
Betting for Life⚠️♻️ || Director Blacksmith || photographer || Afisa habari .... || Mchawi pro🧐 || presenter of @streetowners_
Nyasa🥴
Joined August 2022
- Tweets42.5K
- Following1.9K
- Followers4.9K
- Likes39.8K
MCHAWI POSHO ♻️ retweeted
Replying to @Thereal_taivina
@Thereal_taivina @prolific_88 @Sativa255 🤔 wanangu nilibet hii slip tareh 27.06.2026 kwa ajili ya liki zikirudi huu mkake umeanza tim zake siku ya ngao ya jamii pale EPL SAS haujachanika ila siuoni 😁 time limit yake ni mwez mmoja ss itakuwaje nataka kuufatilia kwa karibu
MCHAWI POSHO ♻️ retweeted
Pesa haikai benkiiiii
Djigui Diarra - miaka miwili
Bakari Mwamnyeto - miaka miwili
Yao Kouassi - miaka miwili
Asante GSM
MCHAWI POSHO ♻️ retweeted
Kuna Muda unatamani kusikia sauti za wazee wako unatamani kuish maisha uliyo yazoea ila 💔 wamechagua kukuweka mbali 🙌 inaumiza
MCHAWI POSHO ♻️ retweeted
Naombe nitangaze kama kuna mtu anauza betri ya Drone Min 2 DJI ani dm chap chap au kama unajua mtu anaeuza plz ni connect nae🙏
MCHAWI POSHO ♻️ retweeted
Martinelli future yake iko kwenye kucheza as SS anaonekana much better akiwa hana stress za kukimbizana na Fullbacks
MCHAWI POSHO ♻️ retweeted
Labda sio sifa zake but i feel kuna nyakati kama Odegaard akiamua ku take touches chache and look forward basi ni Cash money . Coz zile through balls kwake zimo.
Norway wanacheza na two 8s , Odegaard kama akicheza pembeni ya Casemiro with his ball manipulation , he kill Casemiro with one skill then release a through ball ( ana targets tatu mbele yake : two wide players + Haaland )
Shida he moves a lot uwanjani kiasi kwamba anajikuta mara nyingi infront of Bruno G + Casemiro badala ya nyuma yao.
MCHAWI POSHO ♻️ retweeted
🚨🍿 World Cup quarter final: Morocco vs France! 🇲🇦🇫🇷
Who’s going to the semi finals?
🤖 Made with AI


































