waTanzania
MIKEKA DAILY retweeted
Licha ya miito ya mitandaoni iliyolenga kuchochea vurugu kuelekea kumbukumbu ya Oktoba 29, wananchi wengi walichagua amani. Waliamka, wakafanya kazi, wakawasomesha watoto na kuhudumia familia zao. Uamuzi huo wa kimya lakini wenye nguvu unaonyesha ukomavu wa kisiasa wa
MIKEKA DAILY retweeted
Vijana wa Kitanzania nao wameonyesha uzalendo wa vitendo na ukomavu. Badala ya kuitikia wito wa fujo kutoka kwa wanaharakati, wengi wameendelea kujishughulisha na biashara, kilimo, ufundi na ajira. Wameelewa kuwa mustakabali wao unajengwa kwa kazi na amani, na si kwa uharibifu
MIKEKA DAILY retweeted
Lema:- MangeKimambi Ameumiza Familia Za Watu Wengi Tanzania Na Atalipia Damu Zao.
MIKEKA DAILY retweeted
Nilisema Wakatoliki ndio chanzo wa yale yaliotokea Rwanda na wakajaribu hapa kwetu Tanzania wakafanikiwa kuwaua askari wetu na Raia, ile siku ya 29OCTOBA 😢🫵
MIKEKA DAILY retweeted
SI-NDOTO TENA
Mtumba represents a new chapter in Tanzania’s urban development. A modern city must be built on proper planning, sustainable infrastructure, environmental protection and services that work for everyone. #KaribuMtumba #SamiaDelivery #SiNdotoTena
MIKEKA DAILY retweeted
SI-NDOTO TENA
Modern development is not just about impressive buildings; it is about creating a city where people can live, work and thrive in a clean, safe and well-planned environment. #SamiaDelivery #KaribuMtumba #SiNdotoTena
MIKEKA DAILY retweeted
SI-NDOTO TENA
As Dodoma continues to grow, urban planning and environmental sustainability must remain priorities. A modern capital should be efficient, accessible, inclusive and environmentally responsible. #KaribuMtumba #SamiaDelivery #SiNdotoTena
SI NDOTO TENA
Maendeleo yanayogusa maisha ya wananchi ni matokeo ya maono na utekelezaji. Hongera Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuimarisha huduma za kijamii na miundombinu nchini.
SI NDOTO TENA
Maono yanapokutana na vitendo, maendeleo yanakuwa uhalisia. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kazi ya kujenga Tanzania inaendelea.


























