6brand (@Josefly6) header
6brand (@Josefly6) profile picture

politicians

Frankfurt on the Main, Germany
Joined February 2020
Photo by 6brand (@Josefly6)Photo by 6brand (@Josefly6)Photo by 6brand (@Josefly6)Photo by 6brand (@Josefly6)Photo by 6brand (@Josefly6)Photo by 6brand (@Josefly6)Photo by 6brand (@Josefly6)Photo by 6brand (@Josefly6)Photo by 6brand (@Josefly6)Photo by 6brand (@Josefly6)
siku tanzania ikabdilisha mfumo wa kupata viongozi, alaf mahakama ikawa huru, mkapata katiba mpya, nchi ya ahadi itaanzia hapo hapo! ila kama bado mtakuwa mnawatoa watu kwenye mitaro ya maji machafu na kuwapa utukufu mtaendelea kuseka mpk kizaz cha mwisho
2
2
7
485
6brand retweeted
BREAKING: Another mutiny! It seems Ugandans are leaving the army to them. Something must be boiling inside. We hope it accelerates the liberation even faster.
13
31
2
273
25,897
We are Men. We mature by damage not by age.
7
160
3
601
33,088
1
10
22
2,762
Siku yaja, nyie ndio mtatuma nauli na sisi hatutakuja vile vile๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”.. Maandiko yanaeleza ... #elimikaweekend
11
16
44
1,609
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”๐Ÿ’” elimu elimu elimu lowasa hakukosea kusema elimu ndio kila kitu
Ukienda msibani usinawe mikono pale kwenye foleni, linda nyota yako Ukienda msibani usinawe mikono pale kwenye foleni, linda nyota yako Ukienda msibani usinawe mikono pale kwenye foleni, linda nyota yako Tumia maji yako, jinawishe mwenyewe na mwaga maji uliyonawia
1
1
29
Hakuna wa kuja kutuokoa Si Lissu, si Mange, si mimi si mwanaharakati yoyote! Si Marekani, EU, nchi yoyote Si UN, ICC ama shirika yoyote You get the government you deserve! Ukikubali kudharauliwa, kukandamizwa na kikundi kidogo na kuogopa kuRESIST - basi utaishi ktk dhulma Ndo ukweli mchungu #TutaelewanaTu
24
183
6
715
32,911
6brand retweeted
Replying to @mangekimambi
The List ๐Ÿ‘‡
2
3
28
2,471
DEO NDEJEBI ndio Plan B ya Samia Suluhu na Jakaya Kikweteโ€ฆโ€ฆ Tusiite Afcon, tuiite AFCON YA WAUWAJI na wa Africa wenzetu wanaopanga kuja Tz tuwaambie wanakuja kusapoti mauaji ya Waafrica wenzao kupitia sports washing
Wauwaji wanataka kupitisha katiba iliyopendekezwa na CCM 2015 kwenye ile tume ya katiba mpyaโ€ฆโ€ฆ. Samia, Kikwete, Wambura, Mombo na Haji Othman (Chief of staff jeshi la wananchi) wanataka kujimilikisha nchi for the next 15 years.
28
235
6
1,154
49,979
si waliwakamata wakawaachia wakasema walifuata mkumbo? ๐Ÿ˜‚ sasa wanachunguza nini๐Ÿ˜‚
"TUME NYINGINE INAUNDWA KWA AJILI KUCHUNGUZA WALE WALIOVUNJA SHERIA WAKATI ULE WA OCT 29โ€
17
kwamba hakusema sisi tunamamlaka makubwa tunaweza kufanya kosa tukakupa ww hilo ambalo hujafanya? alafu skuiz umekuaje kuwaje mzee๐Ÿ’”
#TajiriLaKihaya Ila Media na hizi Caption bhana ๐Ÿ˜…๐Ÿคฃ Yaani Caption na Alichokisema Afandeโ€ฆ ni Mbingu na Ardhi! Hivi ndio Press ya Lemma ilikua inanukuliwa vibaya ๐Ÿ’”๐Ÿ’”
1
27
mpk michosho
Jamii inataka mtoto wa kiume awe good husband and father, hapo hapo inataka awe a good son to his parents, bado madogo wanataka uwe the good brother, ndugu wanakutolea macho, boss nae anataka u deliver kazi, bado uwe good kitandani, aloo ๐Ÿ˜†
20
Jamii inataka mtoto wa kiume awe good husband and father, hapo hapo inataka awe a good son to his parents, bado madogo wanataka uwe the good brother, ndugu wanakutolea macho, boss nae anataka u deliver kazi, bado uwe good kitandani, aloo ๐Ÿ˜†
1
6
1
38
1,090
ukweli mweupe pamoja na yote kuhusu elimu ya tanzania ni iko kiwango cha chini vby mno ndio maana mpk mjinga anaidharau ๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”๐Ÿ’”
Huku nje kuna vita kubwa sana kati wasomi na wasio wasomi ambao either waliacha masomo ili watafute hela au hawakuwa na akili kabisa darasani. usiombe ukutane nae ambae ameshatoboa kabisa kiuchumi, hawa jamaa wana roho mbaya mno, wanawafanya wasomi kama watumwa inasikitisha sana.
38
Watanzania wote tumemwangusha mtoto Angel. Wanaharakati pia tumemwangusha mtoto Angelโ€ฆโ€ฆ. KIFO CHA MTOTO ANGEL KIPO JUU YETU SISI WANANCHiโ€ฆ.. Tuanze kampeni ya kuwaomba Wa Africa wenzetu wasusie Afcon upande wa Tanzania ili kutuunga mkono kwenyw kudai hakiโ€ฆ.. Lazma tuwe na Plan A, Plan B na Plan C juu ya AFCON. Tusiweke mategemeo yetu yote kwenye maandamano tu, lazma tuwe na strategies tofauti ili kuhakikisha Watanzania wanafanikiwa kuitumia Afcon ili kuwaanika Samia Suluhu, Jakaya Kikwete na ushetani waliowafanyia Watanzania. Na pia tuanze kuelemishana mitaani kuwa tunasusia Afcon na kujipanga na maandamano. Afcon lazma itumike kuonyesha dunia mauaji ya October 29โ€ฆโ€ฆ
24
181
3
987
89,864
hii twitter ambayo watu wanasifiwa wana aakili ndio hii hii inayojadili burudani na bifu za wale watoto au kuna nyingine??๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”๐Ÿ’”๐Ÿ’”
46
โ€ผ๏ธ๐Ÿšจ Gaidi Mwandamizi Namba 101 Mtanganyika - Jaji Shaban Ally Lilaโ€ผ๏ธ Tunamleta kwenu Gaidi Shaban Ally Lila (Mtanganyika) ambaye ni Jaji na Mwenyekiti wa tume HARAMU iliyoundwa na Gaidi Kiongozi Samia Suluhu Hassan mnamo Mei 2026. Gaidi Lila amezaliwa mwaka 1960.โ€จIkumbukwe kwamba raia wa Tanganyika wapatao 10,000 wasio na hatia waliuliwa kabla, wakati na baada ya Oktoba 2025. Mauaji haya yamefanywa na familia katili kutoka Zanzibar ya Gaidi Mkuu Samia Suluhu Hassan kwa kushirikiana na familia yake Gaidi Shaban Ally Lila anatuhumiwa pamoja na ukatili mwingine wa kisheria ambao amekuwa anaufanya, ana tuhuma za kupokea rushwa kutoka kwa wafanyabiashara wa dawa za kulevya alipokuwa kwenye majukumu katika mahakama za Tanzania. Tuhuma hizi zilizoletwa kwetu na wazalendo ndani ya vyombo hazijawahi kukanushwa wala kupingwa. Hivyo uteuzi wake kuongoza tume haramu ya kuinajisi Tanganyika na watu wake unatokana na uzoefu wake wa kupindisha sheria na taratibu kwa malipo ya fedha. Kwa sasa Gaidi Shaban Ally Lila anaendelea na kazi ya kuchunguza chanzo, wahusika, na waliopanga au kufadhili matukio ya ghasia, vifo na uvunjifu wa amani. Kazi yake kubwa sasa hivi ni kukusanya kila takataka ya taarifa ili atimize lengo la kuwaumiza Watanganyika kwa kesi FEKI za uhaini na ugaidi. Kazi kubwa anayoikamilisha ni kuhakikisha baadhi ya viongozi wa CCM wasiopendwa na Gaidi Kiongozi Samia na familia yake, wanaharakati, wanasiasa hasa wa chama kikuu cha siasa Chadema, viongozi wa dini hasa TEC na baadhi ya KKKT ambao wanasimamia HAKI wanafunguliwa mashitaka ili kuzima harakati zote za kuikomboa Tanganyika dhidi ya uvamizi wa magaidi kutoka Zanzibar. Ndugu Mtangayika, simama kutetea nchi yako. Tafadhali toa taarifa popote pale utakapomuona au kupata taarifa za Gaidi Shaban Ally Lila. Kutoa kwako taarifa ikiambatana na picha au sauti itasaidia kuweka kumbukumbu zitakazowezesha kuchukuliwa hatua zaidi za kisheria. Tusiogope! Tutashinda! A luta continua, vitรณria รฉ certa! Mapambano yanaendelea, ushindi ni hakika! #FreeTunduLissu #KatibaMpya #SamiaMustGo
5
89
2
270
12,808
Siku chadema wakifanya maridhino a wauwaji ndio mwisho wa chadema dunia hii So maridhiano ni ya wananchi sio chadema #freeTunduLisuu
1
24
170
2,022
Elimu Elimu Elimu
Jamani Tusomeeeni tusome jamani!
1
52
6brand retweeted
Tenga dakika zako 9 MSIKILIZE BONGO ZOZO. Repost 200
35
614
6
2,401
74,254