Mahmud Jaffer (@JafferMahmud) profile picture

Farmer| Enterprenuer | Mr No Body Knowledge is the key of simplicity| Public Relation Officer

Mwanza
Joined August 2021
Photo by Mahmud Jaffer (@JafferMahmud)Photo by Mahmud Jaffer (@JafferMahmud)Photo by Mahmud Jaffer (@JafferMahmud)Photo by Mahmud Jaffer (@JafferMahmud)Photo by Mahmud Jaffer (@JafferMahmud)Photo by Mahmud Jaffer (@JafferMahmud)Photo by Mahmud Jaffer (@JafferMahmud)Photo by Mahmud Jaffer (@JafferMahmud)Photo by Mahmud Jaffer (@JafferMahmud)Photo by Mahmud Jaffer (@JafferMahmud)
πŸ“ Dodoma | Novemba 4, 2025 Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imeteua wagombea wa nafasi za Spika na Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, na nafasi za Spika na Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
2
14
18
972
Mahmud Jaffer retweeted
TANNNNNZZAAANNIAAAAA! πŸ‡ΉπŸ‡Ώβ€οΈ Watu wangu wamerudi tena! Nimewakosa sana. πŸ₯² - TANNNNNZZAAANNIAAAAA! πŸ‡ΉπŸ‡Ώβ€οΈ My people are finally back! Missed you all so much. πŸ₯² #Tanzania
193
158
16
2,621
124,522
Mahmud Jaffer retweeted
295
21
34
644
141,412
β€œMaandamano, vurugu, uvunjifu wa amani husababisha maumivu na havileti manufaa wala faida kwa yeyote yule. Niwasihi Watanzania tuchague hekima badala ya ghadhabu, busara badala ya mihemko, upendo badala ya chuki, uvumilivu badala ya vinyongo, umoja badala ya mgawanyiko na amani badala ya virugu.” - Mheshimwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan
2
19
1
20
614
Huu ubaya ubwela Season 2 ni weka mbali na watoto πŸ”₯ #UbayaUbwela #NguvuMoja
100
24
14
485
20,443
Zana za kazi. Tayari kwa kazi.
6
14
31
1,970
Mahmud Jaffer retweeted
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango akishiriki zoezi la kupiga kura ya kuchagua Rais, Mbunge na Diwani akiwa katika Kijiji cha Kasumo, Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma. Leo Tunatiki Samia
1
1
69
Mahmud Jaffer retweeted
Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akishiriki zoezi la kupiga kura ya kumchagua Rais, Mbunge na Diwani jijini Dodoma leo.
1
1
49
Mahmud Jaffer retweeted
Picha mbalimbali zikionesha watu wakiwa wameendelea kujitokeza kwa wingi katika kituo Cha Hima kata ya Mlangali wilaya ya Ludewa Mkoa wa Njombe katika zoezi la Kupiga kura.
1
1
33
Mahmud Jaffer retweeted
Wananchi wakiwa wamejitokeza kupiga kura katika kituo cha Idofi, Kata ya Idofi, Mjini Makambako mkoani Njombe leo Oktoba 29,2025.
1
1
46
Mahmud Jaffer retweeted
Sehemu ya vituo vya Idete na Mufindi Kusini mkoani Iringa. Wananchi wamefurika kupiga kura.
1
1
27
Mahmud Jaffer retweeted
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Union for Multiparty Democracy (UMD), Mwajuma Noty Mirambo aridhishwa na utaratibu wa upiga kura.
1
3
116
Mahmud Jaffer retweeted
Kuongoza ni kuonyesha njia.
24
2
8
1,096
Mahmud Jaffer retweeted
Tanzania inakuhitaji leo kwenye sanduku la kura.
13
23
15
8
2,776
Mahmud Jaffer retweeted
Haki haiji bila wajibu. Wajibu wako ni kupiga kura leo.
1
28
2
9
1,656
Siku kubwa. Siku ya maamuzi. Watanzania wako tayari kuamua.
1
28
1
9
499
πŸ“Lindi Wananchi katika vituo vya Mpilipili Shuleni na Ndoro Kusini wakitumia haki yao ya Kikatiba ya kushiriki uchaguzi.
25
3
12
1,510
Ni haki yetu. Ni wajibu wetu. Ni utamaduni wetu. Watanzania wanaamua.
12
31
15
16
1,021
Uongozi ni kuwa mfano. Mama ameonesha mfano. Ametimiza haki na wajibu wake.
25
2
12
733
Leo Tunatiki Samia kwa ajili ya maendeleo, amani na umoja.
12
26
23
1,618