Kelvin Nyanja (@Kelvinzone) header
Kelvin Nyanja (@Kelvinzone) profile picture

Sales & Marketing Executive| Public Relations Practitioner| Photographer| Tour Operator| Digital Marketing Manger | Hodophile

Dar es salaam
Joined July 2010
Photo by Kelvin Nyanja (@Kelvinzone)Photo by Kelvin Nyanja (@Kelvinzone)Photo by Kelvin Nyanja (@Kelvinzone)Photo by Kelvin Nyanja (@Kelvinzone)Photo by Kelvin Nyanja (@Kelvinzone)Photo by Kelvin Nyanja (@Kelvinzone)Photo by Kelvin Nyanja (@Kelvinzone)Photo by Kelvin Nyanja (@Kelvinzone)Photo by Kelvin Nyanja (@Kelvinzone)Photo by Kelvin Nyanja (@Kelvinzone)
Kelvin Nyanja retweeted
Cancer inaleta umasikini wa haraka kwenye familia
23
15
5
411
15,933
JOHN WAGESA HECHE 🔥🙌
15
187
3
899
31,013
Kelvin Nyanja retweeted
Lugha anayotumia WAKILI MSOMI PETER MADELEKA hata mtoto wa mwaka mmoja lazima aelewe. Repost 200
21
429
2
2,340
64,994
Kelvin Nyanja retweeted
Asante YESU kwa zawadi ya uzima, kwa ulinzi wako, kwa upendo wako na kwa rehema zako zisizo na mwisho maishani mwangu. ASANTE YESU, KWA KILA KITU, AMINA. 🛐🙏.
5
11
74
6,031
Kelvin Nyanja retweeted
Mungu atubariki harakati zetu Leo zikajipe 🤲
17
32
66
1,364
Asante Mungu kwa asubuhi hii njema! Ikawe baraka kwa kila mmoja wetu anayetafuta kihalali!
1
36
Kelvin Nyanja retweeted
Waheshimu sana wanaume ambao huwa wanaenda zao bar wanagida ugimbi kwa utulivu bila kusumbua watu wala kufanya fujo kisha wanajivuta kurudi nyumbani kwao mdogo mdogo na wakifika home hawasumbui wanafamilia🙌🏾 Hao majamaa huwa wastaarabu ajabu📌📍
16
23
1
250
7,320
Kelvin Nyanja retweeted
Kuna maamuzi kocha anafanya ili kufix madhaifu ya timu yake unajua kabisa huyu kocha ni wa level gani! kitendo cha Steve Barker Kumrudisha Neo Maema CM,Mpanzu false 9 na Chilambo kuwa ana invert kwenye midfield kuficha madhaifu ya Neo kwenye kuzuia na Mligo as defensive full back ! ni level ya juu kabisa ya coaching and tactics 🙌🙌🙌🙌🙌
8
31
1
417
14,422
Kelvin Nyanja retweeted
#DearNyerere Mwanza kuna mtaa wa Nyerere, ukasema hilo ni jina la baba yako. Mamlaka ya jiji la DSM wakataka kutoa sanamu ya askari Posta waweke yako, ukakataa. Zaidi ukasisitiza usiitwe Dr.Nyerere wala ”his excellency” bali uitwe Mwalimu, daima haukupenda ukuu wala kujikweza.
9
32
1
537
7,605
Kelvin Nyanja retweeted
#DearNyerere Utelezi unasababisha vijana wauane.
8
4
25
978
Kelvin Nyanja retweeted
Hili jua linavyotandika siku ikishuka mvua haitakua ya buku jero, itaanzia kwenye laki na kuendelea. 🙌🏾
2
7
2
50
2,548
Kelvin Nyanja retweeted
Kwa hali ilivyo ukiwa unamkopesha mtu hela yako mkumbatie mara ya mwisho maana hutamuona tena wala hatapokea simu zako tena.😂
6
15
1
51
812
Hivi kuna shida gani siku hizi hawa watoto kula yaani unakuta hadi miaka 7 bado kula ni tatizo mpaka unakuta wanafanyiwa spoon feeding! Enzi za zamani mzigo ukiweka hapo ni gombania goli tena kama pilau au wali dakika watoto wamesambaratisha!
2
58
Bado mweupe sana kwenye matembezi, jitahidi ufike manyara yote yaani Babati, hanang, katesh, dareda, bereko😊 Kisha pitia kondoa kidogo ...teremka chaka tu Chaka mpaka singida nenda igunga tokea tabora mjini...pita nyoosha kalia urambo, kasulu katokezee manyovu au buhigwe urudi,
Tanga ndio mkoa unao ongoza kwa wanawake wazuri duniani.😍 Anyway kabla hujaoa hakikisha unafika kwanza Tanga.🤭
22
5
1
79
6,970
Leo kwa kweli Mhindi anapunaaa tu
48
Kelvin Nyanja retweeted
Mpaka sasa kwa namna nimeziangalia timu za Epl ukitaka ubingwa inabidi uziombe ruhusa timu tano Brighton Brentford Sunderland Hull city Fc Bournemouth Hawa wajinga kazi yao ni moja tu kama wametumwa
24
30
2
514
11,695
Kelvin Nyanja retweeted
Kuna Aubameyang na Lukaku, hawa mawakala wao wanakula hela kihalali sana,. kila msimu wahuni wamevaa jezi nyingine😂🔥..
41
55
4
1,116
23,212
Kibra bana ana nafasi yake kwenye huu mziki basi tu
73
Ila mabeat ya kutoka Bongo Record ni makali sana
1
91
Ila Baba Level lina mizuka 😄😄😄😄
213