Kiwango Updates (@KiwangoUpdates) header
Kiwango Updates (@KiwangoUpdates) profile picture

Elimu bila Mipaka

Dar es salaam, Tanzania
Joined September 2026
Photo by Kiwango Updates (@KiwangoUpdates)Photo by Kiwango Updates (@KiwangoUpdates)Photo by Kiwango Updates (@KiwangoUpdates)Photo by Kiwango Updates (@KiwangoUpdates)Photo by Kiwango Updates (@KiwangoUpdates)Photo by Kiwango Updates (@KiwangoUpdates)Photo by Kiwango Updates (@KiwangoUpdates)Photo by Kiwango Updates (@KiwangoUpdates)Photo by Kiwango Updates (@KiwangoUpdates)Photo by Kiwango Updates (@KiwangoUpdates)
Kiwango Updates retweeted
🚨BREAKING NEWS 🚨 Rais Samia: Sasa ni wakati wa maridhiano Rais Samia Suluhu Hassan, amefanya mazugumzo na wajumbe wa Baraza la Vyama vya Siasa, huku akisema ni wakati mwingine wa kuendeleza mashauriano na wadau wa siasa, taasisi za kiraia.
16
10
8
18
3,259
Kiwango Updates retweeted
🚨BREAKING NEWS🚨 Makamu wa Rais Mhe. Deogratius Ndejembi ameagiza Taasisi ya kuzui na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) na Jeshi la polisi, Kuchunguza matumizi ya fedha za mradi wa kuboresha miundo mbinu ya Manispaa ya Lindi,
10
13
9
53
5,497
Kiwango Updates retweeted
🚨BREAKING NEWS🚨 RAIS SAMIA AREJEA NCHINI KUTOKA UTURUKI Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam,
9
9
8
12
930
Kiwango Updates retweeted
🚨BREAKING NEWS🚨 RAIS SAMIA AWASIRI UTURUKI. Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Antalya nchini Uturuki, leo tarehe 10 Novemba 2026, ⤵️
11
11
9
11
974
Kiwango Updates retweeted
🚨BREAKING NEWS🚨 RAIS SAMIA KUSHIRIKI COP31 UTURUKI 🇹🇿🇹🇷 Rais Dkt. Samia Suluhu, ameondoka nchini mapema leo hii na anatarajiwa kushiriki Mkutano wa 31 wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31) jijini Antalya, Uturuki, Novemba 9–20, 2026. ⤵️
1
9
9
394
Kiwango Updates retweeted
🚨BREAKING NEWS🚨 Leo Tarehe 6 Novemba katika viunga vya mahakama katika kesi ya Uhaini inayo mkabili Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
9
12
8
15
2,208
Kiwango Updates retweeted
🚨BREAKING NEWS 🚨 Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania apiga kura kwenye Kituo cha kupigia kura cha Ofisi ya Kijiji cha Chamwino mkoani Dodoma, tarehe 04 Novemba, 2026 katika Uchaguzi mdogo wa Ubunge wa Jimbo la Chamwino.
12
13
9
16
1,119
Kiwango Updates retweeted
🚨BREAKINGNEWS🚨 "(Wanaharakati) wanasema hao waoga kwanini hawatangazi maandamano, njooni tutangaze wote." Godbless Lema, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Alipofanya Mkutano na waandishi wa Habri jana tarehe 1/11/2026 Follow us for more 👇
10
10
8
11
1,088
Kiwango Updates retweeted
🚨BREAKING NEWS🚨 MHE. RAIS DKT. SAMIA: SERIKALI KUHAMIA DODOMA NI FURSA KIUCHUMI, BIASHARA Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuhamia kwa Serikali Dodoma kumechochea ukuaji wa jiji hilo, kuongeza idadi ya watu, biashara, uwekezaji na huduma.
11
12
9
16
1,849
Kiwango Updates retweeted
🚨BREAKING NEWS🚨 Katika kile kinachoendelea sasa hivi juu ya kukamtwa ama kutekwa kwa mwanaharakti wa Tanzania aliekuwa akiishi mafichoni Kenya juu ya akaunti za mitandao ya kijamii kutoweka mara tu alipo husishwa kutwekwa kwake.
2
11
20
1,635
Kiwango Updates retweeted
🚨BREAKING NEWS🚨 MAKAMU WA RAIS AAGIZA MPANGO MKAKATI WA KUWAANDAA VIJANA KUNUFAIKA NA MIRADI YA MAFUTA NA GESI DAR ES SALAAM, Oktoba 28, 2026 – Makamu wa Rais, Mhe. Deogratius Ndejembi,
14
9
9
10
1,043
Kiwango Updates retweeted
🚨BREAKING NEWS🚨 Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika ametoa wito kwa watanzania kufanya mgomo wa kula ili kuunga mkono mgomo wa kula unaotarajiwa kufanywa na Tundu Lissu, kuanzia Jumatatu ya Oktoba 26, 2026.
1
9
17
437
Kiwango Updates retweeted
Replying to @chimbolavijana
@chimbolavijana limekusogezea huduma za kijamii karibu yako, @UhamiajiTz , @NIDA_Tanzania na Mashirika mengi yapo kwa ajili ya kuwahudumia Vijana. Sogea sasa katika viwanja vya Gymkhana kupata huduma unazo zihitaji kwa haraka 🔥
12
16
550
Kiwango Updates retweeted
🚨BREAKING NEWS🚨 Tuzo ya Sakharov ya Uhuru wa Fikra ya mwaka 2026 imetunukiwa kwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) na maafisa wake. Akitangaza mshindi wa tuzo ya mwaka 2026 katika ukumbi wa Bunge siku ya Alhamisi, Rais wa Bunge la Ulaya, Roberta Metsola, alisema:
15
15
10
19
1,856
Kiwango Updates retweeted
John Heche alisema kuwa aliwai kumsema magufuli na hata alipoenda kwenye ziara katika jimbo lake alikataa kupelekeshwa na Magufuli. Teknolojia haisahau kitu.
2
7
2
9
452
Kiwango Updates retweeted
🚨BREAKING NEWS 🚨. Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 21 Oktoba, 2026. Follow us for more 👇 👇
11
10
513
Kiwango Updates retweeted
🚨BREAKING NEWS 🚨 Mwenye Nyumba katika eneo la Hai ambae ndie alie wapangisha Chadema, anae julikana kwa jina la Juliana Michael Mbaga amechukua uwamuzi wa kuwapa Notisi Chadema kufuatia lugha chafu za Chadema. ⤵️
20
14
9
20
2,205
Kiwango Updates retweeted
KUMBUKIZI, Heche alipokutana na Aliekuwa Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli Follow us for more 👇
5
12
3
16
686
Kiwango Updates retweeted
🚨BREAKING NEWS🚨 Kiongozi wa Chadema Mkoa wa Sumbawanga anae julikana kwa jina la Michael, ameamua kuuza gunia la mahindi ili aweze kupata nauli na kuungana na viongozi wengine wa Chadema mkoani Mbeya kwa lengo la kumng'oa John Heche Madarakani.
118
13
22
67
21,431
Kiwango Updates retweeted
🚨 BREAKING NEWS🚨 Makamu wa Rais, Mhe. Deogratius Ndejembi, usiku wa Oktoba 18, 2026, ameshuhudia Dar City ikitwaa ubingwa wa Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Mkoa wa Dar es Salaam (BDL) kwa kuichapa Stein Warriors vikapu 66 kwa 50, uwanja wa IST, Masaki.
10
8
7
18
1,233