Pinned Tweet
Nimewaza kwanini TRA wasianzishe mfumo ambao kila mtanzania akiwa na rist ya efd yenye details zake ana upload huko kisha ikifika mwisho wa mwaka anapewa gawio ata la asilimia 5,10 au 15%
Naona hii itasaidia sana watu kulipa kodi kwa kiasi kikubwa akijua atapata kiasi flani.
Rogath jr retweeted
Naitwa Mkali wade kutokea Mabatini Mwanza ningependa kuwatakia wakamaria wote mikeka mema ya ushindi jioni ya leo.
Natuma salamu zangu kwa dhati kwa bibi yako wewe unaesoma ujumbe huu salamu ya pili imfikie shemeji yangu Aliepo mbarali salamu ya tatu iwafikie wakali wote hapa X.
Rogath jr retweeted
Stefano wa Kwadosa, Mlandizi naitakia klabu ya Nottingham Forest matokeo yoyote chanya dhidi ya Arsenal leo.
Rogath jr retweeted
Kijiweni ✂️
Mwanangu @og_outfits
Ahsante kwa kuja familia
Kwa huduma ya kunyoa 📞 0623024682
Rogath jr retweeted
Wakuu huhitaji tena kuwa na stress ya kutafuta Mama Fua ama mtu wa kukufanyia usafi kila weekend 🙌🏽🧺
Kupitia Kazzzi App, chagua package ya kufua na kufanyiwa usafi nyumbani kwako kwa urahisi!
👉🏽 Chagua package yako sasa hapa fasta,salama na uhakika.
kazzzi.com/go/x-socials-x
Rogath jr retweeted
Stefano wa Nyakato, Mwanza naitakia klabu ya Everton matokeo yoyote chanya leo dhidi ya Chelsea.
Rogath jr retweeted
Watu wanasema mapenzi matamu, hivi unafahamu ladha ya castle lite ya Bariiiiiidi 🙌✨😁
Nifanye tu niywe bia za kistaarabu maana hapa naona kabisa kwa hii speed sitoboi mpaka saa 6 usiku wakali
Rogath jr retweeted
PLEASE LIKE, QUOTE & RETWEET🙏
Upo Tanzania na unahitajia huduma hizi?
1.Kupimiwa eneo lako?
2.Kuandaliwa ramani za majengo, na makadirio ya gharama za ujenzi(B.O.Q)
3.Una hati umefatilia kwa muda mrefu haitoki?
4.Una jengo unataka kujenga kwa viwango vya kisasa na kwa uhakika?
Kuna kampuni hii @Geo_Traverse @GeoConstructors Imekusanya Surveyors, Architechs, Valuers na Engineers, wanakupatia huduma zote hizi ndani ya kituo kimoja kwa gharama nafuu sana.
Tunapatikana: Dodoma, barabara ya Tisa au kwa whatsapp number 0719 336 667, 0763 782 274.
A one stop solution, for all your Land and Construction issues.































