
KazimotoINC | IT Technician | Husband & Dad | Baba Michelle | Perescope @Kazimotoinc | #ElimikaWikiendi |#Ajalisasabasi | #NeverMissaMoment
Dar es salaam
Joined July 2012
- Tweets112K
- Following511
- Followers19.1K
- Likes21.1K
Pinned Tweet
Matapeli mara nyingi wanakuwaga more intelligent zaidi yako wewe victim na mara nyingi madali ndo wanapigwa sana sababu kichwani kunakuwa kumejaa ganji mlima 😅
Mimi niliwahi kutapeliwa iphone 5s enzi hzo zinauzwa 1m mi nauza 1.15m nimeweka zangu ganji laki unusu 😅😅
アボット Kazimoto retweeted
🎓 Mwanachuo, wekeza mapema, jenga kesho yako bora! 💰
Jiunge na Smart Invest kupitia Scholar account changamkia fursa weka malengo kamilisha
#LetsKonekt
アボット Kazimoto retweeted
Mwezi huu #BajabirLogistics imetimiza miaka 6 kwenye game ya usafirishaji.
Tulianza kusafirisha parcels kama Bahasha, na sasa tumefika hatua ya kusafirisha mzigo wa tani 32.
Asanteni wateja wetu kwa kutuamini....kiu yetu ni kuwa wawekezaji kwenye Klabu ya SIMBA
#BajabirAt6
アボット Kazimoto retweeted
Every time I watch this short movie, I find myself writing something about it. Some stories touch your heart so deeply that words come naturally, no matter how many times you watch them.
Everyone should watch this movie at least once. ❤️
アボット Kazimoto retweeted
Kama kuna siku ilibidi Watanzania tujipigie makofi kuwa tunaelekea right direction basi ni leo.
Tukio ambalo limepewa nguvu zooote na serikali haram, limepewa pesa zoote na serikali haram ila tukio limeshindwa kukusanya hata wananchi elfu 10 kati ya milioni 70 basi jua ukombozi unakuja na wananchi hawataki kujishughulisha na upuuzi.
if anything tukio la leo ndio linatakiwa kuwapa moyo wanaharakati
Kipindi cha nyuma nawahakikishia Dar nzima ingeenda kwenye hilo tukio sababu haya ni mambo Watz wanapenda ila wameweza kuji control, walienda machawa ambao hata elfu 6 hawafiki.
Investment iliyofanyika kwa tukio hili na serikali harama then wakakosekana hata Watanzania elfu 10 kukubali kuuziwa ujinga basi mjue UKOMBOZI UNAKUJA…..
Seriously, personally leo nimepata moyo zaidi kuwapigania Watanzania na nimeamini kuwa CCm wanatumia mabot kwenye mitandao maana nguvu iliyotumika kupigia kura huu upuuzi mtandaoni alafu kuja live wameonekana Watanzania elfu 5 tu, hii ni ishara nchi imeamkaaaaaaa……
Seriously kutokana na kampeni iliyofanyika kati ya serikali ya wauaji na machawa wao wenye platform kubwa nilidhani leo labda hata Watanzania Elfu 50 wangeitikia huu upumbavu ila kumbe nilikuwa nawa underestimate Watanzania.
Mnisamehe Watanzania mna akili kama mchwa.. Hao Elfu 5 walioitikia huu upumbavu sisi milioni 70 tumewasamehe na tuendelee kuwapa elimu ili nao waamkae.
Leo nna siku nzuri mnooo….
アボット Kazimoto retweeted
Heshima yako kaka John.
Naitwa Nyantori ni mwana CCM.
Ulikuja Serengeti sikuwa na hela ila naomba nitakutumia elf 25 uje uifikishe kwa mheshimiwa Lissu siku anasomewa hukumu atakunywa hata maji.
Hatuna hela ila tuna upendo na tunathamini mchango wake.
Damu yake
iliyomwagika pale AREA D DODOMA, itaabaki kuwa ukombozi wa taifa hili.
Mwambie tuna muombea sana.
アボット Kazimoto retweeted
Mnisaidie, Kijijini kwetu tulizaliwa tukakuta wazee wanakunywa Rubisi na enkonyagi (embandure) mpaka Leo wengi wamekufa kwa miaka yao ila sio ensigo (Figo). Ni vinywaji vya mjini ndivyo vinakata figo ama kuna kingine in terms of chemical composition
This post is from an account that no longer exists. Learn more
アボット Kazimoto retweeted
Kimama kimeshauriwa sana amwachie Lissu
Juzi kwenye “no case to answer” aliambiwa wangetumia mwanya ule ionekane kuna uhuru wa mahakama na Lissu ataachiwa
KAGOMA!
Anataka amnyenyekee na atoe msamaha!
Lissu anafahamu yote na kasema “No Way” na amesema walipomfuata usiku na mchana mahakamani!
That is why Tundu Lissu is so deserving of as many global awards as possible
Msimamo huu ni wa kiongozi wa jamii si ya mwanasiasa anayetafuta dili aonje matunda ya mamlaka
Narudia: we do not appreciate enough Tundu Lissu
Mi nitaendelea kumpa moyo ili abaki na msimamo huu na amwepushe na opportunists
#FreeTunduLissu
アボット Kazimoto retweeted
Leo baada ya kesi kuhairishwa, nimemuomba Mwenyekiti @TunduALissu atupe ujumbe wa siku. Kwa kuzingatia leo ni siku ya demokrasia, Tundu Lissu ametoa wito kwa Watanzania – “Demokrasia haidondoki kutoka mbinguni; inapiganiwa na ina gharama zake. Ukitaka demokrasia, lazima uwe tayari kulipa bei inayotakiwa na historia.” #FreeTunduLissu
アボット Kazimoto retweeted
Mwenyezi Mungu, nisaidie kukuamini hata pale ninapoona mambo hayawezekani.
Nijalie nguvu nisikate tamaa kwa sababu ya kuchelewa au vikwazo.Kama kuna kusudi uliloweka juu ya maisha yangu,niongoze kulifikia kwa wakati wako. Nifundishe kutegemea uwezo wako kuliko uwezo wangu.
Amina.
アボット Kazimoto retweeted
Naomba sasa focus iwe kuhusu jinsi ya ku deal na kesi ya Lissu na kukataa uovu wa CCM mengine baadae, wanaoleta Habari wanavuruga umoja ili tusi concentrate! Ukiona kwenye hali kama hii ya sasa, mtu hata Kama unaaminika sana unapewa Habari unairusha unakuwa unatumika bila kujua
アボット Kazimoto retweeted
Hesabu 6:24–26
“Bwana akubariki, akulinde;
Bwana akuangazie uso wake, akufadhili;
Bwana akuinulie uso wake, akupe amani.”
アボット Kazimoto retweeted
Siku nyingine ya kuwapa MAUA Wazee wetu, in no particular order:
Mzee Sinde Warioba.
Mzee Issa Shivji.
Mama Anna Tibaijuka.
Mzee Charles Kitima.
Mzee Jenerali Ulimwengu.
Mama Rosemary Mwakitwange.
Orodha ni ndefu, lakini, fahamuni, WE LOVE You All!
アボット Kazimoto retweeted
Prof Tibaijuka aliniambia tuna kazi ngumu kuliko ya Mwl Nyerere.
Nyerere alipambana na wakoloni kwanza walikua wanafuata sheria.
Lakini hawa wakoloni weusi hawafuati sheria.
Wakaloni walikua hawatoi rushwa.
Wakoloni weusi wanahonga kila mtu.
Ukweli ni kwamba tutawashinda hata wakitumia nguvu gani.
アボット Kazimoto retweeted
imagine una report website ya serikali kutokua hewani..... since morning masaa 13 yanapita jamaa wanashindwa restore
mwauwasa.go.tz/
@mwauwasatz
アボット Kazimoto retweeted
Ukisikia story za Wazee ambao wamewahi kuacha familia walizoanzisha na kwenda kuanza maisha mapya, probably built a better family kuliko ya Mwanzo, hii ni ishara unaweza kuanza tena, unaweza kujisahihisha, unaweza ku win tena after a couple of loses.
USIOGOPE.
アボット Kazimoto retweeted
Ewe Mwenyezi Mungu, Tangulia mbele yangu leo,bariki kazi ya mikono yangu, nilinde na mabaya, na uniongoze katika mapenzi yako.
Nipe neema ya kuwa bora kuliko nilivyokuwa jana.
Katika jina la Yesu Kristo, Amina. 🙏🏾


























