
Betting for Life⚠️♻️ || Director Blacksmith || photographer || Afisa habari .... || Mchawi pro🧐 || presenter of @streetowners_
Nyasa🥴
Joined August 2022
- Tweets42.5K
- Following1.9K
- Followers4.9K
- Likes39.8K
Tarehe 10/09 wanangu nagonga miaka kadhaa hapa duniani🤝 wakat nikiwa mdogo niliwai jinenea kwamba nikifika miaka kadhaa📌 nitakuwa tayari nishachonga njia ya kuyaelekea mafanikio sio haba njia naiona Very soon vile nilivyo panga kuviacha nitaviacha vyote 🤝 na ku focus na ndoto
108
Jina "Mchawi Posho" nilipewa na mwananagu wakuitwa Sub zero baada ya kuwa kila vitu nilivyo kuwa natamani kumiliki nilivikosa sababy ya kukosa pesa 💔 Nilipoteza marafiki sababu ya kuwa mzigo kwao 😔Nilipoteza wapenzi sababu hawakuona Future yao kwangu kwasababu
1
234
MCHAWI POSHO ♻️ retweeted
Replying to @Thereal_taivina
@Thereal_taivina @prolific_88 @Sativa255 🤔 wanangu nilibet hii slip tareh 27.06.2026 kwa ajili ya liki zikirudi huu mkake umeanza tim zake siku ya ngao ya jamii pale EPL SAS haujachanika ila siuoni 😁 time limit yake ni mwez mmoja ss itakuwaje nataka kuufatilia kwa karibu
MCHAWI POSHO ♻️ retweeted
Pesa haikai benkiiiii
Djigui Diarra - miaka miwili
Bakari Mwamnyeto - miaka miwili
Yao Kouassi - miaka miwili
Asante GSM
MCHAWI POSHO ♻️ retweeted
Kuna Muda unatamani kusikia sauti za wazee wako unatamani kuish maisha uliyo yazoea ila 💔 wamechagua kukuweka mbali 🙌 inaumiza
Sasa hivi Ndo nagundua kwanini Wanaume tunawai Kufa Tunapitia mengi hakuna anae jali Hayupo wakutupa sikio Wala wakutupa Bega tuegame Kabra ya pumzi kukata 🙌 Tunakuwa tayari Tusha kufa kimwili kiakili na kiroho 😎 Msitupe msongo wa mawazo wanaetu kuzaliwa tu mwanaume ni mtihani
213
Kuna Muda unatamani kusikia sauti za wazee wako unatamani kuish maisha uliyo yazoea ila 💔 wamechagua kukuweka mbali 🙌 inaumiza
Wanangu💔 hakuna kitu kinakata kama kushinikizwa na wazazi kufanya jambo furahi,🙌 Kuna muda awaelewi nini unapitia wao wanataka ufanye wanayo taka wao💔 unakuwa mfungwa kwenye kimvuli cha heshima kwamba usipofanya uwaheshimu💔 lakini wanasahau ww una matakwa yako na njia zako😎
55


























