Police Bullets na Rayon Sports waanza vyema mashindano ya wanawake CECAFA
Wenyeji Kenya Police Bullets na Rayon Sports kutoka nchini Rwanda zimefungua kampeni yao ya michuano ya kuwania kufuzu ligi ya vilabu bingwa barani Afrika vyema kwa kushinda mechi zao za ufunguzi...
rfi.fr