Je, una miaka 16–35 na unaamini unaweza kufanya zaidi ya kusubiri ajira?
Miaka michache ijayo itawatofautisha vijana wawili. Yule anayesubiri fursa, na yule anayejitengenezea fursa.
📌 Nafasi ni chache. Jisajili leo: forms.gle/dpsofyecKapXFgUL7
29
🗓 Thursday, 18 June 2026
⏰ 8:00 PM – 9:00 PM
📍 Google Meet
Karibu sana.
instagram.com/p/DZtEv_8sYTx/…
30
Disciples Community imeandaa kambi kwa watoto wa miaka 10–18 kuwajengea identity, confidence, digital safety, creativity, innovation na marketplace mindset. 📌 Tarehe: 22–27 Juni 2026 📌 Ada: 50,000/= 📌 Nafasi: Watoto 40 tu 📌 Jisajili hapa: 👉 bit.ly/4a2hkOV
26
Doha decided to host me properly — with lights, coffee, a laptop corner, and one giant teddy bear who clearly understood the assignment. 😂🇶🇦
19
Jackson Isdory Mushi!!! hii imeniuma. Nimechukua muda kukubali... Nilimfahamu Jackson tangu mwaka 2004. Tulisoma wote UDSM. Tukaingia kwenye ulimwengu wa mawasiliano, PR na public service. Utakumbukwa daima Kaka.
1
97
🔥🔥🔥
FROM VISION TO A GROWING BUSINESS
Speakers: Dady Nicholaus Kayombo & Faith Kayombo
Date: Thursday, 28th May 2026
Time: Saa 2:00 – 3:00 Usiku
Location: Google Meet
Join here:
meet.google.com/ugn-xkpy-enj
Usipange kukosa. Utajifunza, utabarikiwa, utabadilika.
1
33
Wanaume wengi hubeba mizigo mingi kimya kimya; kazi, familia, mahusiano, huduma na presha za maisha. Lakini afya ya akili kwa mwanaume ni muhimu sana.
Jumanne hii tunajifunza pamoja na:
🎙️ Dr. Meinrald Mtitu
📌 Afya ya Akili kwa Wanaume
🗓️ 26 May
⏰ Saa 2:00 Usiku
📍 Google Meet
60
Registrations still open
Scan the QR code or copy the link to the google form
docs.google.com/forms/d/16uh…
17














