
Radio Junkie || Music || Football || @simbasctanzania & @LFC supporters #YNWA
Morogoro, Tanzania
Joined May 2012
- Tweets28.3K
- Following2.1K
- Followers30K
- Likes4.1K
Joshua🇹🇿 retweeted
Hakuna watu waliokuwa watuma salamu maredioni kama hawa
Mtoto wa Vitoto
Baba Nurat mfuga njiwa
Daudi wa kota
Fadhili Kangusi
Waziri Dero
Mkali Buntu
Eliud Samwel
Hamiss Full Migebuka
Riziki minde wa Kwata Unit
Chesko Mzee wa Matunda
Sharo Gangster
Joshua Turuka
Joshua🇹🇿 retweeted
Nitakuwa WAKALA wa KURA za USHINDI za Mheshimiwa TUNDU LISSU Leo. So it will be fine!
Joshua🇹🇿 retweeted
Nimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la Uongozi wa Chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele Chama chetu.
Joshua🇹🇿 retweeted
Ulikuwa wakati mzuri Jumanne hii kuketi na Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Tz Bara ambaye pia ni Waziri Mkuu Kivuli, tumekuwa na MJADALA kuhusu njia bora za kuinua Uchumi wa Mtanzania mmoja mmoja.
Kutazama zaidi mazungumzo yetu hapa bofya Link hapa youtube.com/live/e11Tn3a9eLY…
Joshua🇹🇿 retweeted
Kwa mara ya kwanza ☝️
Vigogo wa Kariakoo @SimbaSCTanzania na @YoungAfricansSC wanafuzu hatua ya robo fainali ya #TotalEnergiesCAFCL kwa pamoja 🤝🇹🇿
Nyie watani wa jadi, mmepigaje hapo? 🤩
Joshua🇹🇿 retweeted
Replying to @INFLUENCERjr
Obby The Teng
Riziki Minde
Joshua Turuka
Lilian Crispin
Rama Ngozi
Joshua Turuka
,,, kwa Buruda
Shangwe Dereva Bajaji
Athuman Kitwara
Latiph Ibrahim
John kasanula
Jerryson Kiria
Simon Machibya
Shaban Musoma Boi
Rais wa Mlalakuwa
Daudi wakota
Malle Platnumz
Niishie hapo😂
Joshua🇹🇿 retweeted
Zamani ilikuwa hauwezi kuskiliza radio bila kuskia haya majina
Daudi wa Kota
Ummy Kitwana
Rama ngozi wa dodoma
Joseph Turuka
Richie Mnene
Sharo Gang'star
Malley Platinumz
Ongeza nilio wasahau 😂😂😂
Joshua🇹🇿 retweeted
Treni jipya🙋🏾
Tuna safari Fupi, inaanza Leo tunafika Jumamosi saa 4:30 usiku (10:30pm)
Uhakika 98%✅
RT zifike 200 niachie Code ili ifike kwa wawekezaji Wengi✍️
#TutajirikeWote
Joshua🇹🇿 retweeted
Today, @AlAhlyEnglish the representative club of my nation 🇪🇬in the CAFCL and @SimbaSCTanzania my favourite team in my second country 🇹🇿, defeated the two poles of Moroccan football. Happy day that turned North and East Africa into red!
#TotalEnergiesCAFCL
#YallaYaAhly
#NguvuMoja
Joshua🇹🇿 retweeted
KUMEKUCHA: msitupangie chakupost.tunaendeleza tulipoishia Jana✋
#kaziiendelee
Joshua🇹🇿 retweeted
The difference between the CAF Champions League and the Confederation Cup was summed up in 90 minutes. Thank you, @SimbaSCTanzania, for constantly exceeding your fans' expectations.
#NguvuMoja – at Makkah Al Mukarrama, Kingdom of Saudi Arabia
Joshua🇹🇿 retweeted
#KariakooDerby ?!
Both teams have a chance to win, but if @SimbaSCTanzania performs at the same level as in Champions League games, Dar will be RED 👹today.
#NguvuMoja – at Makkah Al Mukarrama, Kingdom of Saudi Arabia
Joshua🇹🇿 retweeted
Replying to @SuluhuSamia
Asante sana Mhe. Rais @SuluhuSamia. Tunakuahidi ushindi mkubwa zaidi kwenye michezo iliyo mbele yetu ukiwepo wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Wydad Athletic Club. #WenyeNchi #NguvuMoja
Joshua🇹🇿 retweeted
Hongereni Simba kwa ushindi wenu dhidi ya Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Upinzani wenu wa jadi uwanjani ni burudani inayowaleta pamoja mamilioni ya Watanzania katika kila kona ya nchi yetu, kwa namna ya kipekee. #KariakooDerby
Joshua🇹🇿 retweeted
📢 Teams qualified for #2023TwitterWorldCup quarter-finals:
🇹🇿 @SimbaSCTanzania
🇦🇷 @RiverPlate
🇧🇷 @Atletico
🇮🇳 @RCBTweets
🇹🇷 @Fenerbahce
🇮🇳 @KeralaBlasters
🇧🇷 @Cruzeiro
🇧🇷 @VascodaGama
Joshua🇹🇿 retweeted
⏱️ FULL-TIME!
🇹🇿 @SimbaSCTanzania 7-0 @HACofficiel 🇬🇳
A HUGE score for the Tanzanian giants! 🔥
#TotalEnergiesCAFCL | #SSCHAC
Joshua🇹🇿 retweeted
𝗧𝗢 𝗧𝗛𝗘 𝗙𝗜𝗡𝗔𝗟 𝗘𝗜𝗚𝗛𝗧 ✅
🇹🇿 Tanzanian giants @SimbaSCTanzania are off to the 2022/23 #TotalEnergiesCAFCL knockouts! 🔥
Joshua🇹🇿 retweeted
Kongole @SimbaSCTanzania kwa ushindi wa 1-0 (ushindi wa jumla 4-1) mlioupata dhidi ya timu ya Primeiro De Agosto ya Angola na hivyo kufanikiwa kuingia hatua ya makundi ya klabu bingwa Barani Afrika. Nawatakia kila kheri katika michuano inayofuata.



























