Oscar Jr (@JustinOscarJr) header
Oscar Jr (@JustinOscarJr) profile picture

Salesman||Operator||Bus Conductor

Mtwara, Tanzania
Joined March 2018
Photo by Oscar Jr (@JustinOscarJr)Photo by Oscar Jr (@JustinOscarJr)Photo by Oscar Jr (@JustinOscarJr)Photo by Oscar Jr (@JustinOscarJr)Photo by Oscar Jr (@JustinOscarJr)Photo by Oscar Jr (@JustinOscarJr)Photo by Oscar Jr (@JustinOscarJr)Photo by Oscar Jr (@JustinOscarJr)Photo by Oscar Jr (@JustinOscarJr)Photo by Oscar Jr (@JustinOscarJr)
Mbagara Rangi Tatu
44
52
8
971
82,482
"Unakimbia kusoma unasema bora nikabebe zegeee...unakutana na wabeba zege kwenda gorofani ni magari sio watu tena 🤣🤣🤣" Mnazi
33
63
2
960
40,879
#TheTraveller Tunakutakia HERI YA PASAKA 🙏🏻 Kumbuka kwa safari za Dar Mtwara, Dar Lindi nivutie waya kwenye 0756084459/0621877523 Graphics by @Canmaster_Oog
1
3
1
22
801
📷 @JustinOscarJr Mega Umeme lao #EstamosJuntos
1
2
29
901
Hi ruti ya Karagwe || Dar-es-Salaam abiria unashauriwa kubeba mswaki na dawa ya meno, maji utapatiwa ndani ya gari kumbuka maji hayo sio ya kunywa na kwaajili ya usafi wa kinywa na uso wako. #CityBoyExpress
8
5
77
4,184
⬜ Kusini Kuchele Chuma ya kazi Mahuta Express safari ya Dar es Salaam, Newala hadi Mahuta. NB : Mahuta ipo mkoa gani? 💺 Kata tiketi popote na Busbora busbora.co.tz App 🌐 onelink.to/busbora #MahutaExpress #busworldtanzania 📸 @JustinOscarJr #SafariInaendelea
1
1
3
148
⬜ Zhongtong Climber DRN kitunze kudumu inawakilisha Frester Roadways 🥇BUSBORA mtoa huduma Bora na Salama mifumo ya tiketi mtandao 2024/2025 busbora.co.tz App 🌐 onelink.to/busbora 📸 @JustinOscarJr #busworldtanzania
3
6
187
Upande wa Lawama #TahmeedExpress
13
6
1
104
6,780
#Chief Mwanza || Bukoba @JustinOscarJr 📸
1
4
51
909
D14 Za Masasi
4
15
607
Karagwe kupata namba ya NIDA ni kipengele, Unaweza kuwa umejiandikisha na umepeleka vielelezo vyote changamoto kabla upewe namba unaagizwa uhamiaji ili uwe verified uhamiaji wanakwambia kalete Baba mkubwa/ Mama mdogo na ndugu wa ukoo Unawakuta kayanga wamebebana familia nzima 😆
26
15
4
324
20,874
Heri Ya Mwaka Mpya👋
1
4
22
915
Nampula & Mueda - Dar Via Lindi 📍Masasi Town King Masai Tours 📸 @JustinOscarJr
1
3
300
#Warda'sExpress @JustinOscarJr 📸
1
3
29
1,423
My fellow Tanzanians mnaotukejeli, kutudhihaki, kutubeza na kutukebehi sisi tunaopambania haya mabadiliko!! Plus wote mnaotaka kutuua, kutupiga, kututeka, kututesa na kutufunga sisi tunaopigania haya manadiliko!! MNAKOSEA SANA MNAKOSEA MNO!! Mnaweza msione umuhimu wa haya tunayoyapigania leo kwa sababu ya nafasi mlizoko sasa……..!! Siku moja mtaona umuhimu wake na itakuwa too late…..mtatamani mngetuunga mkono!!!
244
519
7
2,826
145,990
Kuna Washkaji wengi tu kwa ground wanapotezwa na hawana Watu wa kuwapazia sauti. Dogo anaitwa Ogunya Marwa alitekwa mwezi wa nne alikuwa anatema nondo sana pale TikTok pia alikuwa mwana Chuo wa MUST Mbeya.😥
44
423
8
2,200
43,080
Ajali imetokea pipeline mbeya ajali mbaya sana dereva yupo hosptalin sasa walikuwa wanatafuta wausika wa gari hii hapa 🔽 04|11|2025
4
3
23
1,894
Serikali ya Ghana kupitia Wizara ya Mambo ya Nje katika taarifa kwa umma Disemba 03, 2025 imekemea mauaji ya raia yaliyofanywa na vikosi vya ulinzi vya Serikali ya Tanzania dhidi ya raia Oktoba 29, 2025. Serikali ya Ghana imeeleza masikitiko yake makubwa kwa vifo vya raia wasiokuwa na hatia na imetoa salamu za rambirambi kwa familia zote zilizoathiriwa kwa mauaji hayo ya kutisha siku na baada ya uchaguzi. Serikali ya Ghana katika taarifa yake, imesisitiza mamlaka, vyama vya siasa, jamii ya kiraia, waandamanaji, vikosi vya usalama kuheshimu sheria, demokrasia, utawala bora kulinda nafasi ya haki za raia Ghana imeunga mkono wito wa Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa (UN), kuundwa kwa tume huru ya kufanya uchunguzi, haki na usio na upendeleo kuhusu vurugu za baada ya uchaguzi. “kama mwanachama wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa na mshirika anayejali amani na haki za binadamu Duniani, tunaunga mkono kauli na wito wa Umoja wa Afrika (AU), Jumuiya ya Madola na (Commonwealth) na Umoja wa Mataifa (UN)” #hatuwezikusahau #wewillnotforget
17
223
1
1,219
39,552
Enyi mlioamini! Toeni katika vizuri mlivyovichuma na katika vile tulivyowatolea kuto- ka ardhini 𝗔𝗟𝗟 𝗔𝗕𝗢𝗨𝗧 𝗖𝗛𝗔𝗥𝗜𝗧𝗬😍😍𝗧𝗔𝗕𝗢𝗥𝗔 – at Tanzania
9
2
56
5,282
Tunaomba endapo wakipata Changamoto wakiwa kwenye majukumu yao ya Kazi..na Sisi Watu wa Makampuni tuwajali..sio kwenye Promo tu.. Hata kwenye Majanga..hii iwafikie Wakurungezi Wote wa Mabasi hapa Nchini.
2
3
34
1,527