Pinned Tweet
Kenya is the only place on earth where you bribe to get into the police force and then they expect you to be incorruptible
Sina budi
Replying to @KenWalibora
Nashukuru sana mwalimu! Natumai unazingatia amri ya kutotoka nje popote ulipo.
Ukitaka neno moja unasema kafyuu. Unaitwa utohozi na wala si dhambi. Mbona neno shati ni utohozi wa shirt
amri ya kutotoka nje
Replying to @KenWalibora
@KenWalibora Curfew huitwaje kwa lugha ya kiswahili? Nimejaribu kukumbuka na sipati...
Ken Walibora retweeted
Replying to @KenWalibora
Tazama hapa Gazeti la Maarufu Tanzania lilivyokunukuu katika msiba wa Kezilahabi.
globalpublishers.co.tz/tanzi…
Ken Walibora retweeted
A friend has just been released from Mbagathi hospital 👏👏She is now free of #coronavirus
So People, this is a happy me and a salute to health workers in Kenya.. This is why:
She had some symptoms and went for a test.
#COVID19
#covid_19Ke
#CoronaVirusUpdates
Danny baada ya kutafakari nimefikia mkataa kwamba lockdown ni kufungiwa, curfew ni amri ya kutotoka nje ila ukichunguza utaona maneno haya hayapo mbali sana kimaana.
Shukran Miss Mbaabu. Chapatikana maduka mengi ya vitabu hasa Textbook Centre
Replying to @KenWalibora
Natamani Kukisoma kitabu chako cha Siku Njema. Nilikisoma 2002 mara ya mwisho. ninaweza kukipata vipi?
13
Nafikiri kwa kweli sina hakika
.@KenWalibora what is following like following on Twitter? Is it andama?
2
13
Ken Walibora retweeted
"It is too soon to start searching for the light at the end of that tunnel because the next fortnight could be very dark indeed"
@AliBunkallSKY says America is entering a defining week in its history trib.al/3I9pRtr
Listen in to this delusional self- confidence


















